nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. Haya ndiyo majibu ya Iran na washirika wake baada ya kushambuliwa na Marekani

    Iran kupitia kwa wizara yake ya mambo ya nje imesema Marekani imefanya kosa kubwa sana la kimkakati kwa kushambulia maeneo ya Iraq na Syria. Kwa upande wa Iraq imesema haitaki nchi yake iwe ni uwanja wa kujibizana mahasimu na kwamba inataka majeshi ya Marekani yaliyobaki yaondoke haraka nchini...
  2. Je, ni ipi sababu ya DAWASA ya kukosekana kwa maji?

    Ndugu zangu, Hizi mvua zinanyesha mpaka mafuriko, ila maji hayatoki kwenye mabomba je na DAWASA kuna mgao? sababu ni nini? Hivi kweli hakuna kiongozi wa kusimamia haya mambo? umeme shida maji shida huku mvua zanyesha hadi zasababisha maafa?
  3. Hali gani ulikuwa nayo siku chache baada ya kununua gari lako la kwanza?

    Naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili. Mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu. Kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba...
  4. Hivi wizi nayo ni kazi?

    Kwa sababu kuna wale ambao kila asubuhi wanapotoka nyumabni huaga kwamba wanaenda kazini, na kumbe huwenda kuiba Karibuni tujadili wizi na aina zake
  5. R

    PreGE2025 Hashim Rungwe: Ni haki ya kila chama dunia nzima kufanya maandamano wakiona kuna mambo hawaridhiki nayo

    Hashimu Rungwe atoa maoni yake kuhusu maandamano ya CHADEMA, asema ni haki ya dunia nzima kufanya maandamano ikiwa kuna mambo wanaona hayaendi sawa. Katiba ya nchi inaviwezesha vyama dunia nzima kufanya maandamano pale ambapo kukiwa na mambo ambayo hawaridhiki nayo. Kama wao wamesema kuhusu...
  6. Ni mauzauza gani ulishawahi kukutana nayo barabarani?

    Nakumbuka tulikuwa tunatoka kijijini Kibungo wilaya ya Kigamboni, tunaelekea Pemba Mnazi kuogelea. Tulipokuwa tunaingia Pemba Mnazi, barabara imefunikwa na kivuli kikali cha miti mikubwa ya miembe. Katikati ya kivuli ukatokea mwanga mkali sana kiasi cha kutufanya tusiweze kuona mbele. Basi...
  7. Pikipiki ya sh 500,000/= nayo ni pikipiki?

    Wakuu, sijaidharau, ila nimeshangazwa na bei yake. Nimeona mtandaoni pikipiki zinazouzwa Dar Es Salaam kwa bei ndogo sana. Zipo za kuanzia laki tano mpaka sh 1.8m. Zote ni used. Sikuwahi kumiliki pikipiki. Lakini nilipoziona leo mtandaoni, kwa jinsi zilivyo bei "chee", nimepata wazo la kuinunua...
  8. PreGE2025 KKKT nayo yajitosa Bungeni kutoa maoni yake kuhusu Sheria za uchaguzi

    Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania , ni miongoni mwa Taasisi za Kidini zilizojitokeza mbele ya kamati ya Bunge kutoa maoni kuhusu miswada ya sheria za Uchaguzi . Kanisa hilo limewakilishwa na Askofu Shoo , ambaye pamoja na mambo mengine ameitaka kamati hiyo ya Bunge kuhakikisha maoni...
  9. K

    SGR, JNHPP, daraja la Busisi na ndege 13 ni Matumizi mabaya ya madaraka ya Hayati Magufuli. Rais Samia achana navyo

    Mama Samia hongera kwa kazi nzuri. Kwa hayo niliyotaja hapo juu yalifanywa na Magufuli bila kutushirikisha private sector. Nakuomba ubinafsishe Kwa private sector ili Selikari ikusanye mapato na kulipana posho nzuri huku tukihakikisha wananchi wa vijijini wenye nyumba za ovyo wanalipia pango la...
  10. D

    Marekani inakuwa stronger sana kiuchumi au kijeshi kwa sababu ya strong base ya demokrasia waliyo nayo. Hata rais haiwezi kuleta migumo yake

    Sijui kwanini cho za Afrika au za Asia hazijifunzi kwa marekani wakawa na demokrasia. Hivi kwa mfano Kim jong UN, Putin nk wakifa lazima nchizi zao zitingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe mana mtu mmoja ndo mwamuzi wa mwisho tofauti na marekani ambapo hata Rais siyo final. Nchi za Afrika...
  11. Tusidangabyane 95% ya Watanzania 'Boxing Day' yetu ya leo tunaenda nayo kwa Mtiririko huu Ufuatao.....

    1. Tuna Usununu ( Makasiriko ) ya Kutokualikwa Krisimasi jana kutokana na Hali Ngumu ya Kimaisha iliyoko kwa 95% ya Watanzania 2. Tuna Usununu ( Makasiriko ) ya kutopata Hela ya Kutatua taabu zako za kulipia Kodi unakoishi, kujaza Mafuta Gari lako la Mkopo na Kulipia Chumba Gesti baada ya...
  12. Mazayuni wanakiri miujiza na maajabu wanayokumbana nayo Gaza

    Tafsiri kwa msaada wa google. Mwanajeshi wa Kizayuni; Abu Ubaidah ni Jinn hatuwezi kuendelea kupigana nae. Ndugu na dada wapendwa katika siku za hivi karibuni Madai ya kushangaza yametolewa kuhusu Kiongozi wa Hamas Abu Ida Israel Wanajeshi wanasema kuwa Abu obida si binadamu lakini kwa kweli...
  13. Ni kampuni gani kwa Moshi au Arusha naweza safirisha nayo mzigo kwenda Marekani?

    Habari wanajukwaa mko salama? Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake. Natanguliza shukuran.👏
  14. Ili kuvunja circle ya umasikini tuliyo nayo watu weusi ni muda sasa tuzingatie "FAMILY BUSINESS"

    Ili kuvunja poverty circle tuliyo nayo ni muda sasa kuanzisha na kuzingatia miradi au biashara za kifamilia. Tujifunze kwa hawa ndugu zetu watu weupe. Tusione ufahari mradi, kilimo au biashara kufahamiwa na mtu mmoja tu kwenye familia akifa yeye na yenyewe inakufa naye unabaki mgogoro wa mali...
  15. Ni mapungufu gani ya mkeo/mumeo umeamua kuishi nayo?

    Wakuuu habari za usiku. Moja kwa Moja twende kwenye maada. Mimi kwa upande wangu mapungu yafuatayo kutoka kwa mama watoto wangu nimekubali KUISHI NAYO. 1. Kutopokea simu. Mke wa Mimi hapokei simu hata aione inaita hatashughulika NAYO Hadi amalize shughuli zake. Ukimpigia simu asipopokea...
  16. Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

    Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela. Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha. #The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe! #Hii Imeenda
  17. M

    Gerson Msigwa Wizara yako ni ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kwanini unajikita tu na Michezo, ila mengineyo huhangaiki nayo?

    Changamoto nyingi zilizoko katika Sanaa na Utamaduni utaanza kuzikabili lini? Halafu Gerson Msigwa (Mkinga Wewe) kwanini unatumia Nguvu Kubwa sana kutaka Rais Samia aendelee Kukukubali hasa kwa Kujipendekeza na Kujikomba Kwake wakati wenye Akili tunajua kuwa amekuweka hapo Wizarani kama Katibu...
  18. Hard disks ni teknolojia ya zama za kale, zina uwezo mdogo wa kufanya kazi kwenye computer / Laptops, weka SSD kwa bei rahisi speed ya radi

    Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks. Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow sana, hata ukiweka ram kubwa ama uwe na processor nzuri, itakuwa na msaada kidogo, ni sawa na mtu...
  19. Nilichogundua: Ukipata Pesa unaanza kuwa mkimya sana na hupendi tena kelele. Pesa nayo ni nishati

    Wakuu, baada ya tafakuri za kuyatazama Maisha since when I was broke mpaka muda huu nimegundua ukiwa na uhakika wa Maisha ya kila siku na unapata ushindi mdogo na mkubwa katika mzunguko wa Maisha unajikuta nguvu ya kuongea sana inapungua unakuwa msikilizaji sana. Ina maana ile nguvu ya kuongea...
  20. Tanzania ina maslahi gani na vifo vya wapalestina.Hatujamrudisha balozi wetu. Hata maandamano nayo

    Nchi mbali mbali zimeonesha kuguswa na vifo vya Wapalestina kwa kusingizio cha kuwasaka Hamas. Tangu vita hivyo kuanza Tanzania haijaonesha kukerwa sana na vifo vya maelfu ya Wapalestina karibu nusu wakiwa ni watoto. Hata wale wanoiiunga mkono Israel sasa wamepatwa na kiwewe wakiangalia jinsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…