naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naona si sahihi mtu kuweka plate namba ya Jina lake

    Inawezekana sina hilo gari lenye hadhi ya kuwekea private registration plate, au labda sina gari kabisa. Lakini kiukweli nikipishana na gari njiani lina plate namba imeandikwa jina la mtu, uwa namuona huyo mtu ni limbukeni mshamba mmoja tu. Hata hivyo hata wao ulimbukeni ukiwaisha uwa...
  2. L

    Kila nikiangalia Bunge nawachukia Wabunge, naona ndiyo waliosababisha tupoteze bandari zetu

    Siwapendi wabunge hasa niwaonapo bungeni wakiongea. Sipendi kuliangalia bunge hilo kwa sababu halina baraka za wananchi. Walishiriki kuuza bandari zetu kwa DPWorld na wakatoa sifa Kede kede kwa wizi huo wa kimkataba. Nadhani kama nchi naomba picha zao zichapishwe kwenye magazeti na kalenda...
  3. K

    Mahakama inaangaliwa na chombo gani katika dhana nzima ya 'Balance and Check? Naona malalamiko juu ya mahakama yamekuwa mengi

    Katika kuifahamu dhana ya 'Balance and Check' katika mihimili ya Dola kwa maana ya Serikali, Bunge na Mahakama sijawahi kujua hii dhana inafanya vipi katika eneo la Mahakama. Kwa mfano Bunge linapoisimamia Serikali tunaona Balance and Check na pia Shauri lolote la Serikali au Bunge kupelekwa...
  4. Binafsi naona kama mwanadada rapa Dipper Rato amezichanga vibaya karata za kisanii

    Wakuu wa sanaa na burudani habari! Kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo watakuwa sio wageni kwa huyu mwanadada anayejiita Dipper Rato. Binafsi nilimfahamu Dipper zaidi ya miaka 15 iliyopita. Ila ghafla alipotea kwenye game. Wakati namfahamu Dipper bado alikuwa akitumia jina la Dipper Kivuyo...
  5. Naona Toxic kaamua kumtolea uvivu Young Lunya

    Ngoma inaitwa mee
  6. Ukungu baharini

    Ukungu unaotokea juu ya maji kwa kawaida hujulikana kama ukungu wa baharini au ukungu wa ziwa. Inatokea wakati hewa ya joto na unyevu inapita juu ya maji baridi zaidi. Ukungu wa bahari au ziwa unaweza kutokea juu ya Bahari ya Atlantiki na Pasifiki, Ghuba ya Mexico, Maziwa Makuu na miili mingine...
  7. T

    Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana

    Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha
  8. Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

    Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku). Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
  9. T

    Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana

    Kwa utetezi huu naona ni wakati wa Mungu anaenda kumuinua mchungaji John shusho baada ya miaka mingi ya kupuuzwa na bibie tina licha ya alivyopambana kumpeleka studio na Kuwa star kisha akamwacha
  10. Naona ni idea nzuri kuishi mkoa tofauti na mkeo

    Future wife ni mjasiriamali mzuri ila mkoa ninapofanyia kazi hakuna mishe mishe mzunguko mdogo watu wengi hawana kazi so wamekalia majungu sana na usengenyaji nilichofikiria ni kupanga maghetto mawili moja mkoa mwingine akae mke so nachokifanya ni kila ijumaa mchana namfuata mke tunakaa wote...
  11. Safari hii Yanga atuendi bungeni naona wabunge watatuchoka kila mwaka

    Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
  12. Ligi ya Kenya naona kama imeshuka sana

    Ukiangalia wachezaji wengi ni WA kawaida huenda coastal ukienda Kenya inakuwa bingwa tena bila kufungwa hasa golini akiwepo Matampi Hapa naangalia game ya Gor na Shabana dah ni kama ndondo flani Ila kitu nawapongeza naona Wana viwanja vizuri kuzidi NBC Tff na bodi ya ligi wazuie kabisa baadhi...
  13. Niliomba kazi kimasihara naona ntaipata na siko motivated

    Wakuu vipi, Niliona Tangazo la kazi kupitia careerjet, la Curator, basi nkaomba maana application Yao ilikuwa so simple. Hii kazi inaitaji uwe na laptop na bandle, unalipwa $0.15 per each link utakayo submit. Naona mtu akikoma nayo anatengeneza pesa nzuri sana,lakini mie Sina uzoefu nayo ...
  14. alx Africa naona sasa kuna fee ya kujiunga

    Coding Bootcamp hii ambayo ilikuwa maarufu kwa kuwa bure kabisa naona wameweka admin fee ya $150 - $300 kujiunga na kozi, inaelekea walianza mwaka jana. https://www.alxafrica.com/payment-cancellation-policies/ Tuliwahi kujadili alx hapa...
  15. P

    Naona wafrika weusi ni binadamu hatari sana

    Inawezekana je huduma za msingi(basic) kama maji, dawa, umeme, barabara vikakosekana na walio na jukumu hilo wanaona poa tu? Binafsi nashindwa kuelewa.
  16. Mbona matangazo ya watu kupotea hasa vijana wa kiume yamekua mengi? Au ni mimi ndiyo naona

    Wakuu hii ikoje, Si WhatsApp si twitter kila siku lazima nione vijana timamu kabisa kupotea wengine wanafunzi wengine wafanyabiashara. Au mimi ndiyo naweweseka
  17. R

    Watendaji wa kata ni Makada wa CCM au ni watumishi wa umma? Naona Arusha wamevaa sare za chama na wanaandamana

    Mrisho Gambo ameongoza maandamano ya madiwani, wenyeviti wa mitaa na watendaji wa kata. Kwa ufahamu wangu watendaji wa kata ni watumishi waajiriwa wa serikali kama walivyo waalimu sambamba. Je, ni sahihi wao kama watumishi wa umma kuvaa nguo za chama na kuandamana? Lakini maandamano si...
  18. Baada ya miaka mingi kupita, leo ndiyo naona athari ya Nyota ndogo

    Habari za jioni wanajf. Hongereni kwa mifungo mbalimbali kwa Waislamu, wakristo na wasio na dini Leo kuna jambo limetokea nikamkumbuka nyota ndogo.. "Oooh.. kuna watu na viatu dunianiiii. Ooooh kuna watu wasiopenda maendeleooo. Oooo ukiwa nacho chawauma ndani kwa ndaniiiii... Oooh achana nao...
  19. Huo sio Mpira, Kuna namna naona kuna Kundi Limeibuliwa la kuwalazimisha Mashabiki wa Yanga wakae Kimya,Yani Linalazimisha.

    Ila Mpira bhana yan kuna watu wameibuliwa huko wameona mashabiki wa Yanga wanajiamini sana kua Simba lazima afe Jumamosi wao kuona vile na kwa kuangalia jinsi mashabiki wa Simba vile hawana usemi katika Derby ya awamu hii wamepewa jukumu la kuwatia uoga Mashabiki wa Yanga. Kuna kauli Nyingi...
  20. G

    Kama Israel imeweza kushawishi mataifa makubwa Duniani kuwa upande wao naona wana akili kubwa sana

    Wakuu naona watu wengi wanalalamika Israel kusaidiwa na mataifa makubwa hivyo kwa upande wangu naona tofauti Kwanza ndege wanaofana wanaruka pamoja Kama tunavyoona nchi zenye race Fulani zinaweza kusaidiana Au nchi zenye mrengo wa dini Fulani zikisaidiana Pia matajiri kwa matajiri husaidiana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…