naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naombeni, Maarifa ya kusimamia mtihani wa taifa.

    Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama. Of course ni mara yangu ya kwanza, semina nimeelewa ila humu naweza pata maarifa zaidi. Alaf umepigwa biti hatari Asanteni.
  2. F

    Naombeni ushauri

    Mimi niliolewa mwaka 2017,nilikaa na mume wangu kwa upendo na amani, ila mimi nilimtangulia mwanaume nilikuwa na mtoto mmoja ambae nilizaa na mwanaume mwingine kabla ya kuolewa na mume wangu yeye alikuwa hajawahi kuoa wala kuzaa, kwahiyo katika muda wote huo wakati nipo kwenye ndoa nilikuwa...
  3. Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
  4. Naombeni ushauri kuhusu Toyota Harrier first generation.. Nataka niichkue soon.

    Habari zenu wanaJamii.. Nina wazo la kununua Harrier ile old model.. first generation za mwaka kati 1999 hadi 2002. Naomba ushauri kuhusu maintenance costs, Reliability na fuel consumption. Nafaham zipo za 2.2cc, 2.4cc na 3.0cc. Ofcourse ningependelea yenye 2.2cc kulingana na factor yangu ya...
  5. H

    Naombeni connection ya kazi

    Habar Wana jukwaa, Ni kijana wa miaka 27 nipo Dar essalaam Tegeta A natafuta Kazi ndugu zangu tusaidiane kwa wenye connection jamani, Elimu yangu ni kidato Cha 6 japo nilifika chuo ila sikuhitimu kutokana na changamoto za kiuchumi, naweza kufanya Kazi za stationary yaani printing scanning...
  6. Naombeni maana

    Naombeni waungwana
  7. M

    Naombeni ushauri kuhusu hii fursa

    Nilifanya kazi kwenye kampuni moja ya kuuza vifaa vya ujenzi kwa miaka 5. Mwaka huu mwanzoni sikurenew mkataba kwasababu ya maslahi. Niliamua kupumzika. Wiki hii katika pitapita yangu, nimekutana na kampuni mpya inayofanya shughuli zinazofanana na zile za kampuni niliyotoka Ila utofauti ni...
  8. K

    Naombeni kazi, sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100%

    Nipo kibaha,mwanaume 27YRS Naombeni connection ya kazi yoyote niweze kuishi mjini wakuu,sijabobea kwenye kazi yoyote inayohusu vyeti 100% ila nina soft skills (driving,basic computer skills etc) na nina nguvu na akili timamu. Katika harakati za kutoka magetoni nimetoka mkoani kuja mjini...
  9. Naombeni msaada wa vitu vya watoto

    Salamu wakuu Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri kichwa kinapungua mdogo mdogo .ana miezi sita sasa Kusema kweli wazazi wale wamechokaaa maana kila...
  10. Naombeni ushauri ndugu zangu

    mimi nikijana nina amri wa miaka 26 nimeona na nimejaliwa kupata mtoto wa kike ila ninatatizo Fulani ambalo linanitatiza kipindi naoa mke wangu kuna siku kulitokea misunderstanding Kati yangu na mke wangu mwenzangu kwa Asira akanilinganisha na ex wake kwa kumsifia ex wake kuwa yupo vizuri...
  11. Naombeni msaada juu ya hili

    Nina macbook toleo Hilo,je nifanyeje iweze kukubali apps za kuanzia 10.14 Natanguliza shukrani Chief-Mkwawa na wote naombeni msaada wenu wa mawazo.
  12. Wenyeji na wazoefu wa mkoa wa Mtwara naombeni Shule

    Nimeambiwa sasa hivi ni msimu wa korosho hivyo kuna hela sana, Je vitu gani naweza kupeleka huko tukabadilishana na hela zao (Bidhaa) nimetamani kwenda ila nimetamani kupata ABC
  13. Naombeni Ushauri Wenu hizi Ndala Nizivae au Nimrudishie?

    Naitwa James ni mwezi wa pili sasa tangu nihamie kwenye nyumba moja yenye wapangaji wengi maeneo ya Mwananyamala. Kwenye nyumba hii tuko wapangaji watatu...wanawake wawili pamoja na mimi. Mara nyingi mimi hurudi nyumbani usiku na wala sina mazoea na wapangaji wenzangu. Cha kushangza juzi...
  14. Naombeni elimu juu ya upima wa shinikizo la damu

    Naombeni elimu jinsi ya kupima shinikizo la damu Nyumbani mzee wangu alinunua kifaa chake cha kupima presha Siku moja Nikapima na mimi Cha ajabu nikakuta shinikizo la damu kwangu lipo kwenye 151/77 Nakapima Tena mara ya pili likawa lipo kwenye 133/ 80 Sasa imekuwa tabia yangu ya kupima...
  15. Kaokoka lakini vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki. Nifanye nini?

    Iko hivi, nina binti nimemtongoza sasa yeye huwa anajiona mtu wa dini sana, kiufupi eti kaokoka lakin vizinga ananipiga ila kutoa mzigo hataki eti anasema ni mapema hawezi nipa mzigo ila pesa ananiomba. Mpaka sasa amekula kama 60,000 ivi sasa nikimwambia kuhusu show analeta ety ooooh mapema...
  16. Naombeni ushauri: Kwa hali hii maamuzi ya kuuza nyumba yatakuwa sahihi?

    Mimi ni baba wa watoto watatu Na mke mmoja Nina miaka 34. Mtoto wa Kwanza ni kwa mwanamke wa Kwanza na Hawa wawili ni kwa mke niliyenae sasa ambaye naishi nae hapa nyumbani. Nimezaliwa Na kukulia mkoa X, nimekuja Dar kutafuta Maisha lakini mji huu unahitaji uwekezaji Na connection Za biashara...
  17. L

    Nimekuwa mtu mwema nimeishia kudharaulika naombeni mbinu za kuwa na roho mbaya nisiye na hisia

    Habari zenu jamii forum kama kichwa cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kuwa mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma wala upendo. Nimekuwa mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na...
  18. Mgeni nimefika naomba mnipokee

    Kwanza ninafuraha kujiunga nanyi hapa. Jamiiforms ni mtandao wangu pendwa kwa muda mrefu nilitamani sana kujiunga hatimaye leo nimefanikiwa nipokee wakubwa.
  19. G

    Wataalam naombeni jibu, Ikiwa Zanzibar itakuwa inatoa maraisi wanne (40%) katika kila Marais 10, kuna madhara yapi positive na negative?

    political scientists naombeni jibu
  20. C

    Naingia katika biashara ya korosho za kurost naombeni order zenu wadau

    Jamhuri ya muungano wa Tanzania Amani iendeleee wananchi . Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani Huu uzi uwafikie watu wote Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…