nauza

  1. Jacob Thom

    JamiiForums Tanzania Nauza gari Spacio

    TOYOTA SPACIO NEW Model CC 1490 HAINA CHANGAMOTO BEI: M8 .5 Exchange Allowed SIMU: 0710381545
  2. Hum B

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza iPhone X

    Habarini wakuu,Nauza iPhone X 256 gb No Face ID BH 82 Bei 380,000 Location tabata Cont:0658 130 630
  3. D

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Toyota Vanguard

    Gari ni yangu mwenyewe Imelipiwa bima kubwa - 1,239,000 Leather seat Safar automotive New tyres Km 79,000 - OG Gari haina kasoro yoyote Bei 31m Call/watsap 0715140001
  4. Chichi09

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Saa na Wallet

    Nauza saa English Gold hazipauki haraka na wallet zenye ubora mkubwa Nafanya delivery dsm na mikoani Bei: Saa 35,000/= Wallet 25,000/= Location: Mbezi, Kimara Contact: 0626903619
  5. A

    JamiiForums Tanzania Nina mzigo wa kutosha wa maembe, nauza kwa jumla

    Nina mzigo wa kutosha wa maembe nauza jumla. Nina aina ya maembe ya dodo, bolibo na maembe ya apple.
  6. Amiry outfitstore

    JamiiForums Tanzania Tunauza handbags za kike kwa bei ya jumla na rejareja

    Hello wana JF, Karibuni ofisini kwetu kariakoo mtaa wa agrey na msimbazi jengo la canaan complex ujipatie handbags nzuri na za kisasa wa wadada na wamama kwa bei ya jumla na rejareja. Kwa mawasiliano ni 0626817740 Karibuni sana wana JF naomben sana support yenu
  7. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Duka la vinywaji (Container, Crates na mkataba wa eneo) GOBA Njia nne

    Habari zenu, Kama title inavyosema, nina duka la vinywaji baridi na moto, ila nimeamua kuuza kutokana na kukosa msimamizi na shughuli zangu zimekuwa zinanibana sana. Hivyo Ninauza 1. Containter (20FT) Pamoja na 2. Crates za beer (TBL 78, SBL 45) 3. Soda (Coca 40, PEPSI 28) 4. PIKIPIKI TVS 5...
  8. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Tairi Adimu na Mpya za Pirelli/ iMove

    Tairi ni kama ifuatavyo: 2 pieces Pirelli P Zero (PZ4) size 265/45R 18 2 pieces Ironman iMOVE GEN2 size 245/50R 18 Rim size ni inchi 18. Hizi tairi niliagiza brand new kutoka USA mwezi February 2022 na zimetembea chini ya kilomita 20. Ni mpya tuseme. Sababu ya kuuza ni kwamba mara baada ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Heka 1 inauzwa Kibaha kongowe

    Nauza Heka 1 Kibaha kongowe Mil.70 barabara ya zamani pana faa kwa Godown au Kiwanda, mita 100 hadi Morogoro road. WhatsApp kama ukiitaji picha 0674223223
  10. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza iPhone 13 na 15

    Nauza iphone 13 plain Used 2 months UK GB 128 Bh 100 Inakuja na boksi yake na original usb charge wire haijawhi tumika. 1,800,000ml Tsh Dsm location 0783985530
  11. Jitume Biashara

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Mashine ndogo ya kukamua juisi ya miwa (Mashine ya manual)

    Mashine ya kukamua juisi ya miwa Mashine ya manual Bei 550,000/= Hii mashine unaweza kutumia binafsi kuanzisha biashara ya juisi ya miwa au ukaikodisha kwa mtu mwengine Sifa za mashine 🔸️uzito ni 34kg 🔸️haitumii umeme 🔸️ukubwa wake 46*36*46 🔸️haitumii umeme yani ni manual 🔸️material yake ni...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nauza mchele mzuri, nipo Dar es Salaam

  13. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa

    Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa Bei elfu 50 (50,000/=)
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja- Kibaha Misugusugu

    Kiwanja kinauzwa Eneo: Kongowe Misugusugu-kibaha size: 30*20 600square metre Maji umeme vipo Nusu kilomita kutoka lami ya Morogoro Road Hati ya maandikishano ipo Bei milioni 4. 0744033555 Piga simu
  15. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Nauza nyanya nzuri na tamu

    Karibuni nyanya, fresh from shamba Crate 45,000/- Ndoo ndogo 10,000/- Ndoo kubwa 17,000/- Tupo Dsm, Mbezi ya kimara Karibuni saaana. Msimu huu wa sikukuu. Kwa bei Che. 0752850081 0783985530 0719100591
  16. G

    JamiiForums Tanzania Nauza au kukodisha Pick Up Nissan Single Cabin usajili ni DBW

    Nauza au Kukodisha pick up Single cabin Imenunuliwa 2014 ikiwa mpya kutoka South Africa. Namba ya Usajili T4....DBW Kwa Yoyote atakaye hitaji napatikana kwa 0767 848423
  17. Kelvintz11

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Fuso

    FUSO INAUZWA✅ JIPATIE KWA BEI NDOGO OFFER YA SIKUKUU Mil. 19 Ukilipia Njoo na Dereva wako Gari ni nzima 100% Vehicle details Gari haina Deni lolote ndani ya Mwaka Mzima. ➡️TRA ✅ ➡️SUMATRA ✅ ➡️BIMA ✅ ➡️NO TMS DEPT ❎ Location; Sumbawanga
  18. G

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Fuso inauzwa Dar, Shekilango

    Engine na kila kitu viko safi sana. Napatikana kupitia hii # 0752725614
  19. BIGstallion

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza iMac Desktop

    Processor 2.4GHz intel Core 2Duo Memory 4GB 800Mhz DDR2 SDRAM Graphics ATI RADEON HD 2400 XT 128MB Display 20-INCH Storage 250gb Bei tzs 250,000/= 0659504481 Nipo Mbagala
  20. Mbimbinho

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza WANHOO toyo bei ya kutupa

    Habari wakuu, Natupa wanhoo toyo kwa bei ya sh 1.7m only. lina tatizo la plate clutch tu, gear namba moja ina shida ila linaondokea gear number 2. Nauza kwa kuwa naenda mkoani soon, nilikuwa natumia kusambazia vinywaji basi, now limekaa tu mwezi sasa. Lipo GOBA njia nne. Aliye interested...
Back
Top Bottom