nauza

  1. V

    JamiiForums Tanzania Nauza Carton Boxes

    Nauza Carton boxes kwa ajili ya kuweka bidhaa mbalimbali, ziko pcs zaidi ya 400 nicheki kwa namba 0744117116
  2. J

    JamiiForums Tanzania Nauza midoli ya kuuzia/kuvalishia mawigi

    Kwa anayehitaji Midoli ya Kuuzia Mawigi tuwasiliane. Ipo zaidi ya 20. Nauza sababu nimebadilisha biashara. Nipo Goba Dar-es-salaam. 0713794962 bei ni 9000tsh kila mmoja
  3. C

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja kibaha kwa Mfipa mil. 1.5

    NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA. LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO. NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI. MCHANGA UKO HAPO HAPO TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750 MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE MCHAKATO WA KUYAINGIZA KUTOKA MAIN ROAD KM. 1.5 Square mita 300 Bado sijapata mteja sahihi. NATAKA...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa Watumiaji wa Printer za Epson na Nyingine. Inkpad Reset software Nauza

  5. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Dell Laptop Latitude 5300, core i5, Ram 8GB SSD 500GB. 8 generation

    SPECIFICATION Model : Dell Latitude 5300 Processor: Core i5 Ram : 8 GB SSD : 500 GB Size : Inch 14 Generation : 8 Window : 11 Screen: Normal and Touch screen Bei : 500,000/= Computer ni used ila ipo kwenye ubora mzuri sana kama mpya. Inakaa na charge zaidi ya masaa kumi ukitumia mfululizo. Ina...
  6. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu ya Galaxy S8 plain used Dar es Salaam kwa bei nafuu

    Habari wadau, Nauza simu yangu kwa mtu anayetaka kuinunua hapa Dar es Salaam. Nakupa na chaja yake bure. Simu ipo rooted na unaweza kutumia line 2 za simu. Kama utataka nikufungulie social media accounts (Instagram, Facebook, X, nk), nitakufungulia bure. Pia kama utataka links za websites za...
  7. JamiiForums Tanzania Nauza dagaa nyama (uwono) Dodoma

    Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji. Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie tafadhali.
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Nauza mifuko ya Cement kwa bei nafuu sana - 15,000

    Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara. Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti ya EFD ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
  9. JamiiForums Tanzania Nauza vitu vifuatavyo

    Karibuni wote tunauza mashuka bei zinatofautuana. Tunauza cover za sofa na za bed cover. Tunauza mapazia kwa bei nafuu karibuni wote ni ukitaka kujua bei ya chochote hapa. Nipigie 0699 227942 Duka lipo Arusha mjini.
  10. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza sound bars

    Soundbar hizo zina mziki mzuri, zina Bluetooth USB na HDMI Bei: 120,000 Zipo Dar Mawasiliano: +255621396850
  11. JamiiForums Tanzania Dewji: Biashara yangu ya kwanza nilikuwa nauza Mafuta ya Taa, Baba yetu alikufa masikini

    Mfanyabiashara mkubwa nchini Azim Dewji, ameweka wazi kuwa biashara yake ya kwanza kuifanya ilikuwa ni kuuza mafuta ya Taa. Akifanya mahojiano na CloudsTv Dewji amesema, "Biashara yangu ya kwanza nilinunua gari kwa mkopo, nikawa na gari lakini tulikuwa tunanunua mafuta ya taa kwenye madebe...
  12. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza deki ya home theatre aina ya panasonic

    Habari wadau. Deki ipo Dar, faida nyingine ya deki hii ni kwamba inayo amplifaya ndani yake , kwa hiyo unaweza kutumia kama amplifaya na radio kwa wakati mmoja. Bei : 130,000 Mawasiliano : +255621396850
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nauza amplifaya

    Location : Moshi, Kilimanjaro Bei 150000 Mawasiliano : +255621396850
  14. JamiiForums Tanzania Nauza Airtag Mpya kabsa- Elfu 50

    AirTags zilitangazwa katika hafla ya uzinduzi wa Apple mnamo tarehe 20 Aprili 2021. Zitatolewa tarehe 30 Aprili, lakini unaweza kuagiza mapema wakati huo sasa. Maagizo ya mapema yalianza tarehe 23 Aprili. Apple AirTags ni vifaa vya ufuatiliaji vyenye teknolojia ya Bluetooth vilivyoundwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Nauza welding machine

    Ni mashine mpya kama inavyoonekana pichani. 160 AMP Single phase. Bei 450000
  16. JamiiForums Tanzania Tunauza Magari Makubwa na madogo ya aina mbalimbali

    Basi lenye Terias injini ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo hata watu wahali ya chini wanaweza kumudu kwa mawasiliano zaidi bei ni tzsh mil 50,000,000 sababu...
  17. JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza iPhone XS Max Gold, bei ya kutupa

    Hello bosses and roses... Nauza Apple iPhone XS Max Gold kwa 500k tu. Nimeitumia kwa miezi miwili tu, battery health ni 87%. Bado ni mpya kimwonekano hata kimatumizi. UPDATE. ======== SOLD
  18. F

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza wenye viungo

    Habari za Leo wapendwa! Leo nawaletea biashara ambayo unaweza kuifanya kwa mtaji mdogo na kuifurahia. BIASHARA YA DAGAA NYAMANONO yaan dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza. Dagaa Hawa wakiwa wabichi, huoshwa vizuri na kuwekewa viungo Kama Chumvi, Swaum, tangawizi na limao. Baada ya hapo...
  19. JamiiForums Tanzania Nauza maembe Jumla

    Niko Kibamba CCM . Bei 300 Tsh kwa embe moja . Aina dodo na apple Piga: 0678650509
  20. JamiiForums Tanzania Nauza heka zangu 3 mili 3 na nusu

    Wapendwa kimfaa mtu chake nauza heka zangu zote 3 zipo Bagamoyo karibu na plot ya Bakhresa. Ni mali yangu halali nauza kwa sababu nipo mbali. Piga kwa maelezo zaidi 0715160365. Ni mali yangu hakuna dalali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…