nauza

  1. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Bunju A, Dar es salaam

    kiwanja kiko Bunju A, Kinondo. Mpakani mwa Madale na Mbopo ukubwa ni hatua 22 kwa 25 dakika 10 kwa Boda kutoka Bunju Shuleni Kimehakikiwa na namba ya uhakiki ipo (hati bado) Kinafikika kwa namna zote: miguu, pikipiki, baisikeli au Gari eneo limejengeka sana 6,500,000Tsh tu za Kitanzania...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Chalinze

    Nauza kiwanja changu Chalinze mjini bei milioni mbili na nusu kipo kudiyembe umeme hauitaji jengo nikuvuta waya tu ukubwa wa kiwanja 20*19 mawasiliano 0656660026.
  3. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza printer aina ya HP 1515

    Nauza printer ya HP 1515 BEI TSH 40,000 IPO VIZURI Adapter yake haipo 0658 106 630
  4. Steve Knows

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Nokia C10 ikiwa na kila kitu Ilichokuja nacho (Fullbox), nimeitumia kwa miezi 2 ruksa kuikagua

    Technical specificationsNokia C10 Shoot HDR photos and admire them on the HD+ screen. Colors Light Purple Display Aspect ratio: 20:9 Cover glass: Toughened glass Features: Brightness 400 nits (typ.) Size:6.5 inch Resolution: HD+ (720 X 1600) 6.5 inch Imaging Features: Night mode, HDR...
  5. Jr. Gong Mira

    JamiiForums Tanzania Nauza Vespa NV

    Nauza Vespa NV Ipo katika condition nzur labda. Napatikana Zanzibar Bei 1,800,000/= No. 0655 205796
  6. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Maharage mapya ya njano Mazuri yapo Dar es salaam kilo Shilingi 2500

    Habari wadau nauza maharage mapya mazuri ya njano kwa bei ya jumla. kilo moja nauza shilingi 2500. Mzigo upo tani 2 na nusu asante. Tuwasiliane kwa namba ya simu +255789740368
  7. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Halotel MIFI (router) 4G

    Ni router inayotumia single sim card ya Halotel, ipo na box lake ila imetumika kidogo Bei Tsh 40000 Location: Mwanza Charger haina, ila inatumia charger ya simu Halotel wanasema kifaa hiki kina connect devices kumi UPDATE; nilishaiuza
  8. G

    JamiiForums Tanzania Nauza Harddisk za desktop /CCTV camera

    Nimo na Harddisks za desktop/CCTV Camera naziuza 500gb= Tsh. 35000/= 1TB = Tsh. 90000/= 2TB = Tsh. 110000/= 3TB =Tsh. 130000/= 4TB = Tsh. 160000/= Napatikana Kariakoo, mtaa wa Likoma... simu/ whatsap 0673330618
  9. our shoptz

    JamiiForums Tanzania Nauza mixer ya kukanda unga ya kilo 12.5

    Nauza mixer ya kukandia unga kilo 12.5, mashine iko Mbezi beach Dar es salaam. Bei 1,500,000 maelewano yapo kwa aliyetayari. Karibu inbox.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nauza Mafuta ya Alizeti mazuri sana

    Nauza mafuta ya alizeti kwa jumla na rejareja. Dumu la 5ltrs kwa 25,000 tu na 20ltrs kwa 96,000 tu. Mzigo upo Sinza, Dar.
  11. Azul

    JamiiForums Tanzania Nauza mzani wa kupima uzito wa mwili

    Habari ya leo ndugu zangu. Ninauza mzani wa kupima uzito mwenyewe, kwa wahitaji wote kwenye maabara ndogo au wafanya diet. Bei ni elfu 70,000/= Napatikana Kahama, ila mkoa wowote nipo tayari kuutuma baada ya maelewano. Mawasiliano: 0699256064 Karibuni
  12. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba kibaha Picha ya ndege 45 ml

    NYUMBA INAUZWA Milioni 45 tu(45,000,000/-) Ilipo kibaha picha ya ndege. Kilomita moja kutoka main road. ENEO UKUBWA 20*25 VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO LA NDANI Nyumba ni nzuri sana mawasiliano 0783985530 karibuni sana
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nauza iphone na google pixel kwa bei ya kutupa

    Nauza simu zifuatazo kwa bei ya kutupa a.k.a mateke Iphone xr gb 64 price 540,000 iphone xr gb 128 price 600,000 Iphone x gb 64 price 470,000 Iphone xs maxbattery (-)560,000 iphone 11 gb 64 price 710,000 Iphone 11 gb128& 256 price 790,000 *Iphone 11 64Gbprice790,000 *( boxed)...
  14. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza bidhaa za aina mbalimbali

    Habari wapendwa, vimebaki vifaa vichache vya stationery, nauza kwa bei nafuu. 1. Epson L3150 (Imetumika miezi mitatu tu, hata wino haujawahi badilishwa na bado wino upo mwingi sana na ina box lake) inatumia wifi pia (bei ya kuuza 350000/=) na wino wake mpya kabisa (bei 20000) 2. Lamination...
  15. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Nauza nguo Vingunguti Dar

    karibu kwa nguo za kike short dress na magauni bei chee 7k. Namba 0787616723 whstpp
  16. Msokwa1

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale NAUZA SMARTPHONE OPPO R7 PLUS

    nina smartphone aina ya oppo r7 plus yenye sifa zifuatazo:- 64GB storage 4GB ram 6.6 inches display size aina ya omoled yenye graphic kali sana 13mp back camera yenye kuonyesha kitu katika ubora wa hali ya juu. napatikana bagamoyo pwani kwa simu nambari 0748106950 nahitaji 130k kwa hii simu...
  17. Frankdaniel711

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Subwoofer spika 3

    Wana jf habari subwoofer yangu nauza Inatumia Bluetooth, flash, memorycad Pia kwa watu wenye sola wanaweza kutumia pia Volume 98 Bei 95,000 Nipo Chanika dar es salaam Mawasiliano 0623892902
  18. N

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu

    Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 60,000 tu *Screen (5.7 Inches) *Battery (3020 mAh) *RAM (1.00 GB) *Storage (16.00 GB) *3G/2G auto Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na charge na haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote, nauza bidhaa ambayo ipo kwenye ubora na haina...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Nauza iPhone XR

    iPhone XR 128gb clean no problems , True Tone na Face ID . Battery 89% charge full day ni wewe . Price : 500k Reasons for sale : upgrade Ila ni simu nzuri Sana Comes with og usb charge Location : tanga Mjini Dar : Monday First come first served . Sina siasa Pics : i will upload. For...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye vyumba viwili kinauzwa Kibaha kwa Mathias

    Kipo Kibaha kwa Mathias karibu na kambi ya jeshi nyumbu mtaa unaitwa mita 50, kimejengwa vyumba viwili na choo. Vyumba vimewekewa umeme tayari, maji pia yamefika maeneo hayo. Kimepimwa kwa hatua za miguu tu hatua 30 urefu na 10 upana . Pamejengeka tayari, ni eneo lililochangamka. Bei Milioni 15.
Back
Top Bottom