nauliza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu samahani nauliza bato za alaf Kwa kibaha kiwanda Chao kipo sehemu gani

    Nataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu na he nyumba ya chumba kimoja jiko sebule choo inaweza ingia bati ngapi
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Wapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Hapa Tanzania?

    Najaribu Kuuliza Kwa Hapa Tanzania Niwapi Kilipo Kiwanda Cha Kutengeneza Vocha Ambazo Zinatumika Kwenye Mitandao ya Simu Asante
  3. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Nauliza TU.

    Habari matajiri. Nauliza kwanini Wafanyakazi wanakuwa waaminifu Sana Kwa maboss lakini maboss hawawi waaminifu kwetu Sisi wafanyakazi? Kweli mtu unakuwa Na shida unamuelezea boss lakini boss anaona unamdanganya daah. Maboss zetu tunawakubali sanaaaaa
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nauliza mbona Telegram haifanyi kazi kwangu

    Wakuu, Naomba msaada, kwa nini Telegram haifanyi kazi kwangu? Wenye uelewa tafadhali nisaidieni.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Nauliza eti mshambuliaji hatari wa wa Simba anayeenda kwa jina la chasambi anaasili ya mkoa gani hapa Tanzania ?

    Wadau hamjamboni nyote? Siku njema
Back
Top Bottom