natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa kuoa

    Natafuta mke wakuoa mwenye umri kuanzia 32 mpaka 38, kabila lolote, Dini awe mkristu. Mimi nina umri wa miaka 35, mkristu pia, kazi ninayo awetayari kupima. Kwa mawasiliano zaidi karibu pm tuma namba au ujumbe kwa email flavianflorian0@gmai.com.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazai/kibarua Ifakara mjini

    Habari ndugu zangu, natafuta kazi au kibarua chochote halali ili niweze kujikimu kimaisha. Kwa mwenye connection ya kazi au kibarua hasa maeneo ya Ifakara tafadhali naomba aniunganishe.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari mimi ni kijana wa miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato. Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier, kupokea wageni au kufundisha watoto wadogo. Napatikana Dar es salaam Mawasiliano; 0762408926
  4. JamiiForums Tanzania Nina shahada ya Kilimo, natafuta kazi

    Habari wana JF, natafuta kazi. Nina degree ya horticulture nimeipata chuo Cha SUA. Umri: Miaka 25 Experience: 1 year Jinsia: Me Mkoa: Mbeya Pia Nina uzoefu na ujuzi mkubwa wa computer yaani software maintenance na kutumia application (Microsoft office"excell, word, publisher", Photoshop )
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Nahitaji mke wa kuoa awe mkristo umri kuanzia 23 - 33 Awe tayari kuwa mke wa mtu na mwaminifu
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta msaada wa kupata mwongozo nipate Visa kwenda Canada

    Wadau ebu nisiongee sana naomba nisimame kama kichwa cha habari yangu nilivyoandika kwa atayekuwa na msaada au mawazo yoyote napokea
  7. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta duka wanalouza masweta

    Habari. Natafuta duka wanalouza masweta mazuri Dar. Ambaye anafahamu anijuze tafadhali. Asante.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa ndoa

    Habari, Natafuta mke, nipo serious. Umri ni miaka 29 mpaka 35. Dini: Mkristu na kabila lolote. Nina umri 36 na nimejiajiri pia. Karibu PM.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba hatimae aje kuwa mke

    Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 27, natafte mwanamke ambaye ni mcha Mungu seriously na ameokoka, akiwa wa miaka 20-24 itapendeza sana. Kwa sasa nipo ruvuma ila nyumbani ni moshi. Naomba tukutane PM
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta spare ya Sony MHC-GNZ7D

    Ningependa kufahamu ni wapi hasa nitaweza kupata spare ya Radio Sony MHC-GNZ7D, spare ninayohitaji ni part yote ya mbele ya Radio,kuanzia chini ya cd door mpaka milango ya tape cassette hapo chini, kwa kifupi ni kwamba Radio imepasuka sehemu yote ya milango ya tape sasa nataka kuirudisha...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta kioo used cha samsung note 9

    Habari wakuu Kama una kioo au unamjua mwenye nacho, nicheki kwa 0713 039 875
  12. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke kuoa

    NATAFUTA MKE WA KUOA. Jina Flavian. umri 34. Dini Mkristu. Kazi N/jiajiri. Kimo 5.3"ft. Uzito 66kg SIFA ZA MWANAMKE ANATAKIWA KUA. Umri 28-35 Dini Mkristu Kimo 5"ft Uzito 55-65 kg Awe amemalza mambo ya ujana.Awe anajali nakutambua thamani ya mume,awe...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota wish 7M

    Nataka kununua Toyota wish namba D aya mwanzoni iwe nyeusi kwa 7M kama unayo naomba namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota Brevis 5M

    Nataka kununua Toyota Brevis nina 5M mwenye nayo nipe namba tufanye biashara hata ikiongezeka laki tatu ya dalali sio mbaya
  15. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni ubunifu. Mafundi wa kazi kama hii wanapatikana Dar es salaam?

    Habari zenu ndugu zangu. NATAFUTA FUNDI ! Nimepata bahati ya kusafiri Asia na nikakutana na ubunifu huu (picha hapo chini). Wenzetu bajaji zao sio za kusafirishia abiria tu, ila wana zi design kitofauti na kufanya nazo biashara zingine. Mtu anachukua bajaji ya kawaida, anaondoa siti za nyuma...
  16. JamiiForums Tanzania VFX, Modeling, na Archtecturing natafuta Ajira

    Ninaandika ujumbe huu kwa nia ya kutafuta fursa za ajira katika mambo ya VFX, modeling au architectural design. Mimi ni mtaalamu mwenye ujuzi katika maeneo haya na ninatafuta sehemu ninayoweza kufanya kazi zinazo husiana 3D. Nina tumia Blender kwa ubunifu wa 3D, uhuishaji, na modeling. Nina...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta frem nzuri iliyo eneo zuri kwa biashara ya juisi za matunda

    Habari wakuu,natafuta frem kwaajili ya kuweka biashara ya juisi ya matunda ,na location ikiwa nzuri kwa uuzaji wa juisi ya matunda itakuwa vizuri zaidi. pm kwa mawasiliano zaidi
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta king'amuzi cha Azam

    NATAFUTA king'amuzi cha azam kwa bei ya elfu 70 kama mtu anacho anicheki 0768842303.
  19. A

    JamiiForums Tanzania Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

    Watu wa Mungu mpoo? Mimi ni member wa JF tangu miaka ilopita nimekuja na ID tofauti ili nieleze yaliyonikuta iwe funzo na ushuhuda kwa wengine. Niliweka post hapa mika ilopita na kwa bahati tu sijui niseme nzuri au mbaya ila Mungu ndio anajua, nikapata mwanaume ambaye tulianza mahusiano...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Habari zenu wapenzi. Mimi ni mwanamke wa miaka 26. Ninahitaji mwanaume atakaye kuwa mme wangu Sifa zangu: 1. Ni mrefu kiasi wa cm 170 2. Nina rangi ya maji ya kunde 3. Nina shape ya kibantu, nimejaaliwa umbo 4. Nina elimu ya chuo kikuu shahada ya uzamili (Masters) 5. Ninafanya kazi ya kuajiriwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…