natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Arusha

    Habari zenu natafuta kazi maeneo ya Arusha nina degree ya Umeme, mwenye connection ya kazi za viwandani, kampuni, dukani, supermarket, sheli naomba anisaidie. Natoa shukran kwa wote
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi Leo ni weekend ya mwisho kesho ni mapambano

    Mambo vipi wakuu, je ni kwema, Leo ni siku ya mwisho ya mapumziko wakuu, kesho tukiamka salama ni siku ya mapanbano lakini Mimi ndugu natafuta kazi iwe mkoa wowote Mimi nakuja kufanya kazi, Sijasoma sana nimeishia form 2 tu ndugu zangu Sina ujuzi wowote ule lakini naweza nikioneshwa kazi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi

    Natafuta mpenzi Jinsia yangu Me Umri 33 Makazi dar Mpenzi ninayemtaka awe anaishi dar pia. Umri wowote
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike

    Sifa zangu 1) Spiritual lakini siamini katika dini za watu weupe 2) Culture ya maisha yangu ni Vegan 3) Umri wangu ni 35 4) Ni mweupe, Mtanzania 5) Nimejiajiri Sifa za ninayemtaka 1) Awe mweusi wa asili 2) Awe mrefu na sio mfupi 3) Akiwa na utamaduni wa Vegan au Vegetarian itapendeza 4)...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu/watu tuliozaliwa tarehe na mwezi kama wa Leo 11th April

    Habari za muda huu wadau. Yoyote ambaye amezaliwa tarehe na mwezi kama wa Leo 11 April, wa jinsia yote kama anaishi Dar es salaam na maeneo jirani natamani nipate partner wa ku share nae siku hii muhimu kwanga. Karibu inbox kwa maelekezo zaidi Ahsante 🙏
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Meza ya Dining ya Mbao Adimu kwa bei yoyote ile

    Ndugu zangu wanaJF, Natumaini wote mu wazima. Mimi ni mpenzi wa vitu vya kipekee, vya ubora wa juu na vyenye hadhi ya kimataifa. Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta meza ya dining ya mbao ya asili (preferably African blackwood au mahogany) iliyo unique siyo zile zinazoonekana kila sehemu. Sitaki...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Sex partiner umri 40-55.

    .
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa mwenye utayari wakuitwa mke

    Habari Jina - Brighton Umri - 39 Urefu - 5.5ft Dini - Mkristo Damu - group o Pombe- sinywi Rangi- maji ya kunde Kazi- Nimejiajiri Naishi- Nyanda za juu kusini Maono/ndoto - nikukua kimaisha Sofa za mwanamke naye mtaka. Umri- 35nakuendelea Kabila - lolote Dini - mkristu Kazi - yeyote...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

    Natafuta kazi ya kufundisha Secondary Kiswahili na Literature. Nimesoma, bachelor of education in adult education and community development
  10. A

    JamiiForums Tanzania Pharmaceutical Technician natafuta kazi

    Habari wakubwa... Kijana wenu machachali mwenye uchu wa mafanikio ninakuja mbele zenu naomba msaada wa kazi ya taaluma yangu. Mimi ni pharm technician mwenye leseni hai na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu (3) kwenye famasi jamii na famasi za hospital pia. Nina ujuzi mzuri tu wa kutumika...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji atakaenunua hisa kwenye kampuni yangu kwa makubaliano kwamba nitazinunua tena kutoka kwake baada ya miaka miwili

    Hello bosses and roses... Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa. Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza disrupt cashflow ya kampuni endapo revenue ya sasa ikitumika kufanikisha hio project. Hivo natafuta...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari tanker 10 za mafuta

    Habari Natafuta gari za tanker za mafuta zenye vibali vya transit. Trip ni kwenda Mzuzu,blantyre na lilongwe. Zinahitajika gari 10. Malipo advance 70% ,balance 30% after offloading. Loading point- Tanga port Product: Diesel and petrol 0692595127
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mke) wa maisha kwa Uhusiano wa Kudumu

    Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini upendo wa kweli, uaminifu, na ukuaji wa pamoja. Kuhusu Mimi: Ni mwanaume ninayejiheshimu na pia ni mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta trainer/mwalimu wa uhasibu(mfunga mahesabu proffesional)aliyeko Dar

    Kichwa cha habari chahusika. -Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa kufunga mahesabu kitaalam,anayejua kutumia accounting packages na kila kinachohusiana na uhasibu kimatendo ( practically) -Awe anaishi dar -Mwanafunzi ni mhitimu wa chuo anahitaji kujibrush kuhusu uhasibu kimatendo/kiuhalisia...
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi au ajira

    mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,mkazi wa dar es salaam.Nina uhitaji wa kazi yoyote ambayo inaweza kuniingizia kipato.Kazi iwe official au kibarua naweza kukidhi vigezo vyake sababu nina vyeti mbalimbali ikiwemo cha A level na chuo endapo vitahitajika.mawasiliano 0696970622
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta mawasiliano ya kampuni ya KYOSK mkoa mwanza

    Habari za wakati huu wakuu. Mimi ni kijana ambaye nimeamua kitumia mtandao kutengeneza CONNECTION za biashara. Leo hii naomba kama kuna mwenye mawasiliano ya kampuni ya KYOSK mkoa mwanza anisaidie. Au kama kuna watu wa KYOSK wako humu naomba wanitafute nipate mawasiliano yao. Kwa wale...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuchat nae awe mid 20-25yrs

    Nina free time ya kutosha kwa sasa natafuta ke wa kuchati nae mambo mbalimbali za mapenzi, pesa, ndoa mahusiano na mambo mengine ya kimaisha nitamshauri atanisahuri kama upo njoo pm
  18. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kufundisha primary, o level au Advance

    Jamani penye gap Tafadhali nahitaji Shule yakufundisha primary, o-level au Advance, Elimu Degree, masomo chemistry na biology, advance pcb mkoa wowote Tz, Mawasiliano 0627144965🙏
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Nina stashahada ya uhandisi wa mekaniki

    nipo mkoa wa Dar es salaam,
  20. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi selemala mwaminifu Na vijana wawili wa kufanyanae kazi kwenye Workshop.

    Habari. Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.Natafuta fundi mzuri na mwaminifu anaweza kutengeneza Kabati.Showcase.dressingtable nakuendelea. Pia vijana wawili ambao watakuwa kama wasaidizi wake.Ima wawe wanajua ufundi au hawajui ilimradi wawena moyo wa kujifunza. Ofisi ipo Chanika na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…