nauza

  1. Tanki

    JamiiForums Tanzania Nauza Sabufa yangu. Ni mpya

    🔊 MziKi mNeNE 🔊 *Sabufa ni mpya, Ina wiki tatu tu tangu itoke dukani. Ina njia mbili za umeme, AC na DC, yaani inapiga kazi hata kwenye solar au betri tu ya gari au pikipiki. Ina Bluetooth FM Radio USB AUX Memory Card NOTE: Ipo na box lake na kila kitu chake, yaani waya zote na remote yake...
  2. The ice breaker

    JamiiForums Tanzania Nauza mayai ya kisasa

    Wakuu habari Nauza mayai ya kisasa Kwa bei ya jumla . Napatikana , dar es salaam kigamboni, hata ukiwa mkoani naweza kukutumia mzigo na unafika salama kabisa Kama upo dar , nafanya free delivery, nakuletea mpka ulipo. Bei Huwa inabadilika badilika , ila Kwa bei ya Leo ni 8000 Kwa trei...
  3. The_vision

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop yangu hii bado nzuri kabisa

    Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa Device: Renovvo Processor - 2.16 GHz RAM - 4GB EDITION - Window 10 pro Version - 22HZ CONDITION: Used like New BEI : 250,000 (njoo tuongee) 0687900668 namba yangu Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU) mwenge
  4. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Nauza Zambian Kwacha ya mwaka 2012

    Habari wakuu
  5. T

    JamiiForums Tanzania NAUZA KIWANJA

    Ni kiwanja namba 696 kina ukubwa wa sqm 12570. Matumizi ni Housing Estate. Kipo Mtaa wa Vikonje Kata ya Mtumba Dodoma Jiji. Bei ni 6,000/ kwa sqm moja. Kinafaa kwa shule, ofisi, apartments, hotel nk. Kimepimwa na hati iko kwenye process. Mazungumzo yapo. Umbali kutoka mji wa kiserikali ni km 4...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Nauza Freezer lita 200

    Nauza Freezer kubwa la lita 200 kwa 550,000. HALINA SHIDA YOYOTE. Napatikana Dar es Salaam.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nauza Mercedes Benz C Class (EHQ) TZS. 22m

    From Japan YOM 2007 1790cc Automatic Petrol 105,000 Kms Dar Es Salaam . 0717 650800
  8. The_vision

    JamiiForums Tanzania Nauza laptop yangu bado mpya mpya

    Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa Device: Renovvo Processor - 2.16 GHz RAM - 4GB EDITION - Window 10 pro Version - 22HZ CONDITION: Used like New BEI : 280,000 (njoo tuongee) 0687900668 namba yangu Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU)...
  9. covid 19

    JamiiForums Tanzania Aya wadau wa jamii forum nafanya derivery ya vifaa mbalimbali vya mifugo na kilimo popote ulipo nakufikia kwa bei ya jumla.

    Karibuni mnisupport wadau wenzangu. Mawasiliano 0769 055050 Nipples za kuku na nguruwe.
  10. new generation

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Vitz inauzwa

    Wakuu nauza gari yangu Toyota vitz Mwaka 2003/2004 Transmission automatic CVT Engine cc 1298 Colour silver. Ipo kwenye condition nzuri kabisa Tairi bado zipo vizuri. Air condition system ipo njema kabisa. Bei ni 6.3 mazungumzo yapo
  11. lembu

    JamiiForums Tanzania Epson Styplus Photo PX660 nauza iko Arusha

    1) Nina Epson Styplus Photo PX660 nauza iko Arusha. Namuhitaji mnunuzi wa haraka 2) Ninauza pia Photocopier ya Canon IR2202 Zote mbili hazijatumika sana
  12. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nauza condom za mtumba.

    Kwa anaehitaji ancheki Msiogope sio tu nguo za mtumba hata condom zipo za bei poa Cya Zina lazy nzuri kama mpya
  13. Nyani Ngwengwe

    JamiiForums Tanzania NAUZA LINE ZA UWAKALA WA MIAMALA YA FEDHA

    Wahi offer Laini za wakala zimebaki mbili ni full documented na tunaandikishana, ikiwezekana twende kuchange usajili Imebaki Halo pesa na Airtel money, Zote nataka 90K Karibu Dm
  14. Waibi fredy

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza eneo langu lipo Mkenge heka 3 price 3.5m

    Habari za majukumu wapendwa Nina eneo langu mwenyewe nahitaji mnunuzi lina heka 3 kwa bei 3.5m lipo njia ya morogoro kutokea bagamoyo kijiji cha mkenge mbele ya fukayosi Eneo lina hati ya mauziano linatambulika na serikali za mtaa. Pleas kama upo interested unaweza ukanicheki kwenye namba...
  15. TanPromotion

    JamiiForums Tanzania NAJUMLISHA GETO

    NAJUMLISHA GETO Godoro Dodoma 5×6 inchi 8=200k Kitanda chuma=160k Meza plastiki=30k Feni panga boy=30k mtungi wa gesi=25k Jaba +ndoo 2 =40k Kikapu Cha vyombo plastic=20k Viti plastic=30k JUMLA= 536k. (Reja reja ruksa kununua) OFA. - KODI Hadi October 30/2024✅ -Mto m1✅ LOCATION:Kivule...
  16. Kinamba namba

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza PC DELL, karibuni

    Wakuu, kama kichwa cha habari Specifications Processor: Intel (R) Core i5 -5200U. CPU @2.20GHz 2.19GHz Storage :500gb Ram :4gb Imetumika miezi 4 Bei: Tsh 350,000 Ipo Dar es salaam Temeke. Popote natuma PM^ UPDATE......... IMESHAUZWA
  17. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Mazda Cx-3

    Hii inaitwa panda kwenye gari na sio ingia kwenye gari. Mazda CX-5 Year 2013 Fuel Diesel CC 2180 Km 80k Price milion 27.5
  18. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Nauza Mazda Verisa

    MAZDA VERISSA YEAR:2015 CC:1290 KM:64k RIM SPORTS PRICE.milion 16.5 pamoja Na usajiri.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Mwanza, Shibula, 20x41, miloni 2 laki 3

    Kiwanja kimefanyiwa survey mnunuzi utaenda kuandikisha hati kwa jina lako. Whatsapp 0656388678
  20. Al-akhdally

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptop Acer mini

    Ni laptop nzuri sana na ngumu mno. Sifa Touch screen, HDD 500GB, RAM 4GB, SCREEN 11.4INCH VERY SLIM AND CLEAN IPO KISUTU DSM. BEI 230,000/= Maongezi: Yes Charge : 2hrs Namba ya sim: 0783973428
Back
Top Bottom