Aliiimba Hamza Kalala sikumbuki kama alikuwa na Bantu Group au peke yake.
Anasema eeeh eehe eehh kasimbagho, kabhuka. Mka mkamwana mkalole kasimbagho.
Mwenye huu wimbo please aubandike hapa. Natanguliza shukrani.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, natafuta mwanamke serious ambaye twaweza kuwa wapenzi. Ninaishi Dar.
Napenda huyo mwanamke awe na vigezo vifutavyo;
Umri: 22-30
Elimu : yoyote
Rangi : yoyote
Location: :Dar
Asiwe mwanafunzi wa chuo.
Aliyeserious ani pm nitampa mawasiliano yangu.
habari
wakuu ni matumaini yangu ni wazima kwa majina naitwa KELVIN GODFREY
jinsia ni mwanaume wa miaka 25, ni nimhitimu kozi ya kilimo na mifugo (diploma).
Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba wezekunipa ata kama ndo...
Im a female looking for a serious relationship age 35 above must be Christian, kabila lolote awe ameajiriwa au amejiajiri.
Mimi ni muajiriwa Serikalini niko Dar.
Kama kilivyoeleza kichwa Cha habari hapo .. mm nimkazi wa Arusha kazi Tourguide natafuta rafiki wakike mwenye umri kuanzia miaka 20-26 kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kufahamiana
Ndugu ni matumaini yangu ni wazima.
Kwa majina, naitwa KELVIN GODFREY, jinsia ni mwanaume wa miaka 25. Ni mhitimu kozi ya kilimo na mifugo(diploma).
Naomba kama kuna yeyote ataweza kuwa na mradi au kazi yoyote ya halali inayohusiana na taaluma yangu naomba aweze kunipa hata kama ndo inaanza...
Hello! Natafuta mtu anayefanya au kuniconnect na wakulima wakubwa na wa saizi ya kati sehemu yoyote Tanzania wanaojihusisha na kilimo cha mazao mbalimbali! Ikiwemo Parachichi, Maembe, Pilipili, Kunde, mbaazi, Njegere, Maharage e.t.c
Naomba tuwasiliane: 0743 848598
Kichwa cha habari cha husika!!
Nahitaji mtu ataenipa shule ya vitendo ya excel!!
Nitalipia!!
Kwann sijaenda vyuo/Taasisi
-Ok mm sina muda nafanya kazi kwaiyo siwezi kuendana na ratiba za huko nataka mtu ambae atanifundisha kwa muda wangu nikiwa na muda tusome sina basi hadi nijue
Malipo...
Wadau mwaka jana nililima ekari 9 tu huku Rukwa nikapata Tani 21 na kulingana na Hali ya mvua ilivyokuwa na bei za mbolea nahisi ningepata zaidi mwaka huu nimeandaa ekari 50 kama Kuna mzamiaji Kwa msimu huu unaoanza Novemba anitafute tuunganishe nguvu.
Habarini wadau wa hapa.
Rejea kichwa cha habari hapo juu natafuta wanunuzi wa jumla wa zao la mbaazi nimelima Morogoro. Kilo nauza 2000 karibuni kwa anayehitaji au anaye mtu anayehitaji mbaazi kwa wingi.
Karibu sana.
Ni kijana umri miaka 35, Elimu yangu diploma, sijawahi kuoa nipo Dar, dini mkristo. Bado natafuta mwenza wa kike umri miaka 28-32, awe anajishughulisha, awe mkristo, awe anakaa Dar. Aliye tayari anitafute inbox
Kwema wandugu....! Mbele yenu ni kijana wa miaka 24 na form six leaver miaka minne nyuma natumia jukwaa hili la jf kuomba msada jinsi ya kupata pikipiki ya mkataba kwani Niko katika jiji la Amoc makala na nikiwa nimekata tamaa na mafanikio na kazi nayoifanya...Incase ya dhamana sina chochote...
Habari zenu
Najua hapa jf Pana wengi ikiwemo wenye nyumba na wenye taarifa kuhusu nyumba.
Inatafutwa nyumba ya Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo. Mitaa iwe ya barabara ya mbezi magufuli kuelekea Goba hadi Goba penyewe. Pesa iliyopo 250000 kwa mwezi. Malipo hata yakiwa ya miezi...
Male 42, natafuta mwanamke wakuzaa nae japo na mie niitwe baba.
Huduma zote kuanzia mimba inapoingia mpaka kujifungua na malezi ya mtoto na mama yote juu yangu.
Mwanamke awe tayari kushika mimba kabla ya mwaka huu kuisha.