natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 0

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mazda Biantr

    Habari wakaka na wadada Natafuta gari aina ya Mazda Biante ya mwaka 2008 au hata zaidi. Anayeuza ani PM
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa aliyekuwepo morogoro au mpanda ili niweze kuhama

    Wakuu kama kuna mwanamke hapa mwajiriwa aliyepo morogoro au mpanda nifunge nae ndoa ili niweze kuhama huku niliko wilaya ya pangani mkoa wa Tanga mimi ni muajiriwa sekta ya Afya maana huku niliko nahisi nitakufa masikini kwa kujitakia!Tafadhalini ajitokeze PM iko wazi......
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike umri chini ya miaka 22 wa kubadilishana nae mawazo

    Wakuu Hamjambo?
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta business partner kampuni ya ICT services

    Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine za Stationery servies pia zipo kama, lamination machine, binder, paper cutter nk. ipo miradi kadhaa...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta msusi wa braids aina mbalimbali Zanzibar stonetown

    Wanamitindo kwema? Kuna mgeni wangu anakuja soon na atataka kusuka braid Zanzibar. Kuna msusi wa braid au unamjua msusi Zanzibar?
  6. JamiiForums Tanzania Urgent! Natafuta chuo Marekani kisichoomba IELTS/ TEOFL nikasome masters

    Wadau natafuta chuo Marekani ambacho hawahitaji test ya IELTS au TEOFL. Dogo kasoma bongo huo mtihani unasumbua ila ada ipo na application fee ipo. Wasalaam!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yeyote ya halali

    Mimi ni mwanaume wa miaka 28 , nina mke na mtoto mmoja ninaujuzi wa hotel management pia naweza kuendesha gari (sijasomea). Mwanzo nilikuwa na biashara ya M- pesa lakini nikadhurumiwa na matapeli, nikapata kazi kwenye restaurant ya bungeni mshahara laki 2 kwa mwezi lakini si kazi ya kudumu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji kujua jinsi ya kufanya Payroll na tax zake?

    Habari wana JF, Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu. Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 kwenye sector binafsi.. Napatikana kwa namba 0657940974 Karibuni sana..
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuoa bikra: kwa hili naungana na Natafuta Ajira

    Wa kutumia pesa zako ukitoa mama, ni mke wako. Msininukuu vibaya, namaanisha mke uliyemtoa usichana ukaiona damu yake. Mwisho wa nukuu. Naungana na ndugu zangu Natafuta Ajira pamoja na R Heriel. Mke ambaye hukumkuta bikra, si wako na hatokuwa wako. Faida nimeona nyingi sana, ingawa hasara zipo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wadau Waaminifu wenye Mizigo ya Kusafirisha

    Habarini Wadau? Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie Mikataba ya Kisheria ili tuweze kufanya kazi kwa uhakika zaidi. Aliye tayari tuwasiliane inbox.
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu expert kwenye hili jambo la Hallucination (Hearing voices from invisible cretures)

    Shalom Moja kwa moja kwenye mada. Je, ukiwa unasikia sauti za mtu ambaye unamjua kabisa whether ni Baba au Mama ah hata rafiki yako, kwanini hizi sauti zina tabia ya kukwambia kwamba ukikutana nae kimwili msiongee chichote sababu tayari upp kwenye ulimwengu wa kiroho. Madakari na...
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta Mchumba Dodoma

    Natafuta KAZI Dodoma mjini PM
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta machimbo ya vizigo

    Amani na utulivu iwaangazie wana JF: Ndugu zangu katika Imani kwa heshima na tahadhima naomba mwenye kujua masoko ya jumla ya vichwa, shingo, firigisi na miguu ya kuku wa kizungu (VIZIGO), anielekeze nende nikasombe nataka kusafirisha mkoani kibiashara. Ahsanten.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mzoefu wa kazi la Laundry

    . Awe mkazi wa Mwanza . Uzoefu katika biashara ya laundry . Ofisi ipo Mkolani . Mshahara maelewano . Kuanza kazi 1.10.2024 . Njoo inbox pamoja na offer yako ya mshahara
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kupartner naye kwenye biashara ya milling machines.

    Hello esteemed partner. I believe hii thread itakupata ukiwa poa. Napatikana, Mbeya, and kama kichwa kilivyojieleza. Natafuta mwekezaji au mshiriki ambaye tutafanya pamoja biashara hii ya kuandaa na kuuza bidhaa za shamba baada ya kuzichakata. Kwa kuanzia. Tutaanza na unga wa sembe na Dona...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ya kuondoa michubuko sehemu za siri (haja kubwa)

    Natumain ni wazima wa afya kwa mtu yeyote anaweza nisaidia jina la dawa na sehemu ya kuipata kuondoa michubuko sehemu ya haja kubwa pembeni ule utandu utandu wote uondoke
  17. U

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua kadi (N- Card) naishi Tegeta , je naipata wapi?

    Ni muhimu sana Nataka kununua kadi yaani N- Card nipo Tegeta kimakazi Naomba kuelekezwa wapi naweza pata huduma hiyo? Nasisitiza nahitaji kununua tu hivyo mniambie wapi naipata Aksanteni
  18. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiles aina hii ya India

    Wakuu habari za muda huu? Naomba wauzaji wa tiles au yeyote mwenye kujua nani ambae ana hizi tiles za aina hii anijuze. Nimeshazitumia sehemu kubwa ila zimepelea kama box3 nimerudi kwa alieniuzia kamaliza. Mwenye nazo tafadhali sana naomba mawasiliano yako tufanye biashara. Model yake ni...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta amplifier used nina 150,000

    Wakubwa nina 150,000 mwenyewe anayo AMPLIFIER used nataka kuitumia kwenye movies library office.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mawinga wanaouza simu (smartphones na simu vitochi originals)

    Habarini wana jamvi. Katika harakati za maisha nimeamua kufungua biashara (Chimbo) ya kuuza simu jumla na rejareja kutoka Dubai na China. Duka linapatikana mtaa za Aggrey na Masasi Kariakoo. Naomba kufanya kazi na mawinga waaminifu wao nitawauzia kwa bei nzuri tu na hata akimleta mteja kwa bei...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…