nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. New York: Wahuni waiba TREN ya umeme na kutokomea nayo kusikojulikana

    Amani iwe nanyi Dunia haishiwi maajabu Polisi huko New York wametoa mkanda wa video unaoonesha kundi la watu wakiiba treni iliyokuwa imeegeshwa na kuiendesha. Polisi inasema watu hao walijirekodi wakifanya kitendo hicho kisha wakaposti video hiyo kwenye mtandao wa kijamii. LONDON BOY
  2. Yanga nayo ina Historia yake Klabu Bingwa, msiidharau

    Katika Historia ya mashindano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga Ina Historia yake mwanana ambayo Simba haijawahi kuifikia. Kwenye matokeo ya kufunga na kufungwa magoli mengi kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Yanga nayo imo. Kwa mujibu wa taarifa za CAF, mwaka 1998 Yanga ilifungwa magoli 6-0...
  3. Uzi wa kutaja Ni biashara gani umesikia mtu katajirika nayo siku za hv karibuni?

    Habari Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
  4. D

    Mabasi ya kutoka Dar hadi Masasi, nayo yapo kwa saa 24?

    Naomba kujuzwa iwapo mabasi ya kutoka Dar kwenda Masasi yapo nyakati zote usiku na mchana. Iwapo hayapo nyakati zote, naomba kujuzwa ratiba zake.
  5. R

    MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
  6. Kisa: Changamoto ambayo nimewahi kukumbana nayo katika hifadhi ya taifa Serengeti

    Karibu kwenye safari yetu ya kusisimua ya Serengeti, ambako mandhari ya pori ni ya kupendeza na wanyama wanaotembea kwa majivuno chini ya jua kali! Mimi ndiye mwongozo wako, na leo tunaendesha Land Cruiser ya kuvutia—model GX 200, yenye injini ya Turbo Diesel 4.5L V8. Ni gari linayojulikana kwa...
  7. PreGE2025 Diwani Arusha: Mbunge Mrisho Gambo ni matatizo tunayotembea nayo, hafai

    Diwani wa kata ya Themi Labora Mkoani Arusha kwa tiketi ya CCM Ampiga Spana Mbunge Mrisho Gambo, amuomba msamaha Rc Paul Makonda
  8. M

    Kujiongezea sifa usiyokuwa nayo ili upendwe ni hatari inayomaliza vijana wengi

    Kujiongezea sifa usiyokuwa nayo ili upendwe ni hatari inayomaliza vijana wengi Mahusiano ni mfumo wa kihisia hivyo ili uwe ndani ya mfumo lazima uwe na hisia ila ni hatari kubwa sana kulazimisha hizo hisia kiasi cha kujipa sifa usizokuwa nazo ili tu upendwe. Kama haupo kwenye hadhi yake...
  9. Hii nilikutana nayo mahala. Sijui ni ya muda gani ila nimeshare

    Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika Nimeishia kucheka tu
  10. PreGE2025 CHADEMA nayo naona ina mfumo wa kulindana. "Kunya anye Kuku akinya bata Kaharisha"

    Hamjambo wote Bila Shaka. Lissu amezidi Kuonyesha rangi halisi za CHADEMA. Kwa kweli Watanzania wengi hawakutegemea haya wanayoyaona kwenye Chama hiki. Lissu hacheki na wowote. Lisu hana mawe mawili ya Kupimia. Yeye Mla Rushwa na CHADEMA ni sawasawa na mla Rushwa wa CCM. Wote ni wla Rushwa...
  11. RTO WETU .TUSAMBAZE NA MATRAFFIK LEO SIKUKUU KUNA MENGI SANA MTAKUTANA NAYO KESHO MNGEWEZA KUWATHIBITI

    HESHIMA kwako RTO wangu Nianze kukutakia hero ya MWAKA mpya na kikosi kizima cha barabaran Nisichukue mdawako sana naomba mh traffick wasilale mpaka saa saba wawe barabaran KUNA matukio siku ya leoo MKIWEZA kuthibiti HATA ajali zitapungua keshoooo Mungu awabariki
  12. Hivi gari kama hii inatakiwa mafuta ya Tsh ngapi uweze kula nayo misele mjini hasa kipindi hiki cha holiday

  13. S

    kwani TCRA hawawezi kuangalia namna ya kuzuia namba mpya kutuma ujumbe kwenye namba ambayo haijawahi kuwasiliana nayo??

    Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini sijui" hujakaa sawa mara "jiunge na chama chetu" mara " mimi mwenye nyumba wako" na nyingine nyingi...
  14. Kutokuyapenda majina uliyo nayo kunakuhalalishia kuyabadili?

    Ulipojielewa, uligundua kuwa jina ulilopewa na wazazi wako ni KITUNGUU, na jina la baba yako ni KIMEIVA MAGANGA. Kwa hiyo, majina yako kamili ni KITUNGUU KIMEIVA MAGANGA. Ikiwa huyapendi hayo majina, hasa KITUNGUU KIMEIVA, inaweza ikawa ni sababu halali inayotambulika kisheria ya kuamua...
  15. CHADEMA nayo ni biashara ya Mbowe?

    I’m continuing to read the tea leaves from Tundu Lissu’s Clubhouse appearance. Lissu aliulizwa swali kuhusu Mbowe kuibeba CHADEMA kifedha. Akafunguka na kusema kuwa kuna nyakati kamati kuu ya chama ilikuwa inamwambia Mbowe kuwa chama kinahitaji kiasi hiki cha pesa kwa sababu moja, mbili, tatu...
  16. Unahisi ni mambo gani ukiachana nayo 2025 unaweza kufikia malengo yako?

    Hi Great Thinkers. Hii dunia imejaa distractions amabazo sometimes zinaweza kukupotezea malengo y'ako. Sasa Kwa wale wanaojitafuta na hustlers unazani ni vitu vipi vimekupotezea malengo.yako miaka iliyopita na unahisi.ukiachana navyo unaweza kusonga mbele Zaidí. 2025.na kuendelea. Baadhi ya...
  17. Maneno mapya yakiswahili nisiyovutiwa nayo...

    Habari zenu wana kiswahili... Kwa mara nyengine nimeamua kuibukia huku tena ili nieleze dukuduku langu juu ya maneno kama mawili matatu ambayo sijavutiwa nayo!. pia ningependa mabaraza ya Kiswahili yayafute na aidha yachukue maoni kutoka kwa wadau kisha ndio wawe wanayarasimisha maneno ambayo...
  18. Gari ipi ni low budget lakini ukiwa nayo unaonekana unazo?

    Habari wanajamvi. Nimeishi sana kwenye ka baby walker kwa muda sasa. Natarajia mwakani niachane nako nipande hadhi japo kidogo. Nakuja kwenu wana jamvi, wataalam wa masuala haya. Nahitaji kujua gari ambayo running cost yake ni sawa na ka baby walker lakini kimwonekano inaonekana ni gari ya...
  19. Yanga vs tawi lake point haziulizwi hapo hiyo nayo ni timu ya jeshi tutegemee magoli ya mchongo!

    Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli manne ya kipa kujiangisha au kufumba macho yaani mchongo mchongo tunaomba TFF wafanye uchunguzi wa...
  20. Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

    Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ...... Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…