nauza

  1. Yusomwasha

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu karibuni. Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo; Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza Kama ni bidhaa, elezea hali yake (mpya au imetumika muda gani) huku...
  2. N

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza mrUk Subwoofer kubwa bei chee Tshs 110,000

    Nauza Subwoofer aina ya mrUk UK21T23 kwa bei ya Tshs 110,000 Nimeitumia kwa muda wa miezi 3 tu bado ina upya wake na boksi lake pia bado lipo Haina tatizo la aina yoyote na haijawahi kwenda kwa fundi ila naiuza ili nitatue changamoto zangu Ukiiona ndo utaamini ninachoeleza hapa Karibu...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bajaji Namba B

    Bajaji Bei 1.5M, Iko vzur engine iko vzur, njoo ukague ulipie uondoke nayo mawasiliano 0693 794 907 location Dar es salaam Airport N.B haijaenda body.
  4. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Gari Kali, Jeep WRANGLER

    Nauza Gari yangu Aina ya Jeep WRANGLER ya Mwaka 2018. Registration T 127 CUA Make: Jeep Model: WRANGLER Body type: Station Wagon Colour: Green Year: 2018 Fuel: Diesel Price: 65,000,000/=
  5. FirstClass

    JamiiForums Tanzania Nauza crets za bia na soda

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, napatikana Mbezi Beach Jogoo.. Gharama ya kila cret ni Sh 15000. Napatikana kwa namba 0764813772.. Karibuni
  6. ENICK

    JamiiForums Tanzania Nauza ndoo za lita 20 nzito nyeupe transparent

    Nauza ndoo za lita 20 nzito nyeupe transparent bei ya jumla 0768686677.
  7. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Nauza vikombe, kumi ni 14,500/- TU

    Habari wakuu, Nina vikombe vya udongo takriban 200 hapa ofisini naviuza. Chukua kuanzia 10, update kwa elfu 14500 TU. Call 0628731833
  8. the lucky mlokole

    JamiiForums Tanzania Nauza kuku aina ya saso umri miez 3

    Nauza kuku aina ya saso umri miez 3 Bei 12000 location tanga korogwe Mikoa jiran wanakufkia ninao 85 Mawasliano 0682060425
  9. I

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza HP Folio 9470M, Dodoma Mjini

    Habari Wakuu, Nauza laptop yangu sio dalali. Hp,Core i5, Intel(R) Core (TM) i5 Family Processor 4th Generation Laptop 4GB installed RAM. Processing Frequency of 2.40GHz X 2.3GHz. 4CPU's (Core Processing Units) 500GB of HDD STORAGE. Backlight keyboard Bluetooth & webcam Original Hp folio...
  10. MOSintel Inc

    JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya Alizeti kwa nei ya jumla kwenye madumu ya Lita 20 (NAVUNJA BEI)

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu). Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  11. Jozedan56009

    JamiiForums Tanzania Nauza monitor dell e2011h 20"

    Bei 180 Maongezi yapo 0678650509 . Nko mbez mwisho
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nauza simu ya mkopo

    Ndugu zangu Nina simu nauza ila ni ya mkopo. Imebakiza miezi mitatu kumaliza. Ni Infinix smart 7+. Nina dharura na Sina kitu kingine Cha ziada. Anaeweza kunisaidia kuinunua naomba tuwasiliane please.
  13. Digital base

    JamiiForums Tanzania Nauza vyombo vya ndani nahama mkoa

    Hello habari ya leo wadau , Mimi naishi Dar Es Salaam Kimara Temboni na sasa nahama kikazi kwenda mkoa mwingine Nauza vyombo vyote vya ndani ambapo katika vyombo hivyo nna TV Inch 32 kampuni ya Ailyons na king'amuzi Cha Azam cha Dish vyote Tsh.270,000 Sofa za watu wawili mbili zote...
  14. Vituka

    JamiiForums Tanzania Nauza Ekari 5 along ring road Dodoma

    Eneo lipo karibu na hii barabara. Kwa aliye serious anifate DM. Asante.
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji vitanda vya hostel? Nauza vitanda na magodoro yake, viko kwenye hali nzuri sana

    Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari. Size ni 3x6 Mbao ni Pine na Cyprus Bei 100,000 na godoro lake. Location: Dar es Salaam Waweza nipigia 0717454455/ 0767454455
  16. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza FishFinder

    Humminbird HELIX 12 ($1000) This is one of the units the Wired2fish staff has the most time with and can say without reservation that this is one of the best units on the market for anglers. Our team regularly gets images you would swear were better than the much higher end units. The...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza heka 3, zipo Kibaha

    Nauza Heka 3 zipo Kibaha Zina hati zimepakana na barabara ya kwenda Morogoro. Heka moja nauza mil 300 eneo ni zuri sana kama unahitaji piga sim no 0659161693. Karibuni sana
  18. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba langu heka 3

    Habari wapendwa nauza shamba langu Lina heka 3 tu lipo kati kati ya Fukayosi na Kiwangwa karibu na Bakhresa, ni Mali halali lenye hati na linatambulika Serikali za mtaa kutoka barabaran kuu mpaka shamba lipo Ni dakika 25 Heka 1 - 1m WhatsApp 0715160365 Mimi ndio mmiliki
  19. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja changu Tsh 1,500,000

    Nauza kiwanja changu niki kizuri kipo Iringa mjini maeneo ya Tagamenda karibu na shule ya secondary Tagamenda Ni kilomita chache kutoka ipogolo stand Hatua 28 kwa 20 Bei Tsh 1,500,000 Haipungui Piga 0759500807 Karibuni Hichi hapa kwa picha Huu ndio mtaa kilichopo kiwanja barabara...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Kibaha kwa Mfipa

    Habari Nauza kiwanja changu ambacho unaweza jenga nyumba ya makazi chenye ukubwa wa miguu 20 kwa 19 maeneo ya Kibaha kwa Mfipa. Tshs 5,000,000. Kutoka Kwa Mfipa stand hadi kwenye Kiwanja kwa pikipiki ni mwendo wa dakika 7-10 na kwa miguu ni mwendo wa dakika 20-25, kipo upande wa kushoto ukiwa...
Back
Top Bottom