nauza

  1. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba langu heka 3

    Habari wapendwa nauza shamba langu Lina heka 3 tu lipo kati kati ya Fukayosi na Kiwangwa karibu na Bakhresa, ni Mali halali lenye hati na linatambulika Serikali za mtaa kutoka barabaran kuu mpaka shamba lipo Ni dakika 25 Heka 1 - 1m WhatsApp 0715160365 Mimi ndio mmiliki
  2. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu Tsh 1,500,000

    Nauza kiwanja changu niki kizuri kipo Iringa mjini maeneo ya Tagamenda karibu na shule ya secondary Tagamenda Ni kilomita chache kutoka ipogolo stand Hatua 28 kwa 20 Bei Tsh 1,500,000 Haipungui Piga 0759500807 Karibuni Hichi hapa kwa picha Huu ndio mtaa kilichopo kiwanja barabara...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Kibaha kwa Mfipa

    Habari Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000. Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa pikipiki ni mwendo wa dakika 7-10 na kwa miguu ni mwendo wa dakika 20-25, kipo upande wa kushoto ukiwa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya Samsung A04 used

    Habari wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, 👉 Aina ya simu ni SAMSUNG A 04 ya rangi nyeusi, nilinunua mwezi wa 5 mwaka huu. 👉 Haina cracks wala faults yeyote ni nzima kabisa isipokuwa tu haisomi earphones na badala yake huwa natumia earpod za ku-connect na bluetooth. 👉...
  5. JamiiForums Tanzania Nauza mahindi, kila gunia Tshs. 80,000

    Wandugu habari ..Nina MAHINDI nayauza Niko na GUNIA 50, kila GUNIA nauza Tsh 80,000 hali imekuwa mbaya sana naomba wa kunisaidia kuyanunua Kwa harakaharaka, shamba Liko Tanga, Kwa maelezo zaidi na utayari Tuonane Inbox 📥
  6. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Hard disk(HDD) za laptop kwa bei ya jumla

    Hard disk za laptop mpya 500 GB = 45,000 tsh Ukihitaji kuanzia mbili bei inapungua kwa mawasiliano zaidi 0621 089 762 tupo dar es salaam
  7. JamiiForums Tanzania Nauza bag limejaa nguo!

    Nguo jumla zipo zenyewe ni kadet zipo 4 jeans zipo 3 track suit 1 Size ya kiuoni ni 30/31 nguo zote. Nakuuzia zote na bag nakupa Bure kwa jumla 40,000 tu. location: Ubungo Kibangu nitumie SMS: 0752 565852
  8. N

    JamiiForums Tanzania Toshiba External Hard Disk GB 500 inauzwa

    Nauza External hard drive (Toshiba) yenye ukubwa wa GB 500 Ipo kwenye hali nzuri sana na haina tatizo la aina yoyote Bei Ni Tshs 65,000 maongezi kdg yapo Nipo Mbezi Stand ya Magufuli TAYARI IMESHAUZWA
  9. B

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Samsung note 20 5g full box

    Nauza Samsung Galaxy note 20 5g full box kwa 630k tuuuu Ina ram 8 storage 128 Pia zip Nokia 3310 kwa 65k tuuu
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Dumbbells used

    Uzito -30kg Bei-200k Maelewano -yapo.
  11. JamiiForums Tanzania Nauza Magunia ya Mahindi KG 100

    Habari za kazi wakuu, mimi ni mkulima kijana nimeamua kuuza nafaka nilizo vuna mwenyewe bila dalali, mahindi yana ubora wa hali ya juu, store nina gunia 30 nauza 1 kwa 100,000. Sitaki dalali. Store ipo Arusha Ilboru. Number za simu 0763574651 serious buyer only udalali sitaki.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Goba

    Ninauza kiwanja changu kipo Goba Kulangwa kina ukubwa wa mita 15 kwa mita 30. Bei ni milioni 14 Nyaraka Serikali za mitaa. Huduma zote za kijamii zipo 0762282526
  13. JamiiForums Tanzania Nauza Eneo Langu Morogoro Mjini

    Habari wakuu Nauza eneo langu lenye ukubwa wa kari 3 liloko Mkoa wa Morogoro, eneo la Wami Luhindo (km 20 toka msamvu stend, Dodoma road) , Kisha unaingia bara bara ya vumbi na gari km 8 hadi eneo la kiwanja. Eneo liko jirani na kiwanda cha nyama. Bei ya kuanzia kwa ekari ni laki 8 Kwa maswali...
  14. JamiiForums Tanzania Nauza laptop yenye kasi sana: HP Elite

    Imenunuliwa Picha post #2
  15. JamiiForums Tanzania Bati(ALAF) zimebaki baada ya kupaua nauza

    Salama Wakuu? Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama siku 6 tangu zitoke kiwandani. Unaweza nichek PM kama uko interested bati zipo Kimara Dar es salaam...
  16. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nina shida sana, nauza hiki kiwanja kipo Arusha Mjini

    Salaam Wakuu Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm. Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na serikali ya mtaa, hii ni kwa maeneo yote ya engosheratoni. Ukaribu wa Kiwanja kipo karibu na shule ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nauza mawazo

    Ndg wana JF, Kwa heshima na taadhima, naomba kuujulisha umma wa Watanzania kuwa kuanzia leo nianzishe biashara ya kuuza mawazo kwa watanzania wenzangu pamoja na wageni juu nini mtu afanye for development sake. Sasa nimeona sina budi nijiajiri ili niwe nawauzia bidhaa hii baada ya kufanya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2004 nilikatwa mapanga na vibaka mkoani Geita nikisotea kazi Mgodini mpaka leo sijatoboa nauza Kangala tu

    Baada ya kumaliza kidato sikupata chuo. Migodi mikubwa ndio ilikuwa imeanza kufunguliwa nchini. Mimi nikaona isiwe tabu nikaenda Kakola mkoani Kahama kusotea kazi. Kazi zilikuwa ngumu sana kupatikana. Kama huna konection unasotea huku ukiishi kwa kuvunja magoti wanaotinga. Nilivyooona Mambo...
  19. JamiiForums Tanzania Nauza mashamba yangu Kisarawe (MASAKI) milioni 2 hadi 3 kwa heka

    Karibuni mashamba bei sawa na bure. Mashamba yapo dakk 30 kutoka kisarawe mjini. Maongezi yapo kdogo. Namba 0627757086
  20. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja changu Arusha mjini kwa Tsh 7.5 milioni

    Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM. Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice. Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za kijamii. Wasiliana nami kwa 0744718928. karibuni sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…