nauza

  1. MEGATRONE

    JamiiForums Tanzania Natafuta mnunuaji wa maharage ya njano gololi na combart

    Habari zenu ndugu zangu! Natafuta mnunuaji wa maharage ya njano gololi na combart! Anayehitaji tuwasiliane kwa mawasiliano: 0672473087
  2. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu, Xiami Redmi 13C

    Nauza XIAOMI REDMI 13C storage yake ni 128gb,ram 6gb, ina fingerprint pembeni, kila kitu chake ninacho, box receipt n.k na ina mwezi tu, iko poa na waranty kila kitu. nauza 200k tu, nipo mbezi magufuli iwahi faster 0697224996
  3. S

    JamiiForums Tanzania NAUZA LODGE/GUEST YANGU(DSM)

    HABARI WANAJAMII, NAUZA LODGE YANGU IPO WAZO HILL,KISANGA ROAD INAVYUMBA 11 VYOTE SELF AC,HEATER NA TV. NJE KUNA KAUNTA,CHOO,JIKO NA PARKING UKUBWA WA ENEO 1600 SQM MATARAJIO YA MAUZO KWA SIKU 165,000-200,000 BEI 130 MILLION :-KWA MTU SERIOUS TUWASILIANE SABABU YA BIASHARA NA MAZUNGUMZO...
  4. The last don

    JamiiForums Tanzania Nauza Macbook Pro za mwaka 2018 bei ya jumla

    Wadau wa graphics,gaming,na video production nauza macbook Pro za 2018 kwa bei ya jumla Specs: Macbook Pro display Retina Iris display 13.3' RAM: 16GB Storage: ssd 500GB Processor intel core i 5 3.1.Ghz Touch pad bar. Graphics: Intel Iris Plus Graphics 650,1536 bought from USA asking price ~Tsh...
  5. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza mashine yangu ya kutengeneza sabuni za miche

    Nauza mashine ya kutengeneza sabuni za miche iko complete na mixer ya lita 100 inafaaa kwa uwekezaji WA kiwanda kidogo.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nauza godoro qfl dodoma 140k LC 5×6

    Habari ndugu zangu kuna godoro naliuza qfl dodoma size: LC 5×6 bei 140K( negotiable) nipo dar es salaam. Karibuni sana
  7. Baba Atifah

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop HP probook used as new

    HP PRO BOOK core i5 Generation 4 Ram 4 GB 2.60GHz Window 11 pro 500 GB Cd door WiFi Bluetooth price 390,000 Call 0692562259
  8. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Nauza kitanda na godoro

    Nauza kitanda na godoro Kitanda ni 5/6 mbao ni mninga Godoro ni QFL dodoma nchi 8 ukubwa ni 5/6 Vyote nauza kwa 300k tu sababu ya kuuza ni alikuwa anatumia mwanangu now nmemnunulia vipya Karibu vipo tabata mawenzi 0659756647 calls/whatsapp
  9. E

    JamiiForums Tanzania NAUZA MAPARACHICHI

    Habarii za Muda, Nauza MAPARACHICHI kutoka moshi kwa gunia, noamba kama kuna mhitaji au dalali wa soko lolote Dar au popote tuwasiliane nikuuzie kwa bei nzuri kabisa, gunia ni 65,000 - 80,000 unaweza kupata idadi ya gunia utakazo Mawasiliano 0658644485
  10. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania NAUZA OVEN LT 40

    Nauza Oveni lita 40 Kampuni mr uk Bei lak 1.2 tu maongez yapo tabata shuleee 0697224996
  11. 90sgeneration

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kabati la nguo

    Ni zuri sana kama unavyoliona, rangi original 230k tu nakuachia 0697224996
  12. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums Tanzania Nauza vitabu vya maarifa kwa Mwanamke

    Habari rafiki. Naitwa Eva Mrema. Ni muelimishaji, kungwi na muandishi. Nakuletea ofa kabambe. Vitabu hivi viwili vya maarifa kwa mwanamke vinauzwa elfu 20 hardcopy. Lakini kutoka kwenye uzi huu utavipata kwa elfu 16 tu. SOFTCOPY utapata kwa elfu 3 tu, badala ya elfu 5. Karibu sana...
  13. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Nauza porte namba DTD

    Habari zenu!! Nauza gari yangu sio dalali gari ipo vizuri sana... Nipo DSM Bei ni milioni 9 maongezi yapo
  14. Aerma

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop bei kitonga-Mpya kabisa

    Nauza laptop my kabisa Laptop HP laptop 17 Processor: 11th gen, Intel tm 1.5 Hard drive: Ram 476 GB Memory: 16 GB Location: dar es salaam Contact: 0756523615 Price: 450,000.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nauza gari mbili zote namba "E" XT Subaru na Ractis

    Habari wana JF.. gari hizo hapo juu zote ni namba E zinauzwa nipo dsm kwa maongezi mazuri nitafute namba 0744566124
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nauza (Tshirt printing machine), inamfaa sana kijana aliyopo chuo. ni Biashara nzuri ya kufanywa na kijana chuoni.

    habari vijana. nauza brand new machine ya kuprint tshirts fasta fasta. bei ni laki nane tu ( 800,000/=) manufacture anaitwa ADKINS. ukihitaji piga namba 0616 577 289 mashine ipo kimanga Dar es salaam, ni brand new haijawai tumika. kwa kijana uliyopo mazingira ya chuo itakusaidia sana...
  17. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Computer HP Laptop mbili (2) mali yangu binafsi

    LAPTOP COMPUTER HP INAUZWA BEI SAWA NA BURE Brand: HP Model: Probook 450 G5 Ram: 16 Storage: 512 (SSD) Proccesor: core i5 Bei: Tsh 680,000/- Computer bado ipo Kwenye Hali nzuri kabisa Location Mbezi Dsm Phone No: 0714739838 Karibuni
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nauza abaya dresses kwa Tshs 50,000

    Nauza abaya dresses, Size l,Xl,2xl&3xl, Bei Tsh 50,000/= Tunapatikana kariakoo Mtaa wa Raha 📞0686841100
  19. V

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza oxygen concentrator litre 10

    Nauza Oxygen Concentrator Litre 10 kwa matumizi binafsi au ya hospitali. Bei 2 Mil, Maongezi yako. Nitafute kwa namba 0744117116, napatikana Dar mkoani natuma
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nauza Saa aina tofauti

    Nauza saa aina tofauti zenye ubora hakika kwa uaminifu. Karibu Napatikana Tabata, Segerea Mawasiliano: 0677009608
Back
Top Bottom