naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba app hii MiniTube

    Wadau, naomba msaada wa APK ya MiniTube. Ikiwa kuna yeyote anayeweza kunisaidia kwa njia ya kupakua au kutumia programu hii, nitashukuru sana.
  2. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya hawa wahamiaji (4) waliiomba uraia

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Nimeona taarifa zikienea mitandaoni juu ya raia wapya wale wanne walioomba na kukubaliwa na hawa tisa wanaoomba, Kwa wasomi wetu naombeni ufafanuzi juu ya hili. Maana katika kila jambo katika dunia lina hasara na faida yake,. Je, kama kunaweza kuwa na hasara...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni katika mawazo

    Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo katika kampuni hio? (Internal audit) Umuhimu wake ni upi??
  4. JamiiForums Tanzania Wajasiriamali wenzangu naomba ushauri kwenye hili

    Hapa dukani kwetu tuna binti mmoja ambaye mwaka jana alipata ujauzito. Ulipofika muda wa kujifungua tulimpa likizo ya miezi 3 ambapo pia tuliendelea kumlipa. Mwezi huu wa kwanza tarehe 1 alirudi tena kazini ila akiwa na mtoto wake. Binafsi nilidhani baada ya miezi 3 angeweza kurudi na kuchapa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naomba kufahamu wajumbe wa sekretariet ya CHADEMa iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na uchaguzi mkuu 2025: vijana wana mengi yakujifunza kwao

    Moja ya jambo ambalo ningependa libali kwenye kumbukumbu na vitabu vya historia za uchaguzi nchni ni pamoja na majina ya timu iliyoandaa uchaguzi wa mabaraza na sasa uchaguzi wa viongozi wakuu wa CHADEMA. Wamefanikiwa kukamilisha uchaguzi wa mabaraza bila kuwa na pingamizi wala mjumbe au...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hasa Wasifu wa huyu Mtu aitwae 'Waziri' ninayemuona 24/7 akiwa nyuma ya Rais Samia huku akiwa anasikilizwa na hata Kuogopwa pia?

    Je, ndiyo Chief of Protocol kwa Mheshimiwa Rais Samia sasa? Nasikia pia kuwa ndiyo National Intelligence Analyst. Na kwanini anasikilizwa na hata Kuogopwa sana na Timu ya Rais kiasi kwamba ananyenyekewa mpaka na wale Watu wa Msaada Kontena ambao Kiutendaji Yeye ndiyo anatakiwa aongozwe nao na...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujua je, malengo ya Chama kuhamia Yanga SC kuwa anafuata Mashindano makubwa ili afike mbali yametimia?

    Yaani Simba SC wakuache kwa kukuona Kiwango kimekwisha, kisha ujidanganye kuwa utafanikiwa huko Uendako?
  8. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Polen na majukumu naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa matangotango ni dawa gan nzuri kat ya sindano na vidonge nipate matokeo ya haraka
  9. JamiiForums Tanzania Habari ndg sorry naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa/matangotango

    Polen na majukumu na week end ya jpili nilikuwa nauliza ni dawa gan nzuri kati ya sindano na vidonge nasumbuliwa na mbaa matangotango. Plz naomba ushauri wenu ndg zangu nipote ili tatzo n muda...
  10. JamiiForums Tanzania Justin Kimodoi anafanya kazi kubwa sana, naomba uje ugombee Ubunge Bukoba Mjini

    Justin Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini. Kijana Kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini . Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua. Wananchi wanakuhitaji wewe tu Pia soma > TANZIA - Mdau wa maendeleo Kagera, Justin Kimodoi...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba mtu mwenye mawasiliano ya mwenyekiti wa UWT Taifa anisaidie au barua pepe yake.

    Wakuu , nilibidi kuwa hapo Dodoma katika mambo ya chama Ila unfortunately sitofika. Ila nahitaji kuwasiliana na mwenyekiti wa UWT Taifa mwenye mawasiliano yake anipatie PM. #Tanzania Mbele , Kazi iendelee🇹🇿
  12. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba naomba muweke mkeka wa wanachama, mashabiki na viongozi wote waliochangia hadi sasa ili tuanze kusutana wenyewe kwa wenyewe

    Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali. Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kuijua biashara mtandaoni ya Gwac, nasikia watu wengi wamejiunga

    Habari za Leo? Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC). Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku moja, unaanza kurudishiwa asilimia 10 ya pesa uliyowekeza kila siku mfululizo kwa mwaka mzima...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Habari wadau naomba mwenye key za kuresset ink pad za Epson L3250

    naomba mwenye key za kuresset ink pad za Epson L3250
  15. JamiiForums Tanzania Hebu naomba niweke jambo Moja bayana: PUNYETO HAIPUNGUZI NGUVU ZA KIUME

    May all souls find enlightenment, Moja kwa Moja kwenye mada, nianze kwa kusema Mimi ni mwanaume (45) nimepata na pamoja na mambo mengine katika ndoa yangu naenjoy sana sex ofcourse nina michepuko kadhaa pia. Sinywi pombe, sivuti sigara, napenda kula vizuri (starehe yangu nyingine) nafanya...
  16. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu mi ni mgeni wa hili jukwaa, ila naomba mnipokea na hii idea... wote mtafurahia...

    Kila mmoja achati kwa lugha anayoijua mradi usitukane... Unaweza kutumia google translator... Mimi naanza.. Nǐmen hǎo ma, wǒ de péngyǒumen. Wǒ de míngzì shì nǐ de zhàngfū
  17. JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa biashara ya mifuko

    Habari nduguzangu. Kuna hii mifuko inayotumika kubebea mahitaji mbalimbali ya nyumbani, ambayo rejareja huuzwa 200, 300 na 500. Bei ya jumla inauzwaje? Na je inakaa mingapi? Inapatikana wapi kwa Dar es Salaam. Nataka kuagiza nizungushe kwenye manuka kwa bei ya jumla jumla.
  18. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye usafiri wa kwenda Bukoba kesho.

    Wakuu nimeitwa Usaili Bukoba , baada ya kusambaza CV yangu Ila changamoto nilionayo ni nauli tu. Kama unaweza nisapoti lift nitashukuru Sana . Au Kwa namna yoyote ile.
  19. JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie title ya huu wimbo

    Naombeni anae jua title ya huu wimbo aniambie
  20. JamiiForums Tanzania Nimeacha Kazi Bila Mkataba, Sasa Nadaiwa Kulipa au Kufanya Kazi Bila Malipo – Naomba Ushauri wa Kisheria

    Habari wanajukwaa, Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu suala linalonihusu. Nilikuwa nafanya kazi sehemu fulani bila kuwa na mkataba wa maandishi. Hivi karibuni niliamua kuacha kazi, lakini meneja wa kampuni amenipa chaguo mbili: Kulipa pesa ya mshahara wa mwezi mmoja. Kufanya kazi kwa mwezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…