nauza

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nauza script mbili (2) za movie

    Mimi ni Mwandishi wa Simulizi, kwa sasa ninazo simulizi Mbili za Maisha, ambazo wacheza filam wanaweza kuzitumia kuigiza. Kwa anayehitaji, tuwasiliane Whatsapp 0768615672
  2. W

    JamiiForums Tanzania I am selling beeswax-nta

    Hello I am looking for raw beeswax buyers, I have 4+ tonnes. Hello, habari, ninauza nta Kama unamfahamu mnunuzi naomba uniconnect nae 0714626263/0625609946
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nauza washing machine aina ya panasonic

    Machine ya kufulia na kukaushia b aina ya Panasonic bei laki 3 na 20 0740404030
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nauza kabati la kioo

    Habari wadau nipo Morogoro mjini nauza kabati la kioo, bei laki 3 na 50.
  5. E

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza Brand New Vitron Tv's

    VITRON SMART TV 4k ✨ Ina Bluetooth Frameless 50"inches 💰 680,000/= 💰 1 YEAR WARRANTY ✅ CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404
  6. JamiiForums Tanzania Nauza suzuki swift

    Nauza suzuki swift, bei ni 4.8 million. Niko Kibaha maili moja, piga 0713 039 875.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu nna biashara nyingine nauza

    Habari za Jumamosi Wakuu,nna biashara wakubwa zangu nauza,biashara hizo ni pamoja na (1)Samick 12 Channel Mixing Console Model no SM-1200p hii naitakia 500,000. (2)Jebson SD 1 Table top Mixer hii naitakia 400,000. (3)Lenovo Mini Laptop,Battery iko poa sana 2hr,hii naitakia 200,000.Naambatanisha...
  8. JamiiForums Tanzania Nauza vifungashio

    Nauza vifungashio... mifuko laini Ile ya kuingia kilo moja Hadi kilo mbili....ni mizuri mipana na haivuji wala kuachia chini pindi unapobeba bidhaa... nauza kwa bei ya jumla pisi moja zinakaa nyanda 35...nauza kwa mia9 tu...oda kuanzia pisi 10 nakuendelea.. napatikana chamazi mawasiliano...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kucha bei kitonga 80k tu

    Contact 0620813101 karibuni
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu nauza UNGA wa uji lishe

    Habari Katika harakati za kujitafuta nimeamua niingie kwenye ujasiriamali ambapo natengeneza uji mzuri wa uji wa lishe ambao una faida kiafya kulingana na viambata vyake ambavyo nimetumia UNGA huu unatumiwa na watu wa rika zote kuanzia watoto wadogo Hadi watu wazima Lakini pia una faida Kwa wale...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Eti nauza dawa ya kuacha Pombe! Kha unataka niwe nakunywa kahawa?

    Nimekereka sana na huyu mmasai. Mbaya zaidi ananifuata ofisini kwangu! Niwe nashinda kwenye vijiwe vya kahawa ? Niache ugimbi kweli?
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nauza earpods orijino

    Wireless Version : V5. 3Wireless profiles : A3DP/HFP/BSP/AVRCPTransmission Distance: 10MCharging Time:2 hoursStandby: 280 hoursMusic Play: about 5 hours (Earbuds)Output: 5V—1A PRICE/BEI: 7,000 Location: Kinondoni Phone: 0715610101 Free Delivery Kuanzia 100pcs Bei inapoa kidogo na Tunatuma Popote...
  13. JamiiForums Tanzania Nauza Bati zilizotumika (USED)

    Wakuu nina Bat ziko Karibu 100 nauza ni gauge 28 zimepigwa msumari mara moja tu hazina Kutu zinaonekana kama mpya kabisa. bei ni elfu nne, elfu tano na elfu kumi na nae na nyingine elfu ishirini. Zipo malamba mwisho Kituo cha Msikitini. Ukihitaji nicheki PM hapo kwa mawasiliano zaidi Mpigie...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu nna biashara nauza

    Habari za jioni wakubwa?Wakubwa nna biashara nauza,biashara hizo ni pamoja na,. (1)Focusrite Scarlett 18i20,hii ni soundcard for Professional recording studio naitakia 1,700,000. (2)Scarlett solo,hii ni kwa home studio naitakia 350,000 (3)Garmin Heart Rate Monitor,hii ni mikanda ya kuvaa...
  15. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu hivi kwa lugha ya kiswahili

    OFFER. OFFER, OFFER, OFFER... JIPATIE VITABU ZAID YA 74 Kwa nini kila siku upo kama ulivyo kwa sababu hutaki kuongeza maarifa na maarifa yamefichwa kwenye vitabu. Kama ulikua unaihitaji kuongeza maarifa jipatie Vitabu vilivyo Tafsiriwa kutoka kwenye ENGLISH vya waandishi mbali mbali kua...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo langu lenye nyumba tatu

    Nimehamia kibaha mji niupendao. Kwangu naona kuna fursa nyingi. Ningependa kupaendeleza zaidi. Nimejenga nyumba nzuri pale kibaha, Nina eneo kubwa ambalo nimejaribu kuliwekea fence. Ila bado Sina umeme na maji.. Kule nilikohama mbezi kwa msuguri nimeacha nyumba tatu: moja ni kumbwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Nauza mlango wa aluminium

    Mlango umetumika kwa miezi minne tu Unafaa kwa matumizi ya frame Bei Tsh 200,000/= Location; Survey, Karibu na Ardhi university Mawasiliano; 0681249117
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza friji, mtungi wa gesi na jiko kwa bei nzuri sana

    🧊 Friji zuri - Tsh 120,000 🔥 Mtungi wa gesi (full) + jiko lake - Tsh 120,000 Viko katika hali nzuri kabisa. 📞 Wasiliana nami kwa maelezo zaidi: 0685063688 📍 Mahali: [Tegeta] Karibuni wana.
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza Friji, Mtungi wa gesi mkubwa na Jiko.

    🧊 Friji zuri - Tsh 120,000 🔥 Mtungi wa gesi (full) + jiko lake - Tsh 120,000 Viko katika hali nzuri kabisa. 📞 Wasiliana nami kwa maelezo zaidi: 0685063688 📍 Mahali: [Tegeta] Karibuni sana.
  20. JamiiForums Tanzania Nauza Wazo la Kampeni Litakalokufanya Upendwe na Jimbo Lako Ndani ya Muda Mfupi!

    Najua wagombea wengi wa ubunge kwa sasa wanahaha kutafuta mbinu mpya za kuvutia wananchi na kupata upendo wa kweli katika majimbo yao. Usihangaike tena nina wazo la kipekee, la kisasa na la haraka litakalokuweka mbele ya wote! Unatafuta njia ya kugusa mioyo ya watu na kuwa gumzo kwenye jimbo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…