Habari wakuu,
Natafuta master room nzuri Dar Es Salaam, budget yangu 100k mpaka 120k. Maeneo ya kigamboni, makumbusho, magomeni, tabata, manzese
No 0787698930
Habari wapambanaji wenzangu,
Natumai mko salama.
Naomba ushauri na mawazo yenu ya kibiashara. Mimi ni Full Stack Developer mwenye uzoefu wa kufanya/kushiriki project tofauti tofauti ndani na nnje ya nnchi, ikiwemo,
Mfumo wa PQCS(Process Quality Control System)– Kenya (AVA & ISUZU), Pia custom...
Kwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja. sote tumeumbwa ili kutengemeana, ni kama ilivyokua ngumu kuvaa kiatu mguu moja huku mwingine upo...
Habari wakuu! Nina shida na fundi mzuri wa auto electrical mwenye cheti kwa ngazi ya diploma sio lazima awe vizuri kwa upande wa practical, uzoefu ataupata kazini!!
Kama unamjua mtu wa namna hiyo au ni wewe mwenyewe unaweza Kuja dm au comment namba ya simu, nitakupigia
Salam Wana jukwaa.
Mimi ni mfanyabiashara. Natafuta machimbo ya nafaka Kanda ya ziwa na viunga vyake.
Nataka nipate nafaka kutoka kwa wakulima moja kwa moja au wafanyabiashara ambao Bei zao ziko chini sana
Nafaka ninazohitaji ni;
1 Karanga
2 Maharage njano
3 Dengu
4 Kunde, na
5 Njugu...
Habari wanajamii,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi.
Kwa ufupi kuhusu mimi:
Urefu: sentimita 185
Muonekano: Mwembamba, mweusi
Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
Habari wanajamii,
Natafuta partner au mwekezaji kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuingiza na kusambaza three-wheelers (bajaj) pamoja na magari madogo ya biashara hapa Tanzania.
Kwa sasa tayari kuna mawasiliano na wazalishaji wa nje ya nchi na wameonyesha utayari wa kufanya mazungumzo ya...
Natafuta gari ya kufanyia taksi mtandao - maarufu Bolt. Uzoefu ni miaka mitano hapa Dar es Salaam.
Kwa mwenye gari anipigie kwa namba 0618163635 au WhatsApp 0652802379
Gari ni IST, Sienta, Passo, Ractis, Raum au Vitz
Hello JF
NAhitaji aina hizo za bati . Nataka kuezekea nyumba ya hidden roof. Naziona mara nyingi kwenye majengo ya zamani. Naona imara na hayapati kutu.
Anayefahamu nitapata wapi na bei zake pls msaada.. namba zangu 0625182788, WhatsApp, text, & normal calls.
Niko Mwanza, kisesa, Igudija ......natafuta kazi yoyote ile ya halali, niwe nafanya nikiwa free maana nina kazi ingine ila mshahara haunitoshi, majukumu yananizidi na mwishowe nimekuwa na madeni ....
Natafuta kazi yoyote ile iwe ya kufua nguo, kumshikia mtu kuuza duka la dawa kwa siku ambazo...
Salam ndugu zangu, mimi ni mkazi wa Mwanza ninaomba kwa atakayekuwa na kiwanja kizuri chenye ukubwa wa kuanzia 30 kwa 40 ama squameter kuanzia 1000.
Maeneo yoyote kuanzia Nyegezi uelekeo wa hadi Usagara.
Mimi nikijana Nina umri wa miaka 28 natafuta kazi au kabarua nipo songea vijjini,Mimi sio mvivu nilikuwa na biashara nimekata mtaji, kukuaa Tu Ofsini sina pesa na Mali napoteza Muda
Habarini wakuu. Mimi ni quality control lab technician nina bsc chemistry pia Nina uzoefu wa mwaka na miezi minne katika steel industry. Natafuta kazi viwandani,migodini kote nafit. Ukinisaidia kuna pesa ya maji. Asanteni
Wakuu habari,
Nahitaji sehemu kama workshop nikajifunza kutengeneza Furniture za kisasa.
Kama kuna sehemu ama mtu ana ofisi nitafurahi nikajitolea.
Ikiwa kuna malipo kidogo naweza kulipia nifikie lengo.
Asanteni.
Mawasiliano: 0759226857
Nipo Mbezi ya Kimara.
1. mweupe kiasi si michubuko
2. umri kati ya miaka 25 hadi 30
3. Elimu ya kidato cha 4 mwisho cha 6
4. awe tayari kusimamia biashara
5. Asiwe na mtoto
6. utepe ni muhimu(code) wenye D mbili wameelewa
7. Dini( awe na hofu ya mungu)
8. awe anaishi kwao sio gheto
9. mwembamba kidogo
10. urefu 150...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.