naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujua siku za kushika mimba

    Hello!!! Habari za jioni madactari na nurses,mwezi wa kwanza nilipata hedhi yangu tarehe 10(10/1/2025) mwezi wa pili huu nimeanza kupata hedhi yangu jana saa 11 Asubuhi ,je? Nina mzunguko wa siku ngapi na siku zangu za hatari ni tarehe ngapi na tarehe ngapi nahitaji kupata mtoto.ikimpendeza...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wanangu juu ya maneno ya Yesu Eloi Eloi alipokuwa akilia sijui Mungu kweli analia na kumlilia mungu mwingine!!1

    Eloi Eloi Lama sabakhtani " Mungu wangu. Mungu wangu mbona waniacha." Je alipokuwa mimba ina maana dunia haikuwa na Mungu? Je Mungu hakuwa na namna ya 'kuwakomboa' hao waliopotezwa na shetani aliyemtengeneza? Je Mungu asingemtengeza shetani, hawa watu wetu wangepotoshwa na nani? Je alimtoa kwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi PSSSF acha dharau na mazoea kwenye haki za watumishi

    Wanajukwaa habari za wakati huu. Ninatamani weekend inaenda kuanza vyema na wale wenye changamoto Mungu awafanyie wepesi Nitakuja jukwaani tena kuujulisha umma kwamba huyu mkurugenzi wa PSSSF anadharau juu ya haki za watumishi wenzake ambao wanadai haki zao. Ajue na kuelewa maana ya haki. Hapo...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kujua haya kuhusu hizi temporarily employment za Tanzania Airports Authority (TAA)

    Naomba kuuliza 1.Wanaposema temporarily employment wanamaanisha ni kazi za mkataba wa muda gani? Na je baada ya mkataba kuisha kuna possibility ya kuongezewa mkataba au ndo shughuli yako inakua imeishia hapo? 2.Maswali gani wanauliza hasa kwa upande wa accounts officer ii?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Clinic ya mama kwa walimu: Naomba kujua hii clinic ya mama jinsi inavyofanyika

    Hii clinic inafanyika ikiwa na malengo ya kutatua changamoto za kimshahara za walimu yaani waliopunjwa daraja, malimbikizo mbalimbali ya mshahara n.k Swali langu ni kuwa siku hiohio wakishabaini kuwa huyu mwalimu anapaswa kulipwa anapewa chake au ndo yaleyale ya ombi lako linashughulikiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii picha kama ni ya IA au ni ya camera

    toa sababu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria kuhusu bima ya maisha

    Husika na kichwa happy juu, naomba kujua kuhusu bima ya mkopo hasa mkopaji mwenza anapofariki kwa maana mkopo unabima ya maisha lakini wakopaji ni wa wawili, mke na mme, afu afariki mke, maana tumezoea kuona mume anafariki lakin hapa mke kafariki na katika mkopo anahusika kama wakopaji wote...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, je ni kweli haya madini yanayoleta tafrani Kongo tunayo hapa nchini! (coltan)

    MADINI YOTE MUHIMU YANAYOCHIMBWA DRC CONGO, MADINI HAYO HATA SISI TANZANIA TUNAYO KATIKA MKOA WA KAGERA. KATIKA MKOA WA KAGERA TUNA MADINI YAFUATAYO AMBAYO CONGO PIA WANAYO; TIN (CASSITERITE) NICKEL COBALT MANGANESE TANTALUM (COLTAN) TUNGSTEN ( WOLFRAMITE) HAYA MADINI MKOA WA KAGERA YAPO...
  9. JamiiForums Tanzania Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

    Habari za asubuhi wadau Kwa wale wajuzi wa vifaa vya umeme naombeni mnijuze hicho kifaa kinauzwa bei gani. NEW
  10. K

    JamiiForums Tanzania Diploma in operation theatre technology naomba kujua nkitaka kusoma kwa tanzania naenda chuo gani

    Diploma in operation theatre technology naomba kujua nkitaka kusoma kwa tanzania naenda chuo gani
  11. JamiiForums Tanzania Wazee naomba kuuliza hivi Arsenal na Fly Emirates ni mkataba wa milele?

    Huwa najiuliza hii timu na hili shirika la ndege ndio wamejiunga mkataba wa milele au maana wanamiaka mingi wakuu anaejua anifahamishe Ili nipate kujua maana tangia wajengewe uwanja mpaka Leo wanatumikia hili shirika je ndio makataba wa milele
  12. JamiiForums Tanzania Tabora akiifunga Simba kwa heshima na tahadhima naomba ban ya mwaka

    Kwanza Tabora wachezaji muhimu hakuna kama kawaida yao. Referee ni yule yule Rose Mhando Hawana fitness ya kueleweka Rage yupo kwenye kamati kuu Hata wakibana vipi dk za fidaa ata zifike 150+ patawekwa tuta na watafungwa Ni hayo tuu mods naomba mnitimizie nilichoomba
  13. JamiiForums Tanzania Naomba tuweke mambo sawa Rwanda wahutu ni wengi kuliko watusi. Hii ni kwa wale ambao tumewahi fika Rwanda

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Nimeona nije hapa niweke mambo sawa Maana nimeona Kuna watu wanapotosha sana Mimi nimefika Rwanda napajua vizur sana na nchini Rwanda wahutu ni wengi sana kuliko watusi Robo tatu ya watu wa Rwanda ni wahutu Asante sana kwa kunisikiliza Sisi wafuasi...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba Kazi,uundaji wa mitambo na mashine hizi

    Elimu:Elimu ya juu(A - LEVEL) Ujuzi: VETA na SIDO. Makazi: Dar Naweza fanya Kazi: Popote Ujuzi wangu wa miaka zaidi ya minne(4) unajumuisha: *Uundaji wa mashine za kutotoreshea vifaranga wa ndege (Incubators) *Uundaji wa mashine za kukausha mazao na samaki *Uundaji wa mashine za kugandisha...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kazi au connection za kazi

    Wakuu habari za majukumu ya hapa na pale.Naomba kama Kuna mwenye kazi au connection za kazi,mahali popote professional nimesoma ualimu,“Diploma for secondary education ”masomo ya phizikia,pamoja biologia.Pia ambazo siyo professional Kama —⟩Ufugaji wa kuku aina ya broiler. —⟩kilimo Cha bustani...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa jinsi ya kuhifadhi mafuta ya nguruwe yasiharibike

    Baada ya kuona wataalamu mbalimbali wakishauri tutumie zaidi mafuta ya kupikia yatokanayo na wanyama badala ya mbegu nimeona mafuta ya nguruwe yatanifaa. Nimepata wazo la kwenda kuyanunua buchani na kuyatayarisha kisha kuyahifadhi. Sasa ninaomba kwa anayefahamu namna nzuri ya kuyahifadhi ili...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba msaada

    Ni platform gani naweza sikiza mziki nikiwa sina bundles yaaan nikishaidailod it itwangwe tuu mziki usiku kucha isitumiee bundles lakin
  18. R

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama: Mahakama yasitisha amri ya Trump ya kuzuia uraia wa kuzaliwa Marekani

    UHURU WA MAHAKAMA Kwako Ibrahim Juma , CJ. MH. JAJI MKUU NAOMBA UPITIE UONE KAMA KUNA HAJA YA KUIGA MFANO HUU WA MAHAKAMA HURU Jaji wa Mahakama ya Wilaya ya Marekani, John Coughenour, ametoa agizo la muda la kusitisha utekelezaji wa amri ya Rais Donald Trump ya kufuta uraia wa kuzaliwa nchini...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kitu wana jamii

    Sasa mm nimeamuaa kuja na wife wangu nyumbani kama nilivyosema awali nina mke mkenya sasa nataka nije nae home jee nitatakiwa kufuata taratibu gani ni mjamzito tayar
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria hapa.

    Kuna sehemu nilipata kazi private sector sasa yapata mwezi mmoja umepita,mkataba nilisaini sehemu yangu ile ya employee ila employer hakua amesaini,nikamkabidhi HR wa kampuni na taratibu nyingine za kuwa on borded zikafuatwa.sasa mpaka Leo hr hajanipa copy ya mkataba wangu ambayo imesainiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…