nauza

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Gari TOYOTA ISIS 2008 namba DMR

    Gari ipo Kigamboni Dar es Salaam. Ipo katika hali nzuri sana! Make: TOYOTA ISIS MWAKA: 2008 CC: 1798 SEATS: 7 DRIVE: AUTOMATIC, 2WD Kama kutahitajika service basi zitakuwa ni spares ndogongogo za kkawaida. Mawasiliano: WHATSAPP: 0785872256 BEI: 9,500,000
  2. JamiiForums Tanzania Nauza Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) kwa matumizi ya ofisi na binafsi

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi: Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 350,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521 Ofa: wino+ Rimu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Water Pump Ya Boss Brand New

    Pampu ni Ya Inchi 3 Haijawahi kutumika nilinunua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji lakini mipango ya kilimo haikwenda sawa. Pampu haijatumika kabisa. Bei 200000/= Location: Ubungo-Dar Es Salaam 0779080365
  4. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza computer bei ya hasara 230k

    Kampuni Lenovo think pad Ram 8gb Hdd 256 gb Processor Intel Celeron 1007U (1.5 GHz, dual-core) Njoo PM kwa maelezo zaidi nipo dar es salaam tegeta
  5. JamiiForums Tanzania Nauza Acoustic Guitar

    Habari wadau, nauza acoustic guitar kama linavyoonekana kwenye picha hapo, lipo vizuri na linapatikana mbagala kuu. Kwa mwenye kuhitaji anaweza kuni PM bei ni 140k . Asanteni
  6. E

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Smartwatches

    TK701 SMARTWATCH Mikanda 7 Ina Bluetooth Speaker Ina waya WA MIC WA kurekodia vdeo ๐Ÿ’ฐ75,000/= ๐Ÿ’ฐ (OFFER PRICE) CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 Location KKOO Masasi na likoma Street Free Delivery Around Dar es salaam Boundaries
  7. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza viwanja Kigamboni njia ya fun city kituo njano

    Nauza viwanja vipo 4 vipo kigamboni njia ya kuingia Fun city nyuma ya kituo cha Njano kila kimoja kina sqm 500 kila kiwanja kinaanzia Tshs,28ML kama upo intrested njoo tuyajenge piga hii no 0743921019
  8. A

    JamiiForums Tanzania NAUZA HADITHI ZA SIMULIZI, MIKASA NA ZA KUTISHA.

    Wadau hadithi hizo ni zangu na kila moja ukitaka full unatuma 1500. Nifuate DM
  9. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptops

    BRAND NEW CONDITION TOLEO LA MWAKA 2024๐Ÿ”ฅ๐Ÿซต It is 13th Generationโœ… It is Very powerfull Machine for heavy Task comes with Graphics Radeon 7โœ… HP ELITEBOOK 835 G10 AMD RYZEN 5โœ… RAM 16GBโœ… SSD 512GBโœ… PROCESSOR 3.2GHz๐Ÿ”ฅ Backlight keyboardโœ… Kioo inch 13โœ… Very slimโœ… Two type C compile with Type C...
  10. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja changu hakina udalali

    Nauza kiwanja changu..kipo vikindu kwa Mzee puga Ukishuka stend VIKINDU nauli ya bajaji ni 700 hadi site Futi 48 kwa 54 Bei mil.3 ๐Ÿ˜”Bei hapungui kusema kweli.. ukiwa interested tuongee biashara na msimu mzuri wa kujua viwanja ni huu msimu wa mvua
  11. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptops

    Pata hii Simple laptop yenye uwezo mkubwa sana๐Ÿ‘‡ Hp Revolve 810 G3โœ… Corei5โœ… Ram 8GBโœ… Ssd 256GBโœ… Processor 2.3GHzโœ… Backlight keyboardโœ… Kioo inch 12.5โœ… Touch Screen x360โœ… Battery 3 - 4Hrsโœ… Price 570,000/- Badala ya 650,000/=โŒ CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 Location Ubungo Kibo
  12. B

    JamiiForums Tanzania Nauza pumba za mahindi

    Niende mojamoja kwenye mada nina Gunia 100 (KULINGANA NA MTAJI WANGU UKIHITAJI NIKUKUSANYIE PIA SAWA) ya pumba za mahindi nauza kg moja sh 80 niko kanda ya ziwa kwa anayehitaji tufanye biashara tuchekiane PM
  13. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptops

    OFFER OFFER ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ HP ELITEBOOK 830 G6 price 750,000 condition : very clean โœ… brand : HP model : ELITEBOOK 830 G5 processor : CORE i5 generation : 8th gen processor type : Intel (R) core i5 @1.8ghz up 3.6ghz. Processor (8CPU) RAM : 8GB Storage::SSD 256GB directX version : DirectX 12 X360...
  14. JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja: Ubungo Kibamba Shule

    wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule ๐Ÿ‘‰ Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
  15. JamiiForums Tanzania Nauza simu Samsung ao5 ram4..gb 128

    Habari za majukumu wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza nauza simu yangu Samsung ao5 ina ram 4 .. memory ni gb 128 .. battery 5000 mah .. clean as new .. Bei 210k .. Mteja serious..0684 56 25 23 Unapata charge original..pamoja na earphones
  16. JamiiForums Tanzania Nauza kuku aina ya broiler

    Nauza kuku 7500. Kuku Wana wiki 5 na wako 270. Kwa ambae anahitaji jamani mnaweza nitafuta Kwa namba 0624 85 57 57. Mabanda yapo mbezi beach salasala. Kwa maeneonya karibu delivery ni bure. Unapata kuku ameshachinjwa. Kama utataka mzima utapata Kwa 7000 kamili.
  17. E

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptops

    ASUS ZENBOOK DUO A PREMIUM DEVICE BY ASUS USA HEAVY DUTY COMPUTER POWERFUL GAMMING & GRAPHICS PC COLOR CELESTIAL BLUE WITH DOUBLE DISPLAY EDITION WHITE KEYBOARD BACKLIT LIGHT Intelยฎ๏ธ Coreโ„ข๏ธ i7-1165G7 Processor 8M Cache, up to 4.70 GHz 11th GENERATION 16GB RAM DDR4 SSD 512GB Nvme M.2 FAST...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Nauza korosho safi

    Mjasiliamali yoyote anayetaka korosho safi kubwakubwa ziliobanguliwa safi mimi ninaziuza kwa bei rafiki ya 18000 nipo Masasi Mtwara nicheki pm
  19. JamiiForums Tanzania Nauza ๐˜›๐˜–๐˜ ๐˜–๐˜›๐˜ˆ ๐˜™๐˜ˆ๐˜Š๐˜›๐˜๐˜š 2007 ina Sunroof Kali sana.

    ๐˜›๐˜–๐˜ ๐˜–๐˜›๐˜ˆ ๐˜™๐˜ˆ๐˜Š๐˜›๐˜๐˜š 2007 / Panoramic ๐š‚๐šž๐š—๐š›๐š˜๐š˜๐š. ๐˜Œ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ฆ ๐˜š๐˜ช๐˜ป๐˜ฆ: 1490๐˜ค๐˜ค ๐˜๐˜ถ๐˜ฆ๐˜ญ: ๐˜—๐˜ฆ๐˜ต๐˜ณ๐˜ฐ๐˜ญ ๐˜Š๐˜ฐ๐˜ญ๐˜ฐ๐˜ณ: ๐˜Ž๐˜ณ๐˜ฆ๐˜บ ๐˜š๐˜ฆ๐˜ข๐˜ต๐˜ด: 5 ๐˜”๐˜ช๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ข๐˜จ๐˜ฆ: 59,900๐˜ฌ๐˜ฎ #๐˜๐˜ฆ๐˜ข๐˜ต๐˜ถ๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ด ๐˜—๐˜ข๐˜ฏ๐˜ฐ๐˜ณ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ช๐˜ค ๐˜š๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ณ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜งโœ…| ๐˜—๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฅ๐˜ญ๐˜ฆ ๐˜š๐˜ฉ๐˜ช๐˜ง๐˜ต๐˜ฆ๐˜ณโœ…/ | ๐˜™๐˜ช๐˜ฎ๐˜š๐˜ฑ๐˜ฐ๐˜ณ๐˜ต๐˜ดโœ…| ๐˜—๐˜ถ๐˜ด๐˜ฉ2๐˜š๐˜ต๐˜ข๐˜ณ๐˜ตโœ…| ๐˜’๐˜ฆ๐˜บ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ด๐˜ด ๐˜Œ๐˜ฏ๐˜ต๐˜ณ๐˜บโœ…| ๐˜Š๐˜ข๐˜ฎ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ขโœ… | ๐˜™๐˜ฆ๐˜ข๐˜ณ ๐˜š๐˜ฑ๐˜ฐ๐˜ช๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ณ โœ… ๐˜—๐˜ณ๐˜ช๐˜ค๐˜ฆ: 17,800,000 + ๐˜™๐˜ฆ๐˜จ๐˜ช๐˜ด๐˜ต๐˜ณ๐˜ข๐˜ต๐˜ช๐˜ฐ๐˜ฏ โœ… ๐˜Š๐˜ข๐˜ญ๐˜ญ: 0712908015 ๐˜•๐˜ˆ๐˜๐˜œ๐˜•๐˜‘๐˜ˆ ๐˜•๐˜ˆ ๐˜Ž๐˜ˆ๐˜™๐˜...
  20. M

    JamiiForums Tanzania NAUZA KIWANJA KIPO UBUNGO-GOBA Plot P 44132 chenye 866sqm Bei 45 mil..hakina dalali

    Kichwa cha habari kimejitosheleza kiwanja kina hati kabsaa hakina dalali me ndio muhusika... Phone: 0712183658 Mita 200 toka barabara ya lami ya goba mtaa barabara ya mwishekhe
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ