nauza

  1. deshanny

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Dell Xps 13 9365, core i7 7th Gen

    Dell Xps 13 9365 Convertible laptop Super Slim x360 13'3 inches sceeen Touch screen 7th generation Intel i7processor Ram 8 gb Ssd 256 gb Backlight keyboard Fully hd screen FHS, IPS Fingerprint Reader Face Id Camera x web camera Security Lock Slot Speaker Microphone 0689226818
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mahindi lishe kila gunia tsh 90,000/=

    Habari,ninauza mahindi lishe Kwa gunia Moja bei ni Tshs.90000/= napatikana mkoa wa songwe halmashauli ya tunduma. karibuni sana wateja.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza Simu aina zote

    Je, unataka simu bei chee? Je, una abudget ndogo na unataka simu? Je, unataka kufanya Top up au exchange? Nambie una budget ngapi tukupe simu kali ya budget yako. Exchange na Top up tunafanya! Simu tulizonazo dukani ni; 📱Google pixel 📱aquous arrow 📱samsung 📱Iphone 📱LG 📱Sonny Xperia...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nauza dagaa kwaajili ya chakula cha kuku

    Habari ya leo wakuu, Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku. Mawasiliano: +255679903535 Napatikana Dar es Salaam Bei: Ndoo ndogo 15,000. Ndoo kubwa 30,000.
  5. Big Fat Lady

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Fridge Used (Mr UK)

    SOLD
  6. excel

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Nauza Industrial Welding Machine.

    wazee wa kuchomelea vyuma vizito, vigumu mashine hio hapo inafanya kazi vizuri sana. niko mwanza igoma bei elekezi ni Milioni moja Tsh. Tuwasiliane Whatsapp +255772225555
  7. Nyabiri

    JamiiForums Tanzania NAUZA KAMPUNI YA ULINZI

    Wakuu habari za majukumu, Naandika kwenye jukwaa hili kujulisha lengo langu la kutaka kuuza kampuni yangu ya ulinzi ambayo tayari imekamikika usajili. Kampuni ilisajiliwa mwaka 2022 na kuanza kufanya kazi,lakini kutokana na sababu zilizo juu ya uwezo wangu nimetangaza kuiuza, Hivyo kama kuna...
  8. Mr Kazembe

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Graphic Card Nvidia RTX 2060 super 8GB

    Graphic Card Nvidia RTX 2060 Super 8gb Nauza Tsh 600000/= laki sita inacheza games zote wakuu niwewe tuu na wale watu wa 3d hii ni fursa kwako chukua piga kazi kwa uhakika 0657977457 📍Dar es Salaam
  9. Double line

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza printer Canon IP1188

    Habari wana jukwaaa kama kichwa cha habari kilivoanza hapo juu nauza printer yangu nilokuwa na malengo ya kufanyia kazi ila kutokana na mambo kwenda vile nilivyopanga nimeona bora mali yangu inisaidie kuliko kudhalilika mwenye kuhitaji mawasiliano ni +255747654242 nipo Dar
  10. iptl skanska

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot for sale at IPTL, Skanska Dar es Salaam

    PLOTS FOR SALE Total Size – 4000Sqm Price – 360,000,000 TZS Location – Mtaa (Sala Sala ) Kata (Wazo ) Barabara (Flamingo Road) Wilaya ( Kinondoni ) Title Deed – Under process Residential Purpose Close to Waziri Dorothy Gwajima 3 plots of 1333 sqm can be sold separately for 120M each. serious...
  11. USSR

    JamiiForums Tanzania Nauza viti hivi vipo zaidi ya 4000

    Kuna hivyo vya aina kama blue bahari 9500/= alafu Sina hiyo nyingine kama blue iliyokolea 8500/= Ni hasara but inabidi nifanye hivyo. Njoo inbox USSR
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM

    Nauza mashine ya kukamua juisi ya miwa. Imetengenezwa sido. Inatumia umeme na imetumika kwa takribani mwezi mmoja. Ipo Kimara DSM Inauzwa Tsh 700,000/ Phone: 0675336219 Mashine bado ipo wadau
  13. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Nauza Samsung Fridge

    Halina shida yoyote ni 100% Msasani bei ni fixed 380k aipungui, hivo hakuna maongezi please🙏 +255685909105
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mashudu ya Karanga nauza nipo Dodoma

    Mashudu mazuri ya karanga nauza nipo Dodoma bei maelewano nicheki kwa namba zangu +255682761740 tufanye biashara iliyonyooka ipo Tani 30 kilo sh.800
  15. kinojet

    JamiiForums Tanzania Nauza HP laptop Laki 2 tu

    HP laptop Intel core i3,Ram 4gb HD 320gb ,simu 0786570530
  16. kinojet

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptop Lenovo 400,000/-

    Lenovo laptop G50 , Intel core i7 RAM 4gb HDD 500gb, Graphics card 2gb ,simu 0786570530
  17. Chiareto Haule

    JamiiForums Tanzania Nauza mbao za mti wa pine

    Habari wanaforums! Nauza Mbao za mti wa pine zenye ubora, kipimo kilichojaa na bei rafiki. Size ambazo zinapatikana ni 2 by 4 2 by 2 2 by 3 1 by 4 1 by 10 1 by 8 1 by 6 Ninapatikana Wino Songea Tanzania Yard yetu iko Mkabala na njia juu ya Songea - Njombe Kwa Mawasiliano zaidi piga namba...
  18. Falzkunta

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Laptop Yangu

  19. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza PC mbovu

    Solid out
  20. Atlast nimempata

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu mpya Samsung galaxy A04s

    Hii simu (Samsung galaxy A04s) ni brand new kutoka dukani nimeitumia miezi 3. Naiuza kwa 300,000 tu! Maongezi yapo. Storage ni GB 128. Memory Ram 4Gb. Ni simu ya kisasa unaweza upgrade kwa mfumo wowote wa kisasa. Sasa hivi ina Android 14. Niko Dar es Salaam maeneo ya Mbezi mwisho ya kimara...
Back
Top Bottom