nauza

  1. JamiiForums Tanzania Nauza Sewing Machine

    Wadau nauza hii cherehani sina matumizi nayo kwa sasa, nauza pamoja na kila kitu cheke. Bei 400k Brand name : JANOME. Mawasiliano : 0763708877 (Whatsap)
  2. JamiiForums Tanzania Nauza TV Samsung 32 Inch kwa Tshs. 190,000 tu

    Iko katika hali nzuri kabisa haina shida yeyote. Piga or WhatsApp 0788893364
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nauza hivi vitu

    Habari Nauza harddisk kama zifuatazo Tb kwa 12 kwa 350000 Tb 3 kwa 120000 Tb 1 kwa 90000 Zote zikiwa na movies humo Pia nauza computer full workstation Kwa 500000 Desktop ni intel r core i5-2400 cpu 3.10GHz RAM 8 gb desktopchuma hicho Sata zipo 6 Namba yangu hii hapa 0781 493401...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nauza hivi vitu

    Habari Nauza harddisk ya tb 12 kwa 350000 Disk nyingine tb 3 kwa 120000 Nyingine disk tb 1 kwa 90000 Zote zimejaa movies.. Pia nauza desktop hp full complete kwa 50000 Karibuni ndugu zangu 0781 493401 namba yangu hii
  5. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu(softcopy/nakala laini) vya kiingereza vilivyotafairiwa kiswahili na kiingereza Bei 10,000 Tsh kimoja

    Nauza vitabu(softcopy/nakala laini) vya kiingereza vilivyotafsiriwa kiswahili na kiingereza Bei 10,000 Tsh kimoja. 1. Kitabu Cha Henoko (Biblia hakipo) 2. Rich Dad, poor dad (Swahili) 3. Art of strategy (Sanaa ya mkakati) (Swahili) Nicheki kwa vitabu vingine tuma jina la kitabu WhatsApp...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Nauza Projector SONNY bei ya kutupa

    Bei ya mnada aayehitaji tuwasiliane
  7. JamiiForums Tanzania Nauza nissan note “DC”

    Imeuwa control box, mil 3.5, uje uichukue, inawaka vizuri ila haitembei. 0764692275
  8. JamiiForums Tanzania Nauza nissan note “DC”

    Imeuwa control box, mil 3.5, uje uichukue, inawaka vizuri ila haitembei. 0764692275. Kimara tembon dar.
  9. JamiiForums Tanzania Nauza kitabu Cha KISWAHILI Poor Dad, Rich Dad Cha Robert Kiyosaki - 10,000 Tsh

    Kama unatafuta kitabu Cha Robert Kiyosaki kwa lugha ya kiswahili Cha Rich Dad, Poor Dad kipo Bei 10,000 Tsh natuma WhatsApp au kwa email, Karibu nicheki 0756704145
  10. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Henoko (biblia hakipo) Cha kiswahili nauza 5000 Tsh

    Kitabu cha Henoko (biblia hakipo) Cha kiswahili nauza 5000 Tsh. Tuma pesa kwenda M-PESA 0756704145 nakutumia kitabu chako WhatsApp au kwenye email
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo lililo chimbwa mchanga.. ukubwa heka moja misugusugu kibaha

    Eneo lipo nyuma ya kiwanda cha Lake steel misugusugu.. limechimbwa mchanga Ni Zuri Kwa ufugaji.. au kulisawazisha Na kuweza kukata viwanja.. karibun
  12. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Henoko (biblia hakipo) cha kiswahili nauza 5000 Tsh

    Kitabu cha Henoko (biblia hakipo) cha kiswahili nauza 5000 Tsh. Tuma pesa M-PESA kwenda namba 0756704145 nicheki WhatsApp nikutumie kitabu au kama una email natuma
  13. JamiiForums Tanzania Kitabu Cha enoko kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh

    Kitabu Cha Enoko ambacho hakipo kwenye biblia za sasa kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh, natuma WhatsApp ni PDF muundo, nicheki WhatsApp 0756704145, napatikana Dar es salaam, Mbezi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Earpods

    Nauza Earpods Ni wireless zipo 5opc bei 20000. Nipo Kariakoo Dar Es Salaam. Nichek 087442427363.
  15. JamiiForums Tanzania Nauza asali ya nyuki wakubwa

    Habari wana JF Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu☝️. Nina asali ya nyuki wakubwa 80L Kwa anaye hitaji anaweza nicheki pm au kwa namba yangu cm tufanye biashara . ☎️0744355748 normal call &WhatsApp ✅️ Matajiri 250,000/= kwa lita 20
  16. M

    JamiiForums Tanzania NAUZA SIMU

    GB 64 RAM 4 Wazee Sim Iyo ZTE Ni Ya Mkopo Nimelipa Ela Bado Kidogo sana Nimalize Sema nimepata sim nyengine Hii naitoa Laini yake yakulipia Ipo nakupa sim Ina Clek Lakn inapiga KAZI Fresh kilakitu BEI 55 Chapu Au piga sim tuongee 0612323330
  17. JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti

    Habari wanajamvi! Mimi nauza mafuta ya alizeti kutoka mkoani singida popote yanafika bei ya Lita ni shillingi elf 6 na punguzo lipo mtu akichkua Mengi Asante
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa mwanza nauza kabati la chipsi laki mbili tu

  19. S

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Nauza TV Samsung inch 55, bei kitonga

    TV imetumika miezi 4, bei 1,200,000 Tu. Location: Jet Lumo (Dar es salaam) Contact: 0620813101
  20. E

    JamiiForums Tanzania Nauza script mbili (2) za movie

    Mimi ni Mwandishi wa Simulizi, kwa sasa ninazo simulizi Mbili za Maisha, ambazo wacheza filam wanaweza kuzitumia kuigiza. Kwa anayehitaji, tuwasiliane Whatsapp 0768615672
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…