nataka

Nataka is a village in Mirzapur, Uttar Pradesh, India.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msaada nataka kufungua day care je nianzie wapi?

    Habari wana Jf nimeamua kufungua daycare baada ya kuhitimu diploma ya childhood education nimeamua nijiajiri,hivyo ninaomba mwenye uelewa wa taratibu za kufuata anielekeze tafadhali.Ushauri
  2. JamiiForums Tanzania Mlio single mnaishi vipi?

    Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu. Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije? Tuambizane. Changamoto mnazokutana nazo. Nipo serious
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nataka kufuga kuku chotara kidogo kwa ajili ya kuongeza mzunguko wa hela

    Habari wana jamii, Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku chotara vifaranga mia moja. Nivitunze na kuvilisha vzr, lengo nataka muda ukifika 40 niviuze halafu 60...
  4. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Mauritius kutafuta maisha

    Habari zenu wanajukwaa,nna mpango wa kwenda Mauritius kusaka life, naomba wenyeji wa huko mnipe habari mbali mbali zinazohusiana na nchi hiyo hasa katika masuala ya uchumi- ajira na biashara na mambo mengineyo. hii bongo ni ngum sana ata uwe na elimu gan bdo shida tu. karibuni wenyeji
  5. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu, nataka kwenda kwa mganga

    Nipo kwenye miangaiko ya maisha kwa muda wa miaka miwili sasa baada ya kupoteza kazi. Maisha yamekuwa magumu sana nimetumia akili, maarifa na kila ujanja lakini hali inazidi kuwa mbaya. Kila kitu sasa nimekuwa nakipata kwa shida iwe kula iwe mahitaji yoyote ya kila siku. Mimi ni mkiristo na...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kuingia Ngorongoro National Park (kiingilio, malazi, Chakula)

    Habari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuacha kula wanga kwa mwaka mzima

    Habari wana jamvi. Kijana wenu nikiwa na umri wangu wa miaka 33 kamili, nimedhamiria kwa hiyari yangu mwenyewe, bila kushurutishwa wala kushawishiwa na mtu yeyote; kuacha kula kabisa vyakula vyenge wanga. Vyakula vyenye wanga kwa wingi ni kama mahindi, mpunga, mihogo, viazi, magimbi, ngano...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kusoma certificate in business management au accounting

    Asalam Aleykum wanajukwaa! Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu katika masomo ya Sayansi (Bachelor of education in Science). Nimetafakari kuhusu kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya masters degree nikaona hakuna ulazima wa kufanya hivyo kwa sasa. Nmeamua kujiendeleza katika maeneo tofauti ya...
  9. JamiiForums Tanzania Nataka kuanzisha website au App ya Elimu, iguse wanafunzi shule ya msingi mpaka university

    Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university. Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule direct, mtabe wala smartclass. Nilikuwa nawaza kuwa na app ya kuuza vitabu ila nikaona bado utamaduni...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wazo la Biashara, mtaji Tsh 50,000/=

    Kama kichwa cha habari hapo juu naomba msaada. Nawazo la biashara nina mtaji wa 50,000.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kufungua Biashara ya kuniongezea kipato-Arusha

    Nishaurini ni biashara gani naweza kuifanya ili iweze kuniongezea kipato mtaji Millioni 10, usimamizi nitaajiri mtu wa kuisimamia, mimi niko na majukumu ya ajira, eneo la biashara Arusha mjini Mnakaribishwa kwa ushauri
  12. JamiiForums Tanzania Nataka ninunue Grundig Fire Tv, je nitaipata wapi?

    Grundig Fire TV ndio TV 📺 ya kwanza kutengenezwa kwa mfumo wa OLED. Je kwa Dar es Salaam naweza kupata bidhaa hii ya Kijerumani au mpaka niagize nje?
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

    Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia 🇷🇺 nchini Ukraine 🇺🇦. Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kufanya biashara ya kuuza mbuzi viwandani. Ni viwanda gani wanalipa vizuri?

    Nataka nifanye biashara ya kuuza mbuzi Ila niuze viwandani na sio mnadani, ni viwanda gani wanalipa vizuri na hawasumbui ulipaji? Na utaratibu ikoje? Naomba muongozo
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu nimesota kweli, nataka nianze kuuza miwa ya kukata kwenye vifuko

    Tangu nimalize masomo ya elimu yangu mwaka juzi nimekuwa nyumbani tu bila shughuli yoyote. Kwenye tembea tembea nimefikiria nianze kuuza ile miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. Kuna mtu amewahi kuifanya hapa anipe uzoefu kidogo?
  16. JamiiForums Tanzania Aliesoma Short Course za VETA anaruhusiwa kuendelea vyuoni

    Wakubwa samahani sana ..kama title inavyojieleza hapo juu nilikuwa nataka kujua je kwa aliesoma short course veta mfano ya electronics anaruhusiwa kuendelea kusoma vyuoni kwa ngazi tofauti kama certificate na diploma? Naombeni majibu wakuu
  17. JamiiForums Tanzania Nataka ninunue bidhaa online lakini sina kitambulisho chochote, inawezekana?

    Habari, Nataka kuagiza bidhaa online kwenye site kubwa kama amazon, ebay, aliexpress n.k lakini sina kitambulisho chochote kile, ila nina namba ya simu tu ambayo ni ya mtu. Sitaki yeyote aniagizie wala sitaki kutumia sanduku la posta la mtu mwingine. nachotaka nikiagiza bidhaa inifikie pasipo...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe na kampuni

    Kama thread inavojionesha ! Kama tunavojua ,sisi sote ni ndugu!! Basi naomba tusaidiane kwa hili!! Ndoto yangu ni kufanya kazi chini ya kampuni langu, ndiyo furaha nayoiwazia saana saana kwani naimani ya kua ,nikifanikisha kua na kampuni ,basi nitaweza KUJINYIMA USINGIZI kwa ajili ya kampuni...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Bariadi Mjini kufanya biashara ya nafaka

    Kwema wadau mimi kijana mfanyabiashara mdogo wa vinywaji baridi kama soda, maji n k. Lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri wa kibiashara na kimaisha. Nimepata wazo la kutaka kuhamia mjini Bariadi ili niendeleze maisha huko pamoja na biashara zangu Kwa ambaye anapafahamu vizuri...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kujenga naomba kujuzwa gharama za mambo haya

    Naomba kujua ndugu zangu, idadi ya MATOFARI, MABATI, MBAO, NA CEMENT, Ambayo yataniwezesha kumaliza ujenzi wa vyumba viwili na sebule.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…