nawaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhafidhina07

    Nawaza ila ni ndoto

    Nawaza sana ile siku ya tarehe 17/03/2020 tulipoondokewa na Rais wa jamhuri ya Tanzania ni siku ambayo nilifikiria mengi kuhusu siri ya ulimwengu na jinsi unavyojiendesha(endeshwa),ila niliishia kwa kusema sifa kuu apewe muumba wa mbingu na ardhi yake ni yeye mwenye kuunda na kuboa hivyo...
  2. NostradamusEstrademe

    Nawaza tu kuhusu TANESCO kwa huu utendaji wao

    Miaka ya nyuma kuwekewa tu simu ya mezani ilikuwa ni issue kubwa unaweza ukazungushwa sana. Mara paaap zikaja simu za mikononi TTCL yale maringo hayapo tena. Shirika la Posta sina ushahidi nalo kuhusu tuhuma za usumbufu mara paaap simu za mkononi kutumiana message sio lazima kuandika barua, siku...
  3. PendoLyimo

    Ndugulile aitaka Serikali kuondoa Tozo za Daraja la Nyerere (Kigamboni)

    Wakuu hi tozo ikiondolewa wakazi wa Kigamboni itawapunguzia Sana Ukali wa Maisha. Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka Serikali kuondoa tozo za Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni na badala yake Serikali ibebe mzigo wa deni la mkopo wa NSSF. Ndugulile ameyasema haya leo...
  4. R

    Kwanini viongozi pamoja na mishahara mizuri bado wanapewa nyumba na magari?

    Kwanini mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi ma-RPC nk., nk... Pamoja na mishahara yao minono bado wanapewa nyumba, magari, walinzi, wanalipiwa umeme, maji, matumizi ya simu nk ili hali watu wengine wafanyakazi wengine wa serikali na taasisi zake wanabeba misalaba yao wenyewe? Why...
  5. G

    Nawaza kwa sauti: Rais akiamua kuzifuta kabisa sherehe za uhuru tutamfanya nini?

    Ndiyo! Hakuna la kumfanya, kwasabb katiba imesema rais hashitakiwi kwa jambo lolote. Na ushauri yeye ndiye anaamua aupokee ama aukatae. Kwa katiba hii atakuja kutokea rais ambaye ataamua:- 1. Kuzipiga marufuku na kuzifuta kabisa sherehe za Uhuru. 2. Kuulipua kwa mabomu na kuusabaza kabisa...
  6. Kasomi

    Nawaza tu: Huenda Sabaya hatomaliza kifungo cha miaka 30

    Asalam wakuu naomba mnukuu kwanza kwenye title ya uzi kuwa nawaza tu na neno huenda ndilo mpigie mstari. Ni kwamba sina uhakika Japo sipo sahihi kama sabaya atakaa miaka 30 jela. Kulingana na kauli ya sabaya leo kuwaambia hata wasihofu Mungu yupo huenda ina Maana Zaidi. Je, unazani hakuna watu...
  7. MK254

    Zambia yakamata malori 200 ya Watanzania, nawaza hapa ingekua Kenya hakungekalika kwa kilio humu

    Jameni Wazambia ni balaa, malori yote 200 wamekamata na hawajali liwalo na liwe..... The government said yesterday that it was not aware of reports that over 200 trucks owned by Tanzanian operators had been seized in Zambia linked to illegal logging claims. “We haven’t received any...
  8. OMOYOGWANE

    Nyuma ya Rais kuna great thinkers ambao hutawaona majukwaani, mtandaoni au kwenye runinga. Nawaza tu

    Wakuu habari, Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari, Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria, Inawezekana kuna watu...
  9. 2

    Mpenzi aliyenisaliti amerudi, nawaza nimfanye nini?

    Habari wana bodi, Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, ni miezi takribani 3 tangu aliyekuwa mpenzi wangu (x-girlfriend) aliponiacha kwa kunitamka kuwa "kuanzia leo mimi na wewe basi" alipo nitamkia sentence iyo tu tangu siku iyo hakuwai kuona sms wala calling yangu, nilifuta...
  10. D

    Naombeni tiba ya kisaikolojia: Mwenzenu nikipanda ndege huwa nawaza hatari tupu

    Samahani kwa nitakaowakwaza kwa ushamba wangu! Mwenzenu nikipanda ndege ikiwa angani huwa naogopa ile mbaya, Hususani nikichungulia dirishani ndo kabisaa! Vikianza Vile vihudumu vinapoelezea kuhusu maparachuti fastafasta tena kwa kingereza ....ladies and gentleman..... Huwa nasema huyu anasema...
  11. Nyendo

    Nawaza kuleta Friday talk show

    Habari wana MMU, Nitakua naweka mada kila Ijumaa zinazohusu mambo mbalimnali kama wanawake, watoto, mahusiano nk. Lengo la mada hizi ni kutoa elimu kwa jamii. Mada hizo zitakuwa zinawasilishwa mapema na Mjadala utaanza saa sita mchana. Mimi ninaomba Moderators watusaidie kuongoza mjadala huu...
Back
Top Bottom