THE WINNER 24
Member
- Feb 14, 2024
- 49
- 62
Ni kiwanja namba 696 kina ukubwa wa sqm 12570. Matumizi ni Housing Estate. Kipo Mtaa wa Vikonje Kata ya Mtumba Dodoma Jiji. Bei ni 6,000/ kwa sqm moja. Kinafaa kwa shule, ofisi, apartments, hotel nk. Kimepimwa na hati iko kwenye process.
Mazungumzo yapo.
Umbali kutoka mji wa kiserikali ni km 4. Mawasiliano 0711670661
Mazungumzo yapo.
Umbali kutoka mji wa kiserikali ni km 4. Mawasiliano 0711670661