natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi: Finance, accountant, commerce, marketing au sales

    Natafuta kazi. Nina miaka 27 natafuta kazi katika industry ya biashara na fedha. Nina degree ya commerce in finance, 0764355802. I'm productive.
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kunisaidia kupata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive

    Kama unaweza nisaidia nikapata akaunti za udereva wa Bolt na Indrive kwa haraka. Nicheki PM tufanye makubaliano. Mimi nna gari ila sina akaunti. Utanisaidia kwa makubaliano tutayoelewana.
  3. JamiiForums Tanzania Nipo hapa uwanja wa fisi manzese natafuta mke

    Mwadila Wakuu nipo hapa uwanja wa fisi hapa manzese kutokea jana usiku saa nne kamili mpaka mida hii nikitafuta mke wa kumuoa hawa machangudoa. Kuna mdau wangu mmoja aliwahi niambia eti machangaduo ukiwaoa wanatulia kwenye ndoa sana kwasababu yeye ameoa changudoa tena amemtoa pale mwananyamala...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta ajira ndugu zangu

    Umri: 38 years Elimu: Kidato cha sita na computer course. Uzoefu: Ualimu wa computer na kazi ya Patron shule ya sekondari. Uwezo: kufundisha computer, kiingereza na kazi za malezi kwa vijana na wanafunzi. Makazi: Dar es Salaam OMBI: NATAFUTA KAZI YOYOTE HALALI, MASHULENI NA MAOFISINI PIA...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta hospital yenye daktari mzuri wa koo

    Nitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam. Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
  6. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta kazi iwe kwenye taaluma yangu au nje ya taaluma yangu nimehitimu diploma ya uhasibu na nina uzoefu kama cashier kwa miaka mitatu na kuuza duka Napatikana Dar es Salaam Asante
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu cha C Language

    Apart na kuagiza nje ya nchi ambapo itachukuwa muda mrefu wa wiki mbili. Nataka kujua wapi ndani ya dar es salaam naweza kupata hiki kitabu kwa ajili ya programming.
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Kama kichwa cha habari kilivyojieleza natafuta kazi nafasi yoyote kasoro za ndani, bar Umri :29 Elimu: Shahada ya mambo ya Computer na ulinzi wa taarifa. Mahali nakoishi: Tegeta -Dar Jinsia: Kike Tafadhali tusaidiane maana hali si hali.
  9. JamiiForums Tanzania Kwa mwenye kuhitaji dereva mwenye sifa nzuri, napatikana

    Habari! Jina langu naitwa James Patrick nina miaka 24. Naishi Kunduchi, Dar es salaam. Elimu yangu mimi ni kidato cha nne na tokea nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana magari. Kwa sasa fani yangu ni udereva ambao nimeanza tokea 2014, na nimefanya kazi kwenye kampuni nyingi tu, kitu ambacho...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari zenu. Mimi ni Dada wa miaka 32 naishi Dar es Salaam natafuta kazi za ndani au dukani, elimu yangu kidato cha sita ni mwaminifu na mcha MUNGU nimeokoka nasali Reality of Christ Sinza Mori.
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta Partner kwenye biashara ya marudio (Uchenjuaji wa marudio ya Dhahabu)

    Wakuu habari zenu. Nitaenda moja kwa moja kwenye mada, natafuta mtu ambaye nitashirikiana naye katika biashara ya uchenjuaji wa marudio ya dhahabu. Marudio yapo maeneo ya Morogoro, marudio yenyewe yanasoma kati ya 1.2ppm-3.2ppm kwa hiyo average nakisia inaweza kuwa 1.8ppm ila itabidi...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki

    Mimi natafuta marafiki wakubadilishana mawazo. Sifa awe anajielewa mtaratibu na mwenye heshima . Sichagui jinsia hata wote tu .
  13. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya networking na security system installation

    Kwa wale wenye Nia za kuifungua ofisi ambazo zinahitaji network au mifumo ya hospitalini au kufunga camera za usalama kwa majumbani na ofisini au sehem za biashara.... Naomba tuwasiliane nafanya kazi kwa uhakika kabisa. Sina meng ya kuandika ila mwenywe swali karibu na mwenye kazi karibu...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta portable power station

    Habari wakuu Naulizia portable power station kama hizi hapa chini za kuanzia watts 300 naweza kuzipata wap hapa bongo. Pia zinauzwa kiasi gani?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Anaesthetist (Mtaalam wa kutoa dawa za usingizi na nusu kabuti) natafuta kazi

    Mimi nina stashahada ya juu ya utabibu (ADVANCED DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE) nilisoma Kenya Medical training centre(KMTC) nilivyorudi nikaenda Bugando medical centre (BMC) kusoma Certificate in ANAESTHESIA ,nilikuwa trained pia BASIC LIFE SUPPORT kutoka EMAT. Nina uzoefu wa miaka 2 kama...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mambo vipi au niseme good evening. Ninatafuta kibarua/kazi, mimi ni binti nina degree ya business management na ujuzi katika mambo mbalimbali. Kama unamjua mtu au ofisi inahitaji mfanyakazi usisite kunishtua/kunieleza. Weekend njema.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa ndoa

    Hello wana JF, Naitwa B, umri wangu 32, nipo Mwanza, dini Mkristu. Natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo; Umri kuanzia 23 na kuendelea, elimu kidato cha nne na kuendelea, mwenye akili na utayari wa kuishi na mume, mwenye hofu ya Mungu. Karibu PM kwa mawasiliano zaidi.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba Mkristo (mke wa kumuoa)

    Sifa zake: 1. Awe na hofu ya Mungu. 2. Awe tayari kupima HIV. 3. Asiwe mfupi, Rangi yeyote ile, maana mimi mwenyewe ni mrefu 4. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita, hata chuo kikuu. 5. Ajue kupika, aisiyependa uchafu na awe anajua kupika kila aina ya chakula kuanzia maandazi n.k. 6...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta Generator nzuri used aina ya Honda

    Habari za Muda Huu wanajukwaa. Kulingana na changamoto za kukatika Kwa Umeme Kila Baada ya nusu Saa, Sasa nimenyoosha mikono na nimesalimu Amri wakuu. Tafadhali Sana Naomba mdau mwenye Generator nzuri aina ya Honda aniuzie ili niweze kuendelea kuuza movie Hapa kijijini. Nina Computer 2...
  20. JamiiForums Tanzania NATAFUTA GENERATOR AINA YA HONDA USED:-

    Habari za Muda Huu wanajukwaa. Kulingana na changamoto za kukatika Kwa Umeme Kila Baada ya nusu Saa, Sasa nimenyoosha mikono na nimesalimu Amri wakuu. Tafadhali Sana Naomba mdau mwenye Generator nzuri aina ya Honda aniuzie ili niweze kuendelea kuuza movie Hapa kijijini. Nina Computer 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…