natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dereva natafuta gari

    Habari naitwa Iman nipo Dodoma natafuta gari la kufanyia kazi bolt, nina uzoefu WA kutosha zaidi ya miaka minne. Kwa Dodoma hesabu yetu waga ni 150,000 kwa wiki na kwa magar ya mkataba waga ni 200,000 kwa wiki naomba mwenye gar anisaidie. Mawasiliano yangu ni 0695276900 asante
  2. M

    JamiiForums Tanzania natafuta mke awe mwanza

    nahitaji mwana mke awe mwanza umri 30-42 akiwa na mtoto haina shida ila asizidi 1 .. naishi nyegezi nina miaka 43 na mtoto mmoja ... aliye tayari ani pm tuyajenge
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta Dashboard ya Toyota Hilux 2007

    Natafuta Dashboard ya Toyota Hilux mwaka 2007. , akama unayo ingia DM tuonane.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuishi naye

    Mimi ni kijana wa miaka 28. Nmeajiriwa sekta binafsi , kipato changu ni 400,000 kwa mwezi natafuta mwanamke wa kuoa kuanzia miaka 17 hadi 24 awe mzuri wa sura , awe rangi yoyote, asiwe na mtoto, awe na elimu yoyote, awe mkristo wa dhehedu lolote awe tayari kuishi Mahali nilipo yeyote anayeweza...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia Uber and bolt

    Mimi ni dereva mwenye uzoefu, nimeendesha tax mtandao(uber and bolt) Natafuta gari ya kazi iwe hesabu au mkataba, nipo tayar mda wowote kwa yeyote mwenye gari ndogo, karibu tufanye kazi Mawasiliano: 0698789184
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa

    Habari wanawake wote wa humu JF na pia hongereni kwa upambanaji wa kujitafutia mkate wa kila siku. Mada: Natafuta mwanamke wa kuoa awe mwanamke mwenye uhitaji wa kweli na mwenye nia ya kujenga familia bora na imara. Sifa: Awe na umri kuanzia miaka 25 hadi 37. Dini yeyote ile - Mkristo, au...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta compressor used

    Natafuta compressor used ya kutumia engine ya diesel zile za migodi midogo.
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba na sebule maeneo ya Mbagala

    Wakuu habari Mahitaji chumba na sebule maeneo ya Mbagala ambako nimehamishia shughuli zangu Maisha yangu kwa asilimia kubwa hapa mjini nimeyaishi Ubungo rudi mpaka Mbezi Natafuta maeneo ambayo hakuna 'uswahili' sana...simaanishi mimi ni wa kishua...kinyume chake mimi ni shamba nimetoka mkoani...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mke wakuoa!!(25_27 yrs)

    Habari za mda huu wakubwa kwa wadogo,,,sipend kuzunguka mnoo nataka niende straight to the point,,,,natafuta mwanamke wakuoa umri tyr nshaandika apo juu,,, Awe tayari kuishi mahali popote,awe mpenda maendeleo Sifa ya mke ninaye mtaka. ~ Awe na umri 25_27 ~ Elimu siyo kipaumbele changu. ~...
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta waunga bundle za halotel?

    Wakuu natafuta wale waunga bundle za halotel ! Mimi ni mteja mzuri….. Kama upo taja ulipo na mawasialiano yako nikutumie hela. uaminifu muhimu
  11. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkanda wa mixer ya unga wa mkate ya 25kg

    Habari wakuu, natafuta mkanda (belt) wa mixer ya kupondea unga wa mkate kama picha inavyojionyesha, kama unao tuwasiliane
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta fremu ya biashara

    Natafuta fremu ya biashara maeneo ya temeke kodi isizidi 100k
  13. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuoa, awe sealed kama mimi😭😭

    Jambo la msingi ni hilo Yani mimi niko Sealed kama Box la sigara, halafu wewe nikukute Uko Open High way ya Mfugale.. Njoo tufunguane kama Champaigne😂😂
  14. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo Morogoro mjini (bajeti 300,000/=)

    1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala. Ijitegemee maji na umeme.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

    Habarini, Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider: 1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta projector

    Habari wadau, natafuta projector nzuri yenye uwezo wa kuonyesha mchana (Heavy duty) ambayo itatumika kwenye kuonyeshea video records, naomba mnisaidie wapi naweza pata (machimbo) 0764714801 Asante.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesoma Range management Niko tayari kwa mshahara wowote..

    I am Winfrida holding a Bachelor’s Degree in Range Management, currently seeking job opportunities in this field. I am committed, skilled, and ready to contribute to sustainable land and resource management.
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, hata kama ni Intern. Nina Shahada ya Manunuzi

    Habari Wana JamiiForums Nilikuwa natafuta kazi japo nipate hata intern kusukuma maisha Elimu yangu ni Shahada ya manunuzi (Bachelor Degree in procurement and supply chain management) Pia nina Diploma in procurement and supply chain management Napatikana Mwanza Ila nipo tayar kufanya kazi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Elimu yangu ni form four Umri miaka 33 (me) Kazi yoyote ya halali popote Sifa ya ziada Najua kucheza na kompyuta kiasi fulani ingawa sina vyeti (sijasomea rasmi) Nina cheti cha ualimu Shule za msingi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…