natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/intern, Bachelor of Engineering in Electronics and Telecommunications Engineering

    Mimi (Me)- fresh graduate, course husika hapo juu, Kwasasa nafanya kama kibarua kwenye kampuni Fulani ya telecom ambayo nimekuwa Kwa muda wa miezi 6. Expertise zangu Kwa standards za Huawei ( ISDP, WebICT) Naomba mtu mwenye uwezo wa kunisaidia kupata internship/kazi ya uhakika hata...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimemaliza Degree ya Uhasibu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

    Habari, Natafuta kazi ya nimemaliza degree ya uhasibu chuo kikuu cha Dar es Salaam, kazi mahali au mkoa wowote. Nipo mbeya Mawasiliano: 0672876887
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta shamba heka 10 niuzie kama unalo

    Habari Natafuta shamba la ukubwa wa heka 10 liwe pwani au dar
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa Kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili

    Habari !!! Natafuta mtu anayeweza kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili !!! Nitafte: 0683535699 kwa maelewano.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi/ ajira

    Habari za wakati huu. Majina yangu ni XX ni msichana wa miaka 25 ninaishi temeke Dar es salaam. Mimi ni mhitimu wa elimu ya chuo kikuu mwaka 2022 katika kituo kilichokuwa kinaitwa “TANZANIA-MOZAMBIQUE CENTRE FOR FOREIGN RELATIONS” lakini kwa sasa kinaitwa “ DR. SALIM AHMED CENTRE FOR FOREIGN...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Customer Services

    Hello naitwa Agnes mkazi wa Dar-es-Salaam ubungo natafuta kazi ya customer services
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza mwanamume

    Mimi ni mwanamke 35yrs, watoto wawili, elimu yangu degree. Natafuta mwenza wa maisha yaliyobaki duniani, nimekuwa mpweke kwa muda mrefu tangu nitengane na mwenza wangu ambaye tulishindwana. Ni wakati sasa natamani nipate mtu ambaye nitabebana naye katika maisha tuliyobakiza hapa duniani kwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anifundishe bodaboda

    Natafuta mtu anifundishe bodaboda awe na bodaboda yake
  9. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kumwachia Apartment niliyopangisha kwa makubaliano

    Habari wakuu, Nimepangisha Apartment ya kuishi yenye vyumba vitatu kimoja master, Public toilets jiko kubwa na sebule kubwa. Iko ndani ya fence na Apartment nyingine tatu. Ipo maeneo ya Tegeta Wazo. Unfortunately nimepata nafasi kwenda kufanya kazi mkoani Mwanza na sitoweza kusafili na hivi...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwekezaji (Milioni 50-Mtaji): Car rentals mega project

    Habari za Muda huu mwanakitaa/ mwana jf, mpambanaji Ningependa nikufunue macho kidogoo. Je unajua makampuni mengi makubwa yalianza kushika soko wakati uchumi ume yumba (Always Opportunity in adversity) Natafuta mwekezaji upande wa car tentals/logistics ni fursa kubwa iko upande huu ENDAPO...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Natafuta mchumba. Mwenye miaka 19 to 25 Mwenye umbo na haiba ya kike. Aliye tayari kuanza maisha. Mimi ni mtumishi wa serikali. Elimu degree. Nina miaka 33. Mengine yanazungumzika njoo pm kwa taarifa zaidi.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari la kufanyia tax mtandao

    Habari, naitwa Iman nipo Dodoma. Umri wangu ni 29. Natafuta gari la hesabu au mkataba la kufanyia tax mtandao. Number yangu ni 0673086900 Asanteni
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta Mzee Mwenzangu tumalizie Ungwe(ke)

    Muhenga mwenzangu nichek tupendane kwa dhati au sio.👍
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuanzisha biashara ya dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba - Dar, natafuta soko na partnership wa kuuza hii bidhaa yangu

    Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi

    Habarini wana jamvi popote mlipo,I hope mko sawa, mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 naombeni kwa yeyote anayeweza nisaidia nipate kazi au mwenye connection ya mchongo wowote halali jamani anisaidie maana napitia wakati mgumu sana kwa sasa mimi niko Dodoma elimu yangu niliishia chuo kikuu mwaka...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Binti mzuri kwa ajili ya urafiki na uhusiano wenye Malengo

    Wapendwa nawasalim. Katika hali ya u serious natafuta binti makini kwa ajili ya urafiki na ikipendeza kua nae kwenye mahusiano yenye future. Itapendeza sana muhusika akiwa na miaka 24 - 29. Na awe anajishughulisha na kazi halali. Binafsi niko serious 30yrs nimeajiriwa na ninajitegemea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Kanda ya Ziwa, nina ujuzi wa kazi za nje

    Habari za wakati huu ndugu zangu wapendwa katika Bwana!? Najua mko katika mahangaiko. Natafuta kazi zozote katika ukanda wangu huu wa Kanda ya ziwa, Nina ujuzi aina mbalimbali kama kazi za nje!? Kazi za nje kufyeka nyasi kulima nyasi, kukata miti na zozote zile za nje? Pia kama una connection...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesomea Human Resources chuo kikuu cha Dar-Es-Salaam

    Habari zenu watanzania wenzangu naitwa FAIDHAnimemaliza chuo kikuu cha Dar es salaam katika kozi ya afisa mwajiri Mawasiliano 0624-137476 E-mail:faidhak6@gmail.com
  19. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta Laptop

    Natafuta Laptop 1. Apple MacBook Pro (16-inch,M1 Pro/M1 Max) 2. Dell XPS 17(9710) aliyeko na mzigo wa uhakika siyo Hizi refurbished tuwasiliane PM
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mtalaam wa kutafuta simu zangu mbili zilizoibiwa

    Habari wadau Natafuta simu zangu mbili zilizoibiwa . Polisi waliniahidi kuwa zitapatikana lakini sasa nakaribia mwaka Ila niliambiwa wapo vijana wa IT wanauwezo wa kutrack simu na kuzipata. Naomba anayeweza aje inbox na naahidi zawadi nono itatolewa kwa sharti moja tu ya malipo ni baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…