nauza

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kipo Wazo Hill

    Ni kama mita 300 kutoka kiwanda cha Twiga cement wazo hill mkono wa kulia ukiwa unaenda Goba au Madale. Kiwanja kina ukubwa wa Square meters 1000+ bei sh 35m. Maongezi yapo. Mimi ni mwenye mali sitaki mtu wa kati (Dalali). Mawasiliano 0718219523
  2. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Nauza PS4

    PS 4 fat gb 500 zipo Gem 7. FIFA 2022 WRC7 Pes2021 Mortal 11 combart God of wall Need for speed heat Gta5 Pad 2 hazina kipengere Fika anza kucheza kabla hujalipia Price Tag read: 590,000 net ziite: 0713096076
  3. Rion Jr

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaranga vya bata bukini

    Nauz vifaranga vya bata aina mbali mbali Kama vile bata Bukini, jumbo perkin, ruen, Indian runner . Na pia nauza bata wa Kienyeji ( Muscovy) Napatikana CHANIKA KWA SINGA Call 0783 29 11 07
  4. M

    JamiiForums Tanzania NAUZA Biography(Vitabu) za Nyerere, Mkapa na Obama

    Wadau, Nauza Biography za Viogozi wa zamani Mkapa, Nyerere na Obama zenye picha hapo chini. Hii ni baada ya kuwa nimemaliza kuvizoma.
  5. Atalanta

    JamiiForums Tanzania NAUZA SIMU INFINIX SMART 5

    wakuu nauza simu infinix smart 5. Simu haina tatizo lolote.RAM 2, Storage 32 GB, MAH 5000 price yake 150,000 Location nipo Mbeya
  6. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptops Ram 4Gb, ssd 128, processor Intel Celeron sh 390,000/=

    Laptops dell-Ram 4Gb, ssd 128, processor Intel Celeron sh 390,000/= Zipo nyingi kama inavyoonekana kwenye picha
  7. Blauzi mbovu

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza dagaa nyama na wengineo

    Wadau habari za leo ! Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao: 1. Dagaa nyama, 2. Dagaa wakavu/Lukumbu, 3. Lumbunga , na 4. Ng`onda pia wapo. -Mauzo ni kwa jumla, -Bei ni poa, -Msimamizi wa kila kitu ni mimi mwenyewe, naazingatia ubora na usafi kwa...
  8. dennoo_appliances

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza home appliances (tv, refrigerator, music system na air conditioner)

    Karibuni
  9. TheTrf

    JamiiForums Tanzania Nauza milunda kwa ajili ya shughuli mbali mbali za ujenzi

    Ziko pisi nyingi Sana kwa ajili ya fensi n.k zenye urefu wa 6ft 7ft na 5ft. Pisi moja Ni shilingi 1000. Kila kipande kimekuwa treated. Mzigo upo pembeni mwa barabara ya lami ,mpakani mwa njombe na Songea. 0684682777
  10. dennoo_appliances

    JamiiForums Tanzania Nauza polo shirts (form six) 5 kwa sh. 9000/=

    Samahan content haiendani na kichwa cha habari Nauza polo shirts (form six) kwa jumla kuanzia piece 10 na kuendelea sh 11,500/= Tunatuma mpaka mikoani 0713520180
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nauza raba za mtumba bei ya jumla (10,000)

    Habarini! Natumaini wote tuko salama kwa neema ya Mungu. Karibuni kuniungisha raba za mtumba kwa bei ya jumla, nipo Kinondoni Studio, barabara ya kwenda Mwananyamala opposite na Akiba Commercial bank Simu: 0759891571 WhatsApp: WhatsApp Location on Google Map: Jessi Brands · 35 Mwinyijuma Rd...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nauza harddisk za computer

    Habari, Harddisk za desktop na Laptop Na CCTV Camera zinapatikana. Zipo za ukubwa mbali mbali, kama 320GB, 500GB, 1TB, 2TB, 4TB. Ukihitaji mawasilliano 0673330618
  13. FLAVOR

    JamiiForums Tanzania Nauza gari yangu, GX100 kwa member haina udalali

    Done
  14. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Simu Tecno Camon 18i

    Nauza simu yangu aina ya Tecno Camon 18i, ina Ram 4GB, ROM 128GB, ina support 4G, Camera 48MP ya nyuma, na mbele ni 8MP, battery yake ina ukubwa wa 5000mAh, ina glass protector, box yake ipo kama utahitaji, nimeitumia miezi miwili tu, bado iko kwenye hali nzuri, haina scratches wala crack...
  15. 2015ready

    JamiiForums Tanzania Viwanja vinauzwa Bagamoyo Fukayose

    Habari wadau wa Maendeleo. Nauza Viwanja. Vipo Bagamoyo njia ya kwenda Msata, eneo la FUKAYOSE. Bei ni Tshs 5,500 kwa square meter moja. Viwanja vimepimwa tayari na vipo kilometers 1.5 kutoka barabarani. Kwa mawasiliano piga namba 0767460356
  16. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza home decor

    Habari Karibu ujipatie shuka Duvet Duvert cover Carpet Pazia kwa bei poa Tupo ubungo Whatsaap 0746374457 Dar delivery ipo ni juu ya mteja #your taste is here
  17. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kabati la kioo la Aluminum 120K

    Nauza kabati la aluminium la kioo. Bei Tsh 120K Ukubwa wake. (77,65,37cm) Mahali : Dar Simu no:0658 106 630 Utakuwa umeokoa 40% ya gharama yakutengeneza kabati jipya.
  18. Gadget_accessories_tz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza earpods na charges kwa bei nafuu

    Nauza earpods, wireless headphones, charges, fast chargers, and all others phones accessories karibuni Sh 30,000/= Buds pods Elfu 55,000/= Iphone sh 55,000/= Sh 55,000/= iphone 13pro max sh 40,000/= True wireless earbuds elfu 45,000/= Airpods pro sh 70,000/= Elfu 40,000/= Samsung S10 sh...
  19. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Nauza "Usafiri" wa fasta, Mwanza to Dar ni dakika 15 tu!

    kumekucha kazi zimeanza jamani Bei elekezi ni milioni 5. hamna nafasi ya punguzo. 91km per minute. karibuni sana kina Mshana Jr
  20. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za mbogamboga OPV

    Jipatie mbegu za mbogamboga OPV na siyo HYBRID, zinaota vizuri na zinazaa sana. Tunauza kwa bei ya jumla kuanzia kilo 10. Mzigo unatumwa popote kwa uaminifu mkubwa. Piga/sms/Whatsapp 0752042670 1: mchicha aina zote 2: matango (aina ya Ashley) 3: Nyanya (aina ya tengeru na riogrande) 4...
Back
Top Bottom