Nape issues a stern warning to TCRA and Telecoms

Getrude Mollel

JF-Expert Member
Apr 26, 2022
259
353
26e64a27141f7a0e397c2f29c8e1b39e.jpg

The Minister of Information, Communication and Information Technology, Hon Nape Nnauye, has unleashed a stern warning against TCRA and Telecoms in Tanzania to stop sending texts to people without their prior consent.

Hon Nape made those remarks in Dodoma, calling TCRA and telecoms in Tanzania to forge a unanimous plan to stop sending clients texts that they haven’t asked for or needed.

“I ask every one of you (TCRA & Telecoms) to find ways that would stop connecting people to service they haven’t asked for or needed. We have been receiving many complaints from the people,” – Nape Nnauye.

Hon Nape said that amongst many complaints he’s been receiving from the people, the biggest is about data bundle consumption. To mitigate the problem, Nape asked TCRA and telecoms to create a software or application to help clients monitor their data bundle consumption.

Vodacom Managing Director for Tanzania, Sitholizwe Mdlalose, said that his company would consider the government’s directives by collecting opinions from their clients and creating a viable way to address their problems.
 
Vipi kuhusu suala la mbunge yule Dada.
Aliyesema kuhusu muda wa bando.
Hawa jamaa wana tuibia Sana
Muda ukiisha wanasepa na bando.
Bando linatakiwa lisiishe muda mpaka litakapoisha lenyewe.
Vinginevyo ni UTAPELI .
mkumbusheni mzee wa BAO LA MKONO
 
Vipi kuhusu suala la mbunge yule Dada.
Aliyesema kuhusu muda wa bando.
Hawa jamaa wana tuibia Sana
Muda ukiisha wanasepa na bando.
Bando linatakiwa lisiishe muda mpaka litakapoisha lenyewe.
Vinginevyo ni UTAPELI .
mkumbusheni mzee wa BAO LA MKONO
Bando ku-"SUBLIME" ndiyo shida ambayo bado ipo mpaka muda huu. TCRA hawahusiki, bali wanaohusika ni ISP na kuwakamata ni vigumu. Kwa mfano, 10MB ya data kama ni pure text, maana yake ni character million 10. Yaani uki-type kwa mfano herufi "a" hadi zikafika million 10, hapo ndipo unakuwa ume-exhaust 10MB.

Sasa mimi huwa nanunua muda wa maongezi usioweza ku-expire, ambao huwa unaambatana pia na kifurushi hicho cha 10MB kama bonus. Cha kushangaza ukitaka ufungue tu ile home page ya browser ili uzitumie data hizo, tayari unapokea ujumbe unaokuambia kuwa umetumia 75% ya bando, na page hiyo ikifunguka tu unaambiwa kuwa umetumia 100% ya bando yako

Kwa hili la bando, nadhani inabidi tuwe waangalifu, tutailaumu Serikali bure. Tunachotakiwa kufanya ni kuwaomba Serikali washughulike na ISP's katika hili!
 
Back
Top Bottom