Bati(ALAF) zimebaki baada ya kupaua nauza

TechWarlock

Member
Sep 9, 2014
37
11
Salama Wakuu?

Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama siku 6 tangu zitoke kiwandani. Unaweza nichek PM kama uko interested bati zipo Kimara Dar es salaam.

BEI:
Nilinunua kwa Tsh 23,840 kwa mita ila nauza Tsh 21,000 kwa mita, na kofia/valley(mita 3) kwa Tsh 21,000(nilinunua kwa Tsh 24,000)
 
Bei gani
 
Kuandika maneno yooote hayo ila umeshindwa kuweka Bei? Au ndio kila mtu apigwe bei yake uko PM?
 
Salama Wakuu?

Nina bati 13 za ALAF zimebaki baada ya kupaua naziuza, 11 ni za mita 3 na 2 ni za mita 3.3 nina kofia 1 na valley 1 zote ni charcoal grey na aina ya bati ni Versatile, zina kama siku 6 tangu zitoke kiwandani. Unaweza nichek PM kama uko interested bati zipo Kimara Dar es salaam.

BEI:
Nilinunua kwa Tsh 23,840 kwa mita ila nauza Tsh 21,000 kwa mita, na kofia/valley(mita 3) kwa Tsh 21,000(nilinunua kwa Tsh 24,000)
Uzi bila picha
 
Mafundi wanazingua sana kwenye makadirio
 
Back
Top Bottom