natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi ya translation (Kichina)

    Ndugu zangu, kwanza poleni na kazi... Naomba mwenye contact au anayejua kampuni inayotafuta mkalimani wa Kichina, naomba unitafute WhatsApp +861572153760.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta Mbegu za Vibuyu kwa ajili ya Kilimo

    Zinahitajika haraka, mbegu za Vibuyu (Calabash Seeds) siyo Maboga, nasisitiza Kibuyu, hivyo kwa yeyote mwenye nazo au anayemfahamu aliyenazo awasiliane na What's App/Simu +255622 642620. Ushauri, mawazo au maelekezo kuhusu upatikanaji wake pia unapolelewa.
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Niko Dodoma

    Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka. Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya upishi

    Habari wakuu, Polen sana na majukumu nimekuja kwenu kwa mara nyingine tafuta kazi ya upishi. Mimi ni mpishi mzuri sana wa bites na chakula.
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi wapendwa

    Naomba kazi yoyote itakayo niweka mjini wakati nikihangaikia mambo yangu ya kuwa employed kulingana na professional yangu. Niko dar es salaam, 0767908931 namba yangu
  6. JamiiForums Tanzania Nina leseni Class E, natafuta kazi ya udereva wa IT

    Habari wana jamii, Poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa jina naitwa kelvin nina umri wa miaka 25 naishi mbeya sae-Tanesco Natafuta kazi ya udereva katika campany yoyote inayojishughulisha na udereva wa IT nina lesen ya class E nimesoma mafunzo ya udereva VETA na pia ninaujuzi wa ufundi...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa (Eva ulietoka ubavuni mwangu Bado nakusubiria)

    Habari Wana JF. Naitwa parson, Nina umri wa miaka 35, pombe na sigara situmii, Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa. Sifa ya mke nimtakaye. Umri kuanzia 30-36 Kabila -lolote Dini- yeyote Rangi -Natural (asiwe wadukani) Elimu- kuanzia kidato Cha nne mpaka chuo kikuu. N:B Eva...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta bajaji ya kuleta hesabu Dodoma

    Habari wapendwa, Niko Dodoma natafuta bajaji ya kuendesha na kuleta hesabu niko Dodoma. Naomba mwenye connection tuwasiliane.
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta partner tuanzishe NGO, jinsia KE

    Habari wakuu, kama title inavyojieleza nahitaji serious partner jinsia ya kike,tuanzishe NGO from scratch Mimi ni kijana wa kiume ni hard worker,serious,goal oriented na nimefanya kazi na NGOs kadhaa ikiwemo Ifakara health institute n.k tangu 2019 nimekuwa na ndoto ya kuwa na NGO kubwa hapo...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Binti Wa Kulinda Shamba!

    Shamba lipo Dar Akitoka Kanda ya Ziwa itakuwa poa. Sifa: Anaejitambua. Asiwe na Mume labda Mtoto 1 Awe Hajasoma sana,Std 7 Awe tayari kupima Afya Kazi Yake; Kupikia Wafanyakazi wa Shamba Kuhudumia mifugo Usafi wa Nyumba Ulinzi wa eneo husika. Eneo Husika: Ekari 3 Nyumba 2 Kuku,Bata,Mbwa...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kusafirisha maiti (coaster) kutoka Dar to Musoma

    Wakuu habarini za humu. Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza, natafuta gari ya kusafirisha maiti kutoka Dar to Musoma, iwe katika Hali nzuri. Kwa walio nazo, offer za bei zenu toeni hadharani kwenye comment nitakaefikia nae muafaka nitamfuata DM tukamilishe dili
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki wa jinsia zote umri kuanzia 25 hadi 35

    Wasalaam wakuu poleni kwa majukumu ya wiki nzima. Awali ya yote mimi ni kijana wakiume natafuta marafiki wa jinsia zote umri kuanzia 25 hadi 35, dini yoyote na kabila lolote ambao tunaweza kushare ideas mbali mbali na michongo. Sifa za marafiki ninao hitaji awe kwenye kada moja wapo kati ya...
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta baiskeli ya kununua

    Wapendwa, habari zenu? Natafuta baiskeli nzuri kwa ajili. ya matumizi yangu ya kawaida. Je, nani anauza na kwa bei gani? Asante
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta Mdau wa Utalii

    Habari wakuu, Natafuta mdau anayedeal na utalii hasa Arusha na Kilimanjaro nijue taratibu mbali mbali. Piga 0713 039 875
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya clinical officer

    Nina umri wa miaka 30, nimehitimu course ya tabibu msaidizi /Assistant Clinical Officer (C/A) Nipo Mwanza, lakini hata mikoa mingine nafikia nina uzoefu kazini zaidi ya miaka miwili (2) natanguliza shukrani zangu Namba zangu ni 0743 401 732
  16. JamiiForums Tanzania Nimesoma Mining Engineering, natafuta kazi. Napokea pia maoni na ushauri! Karibu

    Habari zenu wakuu! Nina elimu ya diploma ya Mining Engineering, nina uzoefu wa miaka minne (nimeshafanya kazi kwenye mining lab, quarry na small scale mines). Mwenye connection za kazi migodini, tafadhali naomba tuwasiliane kupitia 0622614105, hata mwenye ushauri au mawazo napokea! NB...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nina Diploma ya Civil Engineering, natafuta kazi

    Habari, Nina Diploma ya Civil Engineering natafuta kazi nipo Dar es salaam, naitaji kazi za site ili niweze kuwa vizuri zaidi Pia ni mtaalamu wa Autocad na Archicad pia vingi nimeandika kwenye CV yangu. Msaada mwenye connection yoyote anisaidie ili nami nipate ujuzi zaidi wa kazi
  18. JamiiForums Tanzania Mimi ni muheshimiwa, natafuta njia ya kupotea hata kwa miezi mitatu...

    Wakuu.... Nimeamua kushuka hapa Tinde, nilikua safarini kuelekea huko kijijini kwetu kutoka Daslam nilipo vunja udugu wa dam, baada ya kuona sitendewi haki ugenini. Na baada ya kuuza ng'ombe zangu 12, nikaona niwakomeshe kwa kuenda kulala stendi ili niondoke nyumbani kwao. Sasa lengo na...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Habari zenu wakuu? Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza natafuta mke wa kuoa awe serious na maisha umri miaka 24_30 kabila lolote ili mradi awe mtanzania dini sichagui wala rangi sijui sura mimi sichagui. Najua kuna wanawake wangependa kujua kipato changu mimi kwa sasa nabangaiza...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kwa udi na uvumba dawa ya kuondoa vyakula tumboni ili kitambi kiishe haraka

    Nimechanganyikiwa kichizi, bwana wangu mzungu anataka niondoe mkitambi wangu ndani ya miezi miwili ili tukafunge ndoa kwao Sydney. Naombeni jamani dawa ya kuondoa michemsho, mapupu, kyepe, miugali, na mazaga yaliyogandana tumboni. Mtoto wa ki Ara Chuga nsipitwe na bahati.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…