nauliza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chibike

    Nauliza tu wajameni, yule Mbunge aliebinuka bungeni kwenye meza, alirudi bungeni awamu hii?

    Hata simkumbuki jina...ila nikiwa hapa kanisani leo katika kanisa takatifu la kimitume katoliki parokia ya uparokiani Askofu anazungumzia jambo , anasema kua unaweza kua mtu mzima ila akili huna.. Ndio nikakumbuka tukio la mbunge aliechaguliwa Sasa sijui alichaguliwa na wananchi ama aliwekwa...
  2. Troll JF

    Makamanda nauliza D25 mmefikia wapi?

    Makamanda Shimboni! Nawauliza Mmefikia wapi maandalizi ya D25? Baada ya think tank yenu Mange kuwaacha kwenye Mataa? Hakika mnatapatapa kweli kweli hamna uelekeo na jinsi kulivyo huku nje sioni mkifanikiwa. Na vipi kuhusu Habil na Kabili alisema ata hack mifumo ya bank na TRA amefikia wapi...
  3. M

    Nauliza shujaa wa tiktok Habil Kabil yuko wapi?

    Namuulizia huyu jamaa alikuwa maarufu sana alinifanya niwe napenda kumsikiliza muda wote, anayejua habari zake yuko wapi?
  4. M

    Usafiri wa Bus za kwenda Dar-Kondoa

    Habar wakuu, Niko dar kesho nina safari ya kwenda Kondoa, nauliza kuna gari za kwenda huko? Ni kampuni gari nzuri ya bus za kutoka Dar kwenda Kondoa? Na nauli ni shilingi ngapi zinatoka Dar muda gani?
  5. Sales man

    Lile jambo lililotabiriwa kutokea mwezi wa 07 na mwezi wa 08, nauliza bado halijatokea?

    Nauliza manabii wa Tz , including britanicca n.k walisema mwezi 07 na 08 litatokea jambo ? Tunasubiri bado au limeshatokea.
  6. GENTAMYCINE

    Nauliza tu hivi Polepole angeendelea kuwa Mwenezi CCM Taifa au Balozi wa Cuba haya anayoyafichua sasa Serikalini na CCM alipanga kutuambia lini labda?

    Tafadhali nawaomba mlio nae karibu na kumuunga mno mkono mniulizie hili Swali kisha ama Yeye au Nyie mje Kunijibu.
  7. Nikola24

    Ni kweli mama yako mzazi ukimkosea, kwa hasira akavua nguo(kumwaga radhi) mtoto unakuwa kichaa?

    Kila mara huwa nagombana na mama kwa sababu hatuendani kitabia. Ana maudhi sana. Hajui kuongoza familia. Anapenda taarabu tu, matokeo yake amekuwa mtu wa vijembe. Sasa kuna washkaji wameniomya, kuwa mama yangu akivua nguo mimi nakuwa kichaa hapo hapo. Eti kweli? Nijibuni swali tu, umri wangu...
  8. chibe dayo

    Naomba msaada anayefahamu bei ya beef fillet

    Salamu, kwa wanajukwaa Kwa mwenye kufahamu bei ya beef fillet mahali popote nafika, msaada tafadhali
  9. Oscar Lyrics

    Nauliza ewe mwanaume wanao wanakufanana?

    Wanao wanakufanana au umeambiwa wanafanana na Babu mzaa Bibi, Mjomba shangazi nk? Kwa upande wangu wanangu wa kiume wanafanana na mimi copyright no DNA, wa kike ndo kafana na mama yake. Wanaume tuwe makini tusije kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
  10. Tech Max

    Nauliza nani amewahi kupata rafiki au mpenzi jinsia tofauti na yake kwenye app za Tinder, Badoo au Bumpy

    Nauliza nani amewahi kupata rafiki au mpenzi jinsia tofauti na yake kwenye app za Tinder, Badoo au Bumpy
  11. SweetyCandy

    Nauliza swali kwenu watu wajf

    Kama madaktari na watu wengine wanasema kutofanya mapenzi muda mrefu ni kupata tatizo la akili . Nauliza mbona waganga wameoa wake hadi 10 , na zaidi , na bado hawana afya ya akili nawamechanganyikiwa tu . Hadi wengine wanaparamia wateja wao . Kuna hawa wanaojiuza mbona wao wanafanya mapenzi...
  12. R

    Nauliza kwa nia njema tu: Hivi Gen Z Kenya wanataka nini?

    1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands. 2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8 3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki Sasa wanataka nini?
  13. SweetyCandy

    Nauliza swali tu niambieni

    Mimi nimkristo all in all kunakipindi na kipindi muazini akiazini na hamu ya kwenda kujumuika nao nakusali . Na asilimia kubwa wanaume wa kislaam wananipendaga , sana. Wengi hutamka ndoa . Wakristo asilimia 10 ndio wanajilazimisha,. Mie mwenyewe sana napenda kuvaa mahijab yale yakung'aa na...
  14. R

    Nauliza: Kwanini Jerry Silaa aliondolewa Wizara ya Ardhi? Alionekana kufanya kazi kwa weledi kupunguza migogoro ya ardhi. Let us speculate reasonably!

    Nilimuona kama alikuwa anaitendea haki wizara ya ardhi, alifanya kazi kwa weledi mkubwa kupambana na makanjanja wa ardhi akina Msama, Mushi na wengine. All of a sudden akaondolewa! What was wrong with him? Can any of us speculate logically? https://www.instagram.com/mangi_viwanja/reel/C73xMi-M6AJ/
  15. G

    dereva nauliza

    Tuliofanya practical ya madereva TRA vipi kuhusu majibu yameshatoka naona kimya mpka leo kuna lolote wadau
  16. G

    Level ya diploma information and communication technology nauliza maswali ya practical interview yana base wapi

    Wadau kwa aliewahi kufanya usaili wa vitendo kwenye level ya diploma in information and communication technology ni kipengele gani huwa wana deal nacho
  17. lugoda12

    Nauliza tu wadau!

    Kwanini gari za Serikali zikipata ajali wanawahi kutoka plate number faster? 😳
  18. Scared

    Wakuu samahani nauliza bato za alaf Kwa kibaha kiwanda Chao kipo sehemu gani

    Nataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu na he nyumba ya chumba kimoja jiko sebule choo inaweza ingia bati ngapi
  19. Dalton elijah

    Wapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Hapa Tanzania?

    Najaribu Kuuliza Kwa Hapa Tanzania Niwapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Ambazo Zinatumika Kwenye Mitandao ya Simu Asante
  20. Dalali wa Mjini

    Nauliza TU.

    Habari matajiri. Nauliza kwanini Wafanyakazi wanakuwa waaminifu Sana Kwa maboss lakini maboss hawawi waaminifu kwetu Sisi wafanyakazi? Kweli mtu unakuwa Na shida unamuelezea boss lakini boss anaona unamdanganya daah. Maboss zetu tunawakubali sanaaaaa
Back
Top Bottom