Dr JF nmembers naomba kusaidiwa mimi vyeti vyangu vya kuzaliwa na shule majina yake ni ya kiislam “Mwanaidi Juma Katani” lakini ndoa yangu ni ya kikristo na majina ya vyeti vya ubatizo na ndoa ni “Janeth Juma Katani”. Sasa nimeshaajiriwa serikalini na nataka nipeleke vyeti vya ndoa kwa afisa...
Mimi ni mwanamke lakini nina mchumba anaitwa X tulikua tunafanya kazi mkoa wa Ruvuma Songea kwa sasa yeye anahamia mkoa wa Njombe kikazi pia na itakua permanent place yake
Hofu yangu ni mahusiano kuvunjika
Ushauri wenu japo anasema ananipenda umbali Sio shida, nawaza atanisahau akienda huko...
Naweza kuanzisha biashara gani kwa mtaji wa M5 na ikawa na mwanzo na muendelezo mzuri kati ya hizi
1. Soft drinks
2. Nafaka
Pia kwa mwenye ushauri wa biashara nyingine tofauti na hizo kwa mtaji wa M5
Mkoa ni MWANZA
Natanguliza shukrani
Habari wanajamii,
Naomba msaada wa ushauri na uzoefu wenu. Niko kwenye hatua za awali za kupanga kufungua mini supermarket/mart ndani ya mji, lakini kabla sijaanza rasmi ningependa kupata taarifa sahihi kutoka kwa waliowahi au wanaoendesha biashara hii.
Naomba kusaidiwa kujua mambo yafuatayo...
Nahitaji ushauri wa watu wenu ndugu zangu wenye busara.
Ninaishi Canada kwenye nyumba ya serikali (HLM) pamoja na mke wangu na watoto wangu wawili. Baba yangu ana miaka 46. Nilimchukua aishi kwangu kwa sababu alikuwa ana maisha magumu, lakini tangu ameingia kwangu maisha yamekuwa magumu sana...
Ndugu zangu ambao mpo kwenye ndoa naombeni ushauri kabla sijafanya maamuzi yangu mwenyewe.
Nipo kwenye hii ndoa kwa miaka 11 ila mwanamke ambaye nilikutana nae alikuwa na mtoto tayari ila naomba niseme alikuwa mwenyewe na mtoto wa miaka 2 mwanaume wake alimkimbia, sasa baada ya hapo mwanaume...
Juzi 1/10/2025 nilitoa fedha kwenye ATM, hata hivyo pamoja na fedha kutoka kwenye AC yangu fedha hiyo haijatoka kwenye mashine.
Fedha hiyo nilitakiwa kulimlipa mdeni amabaye ananida, pamoja na jitihada za kuwasiliana na Branchi husika na kupiga simu kitengo hiduma kwa wateja bado fedha hiyo...
Baada ya kudumu miaka 9 kwenye ndoa, mimi na aliyekuwa mke wangu tumeachana rasmi Leo Mbele ya ofisi ya serikali ya kijiji cha Malangari
Tumegawana mashamba pamoja na ng'ombe tuliokua nao lakini watoto amebaki nao
Hakika
Kati ya IFM- Insurance and Risk Management
TIA- Business administration
CBE- Banking and Finance
Kati ya hvyo vyuo na hzo courses ni chuo gani niende guys naombeni na reason
Ila nina diploma ya insurance and Risk management kutoka IFM
Habari wana jukwaa wa jf.
Mimi naomba ushauri juu ya swala langu kama ifuatavyo.
Kuna kampuni nilikuwa nafanya kazi kwa kipindi cha miaka minne sasa mpaka ilipofika tarehe 11/7/2025 nilipoachishwa kazi kwa kosa la upotevu wa mafuta Lita 20 kwa kuambiwa nimeweka Lita 60 badala ya Lita 80 ambazo...
Habari za sahizi waungwana?
Naomba mchango wenu wa mawazo.
Nimepata ajira mbili kwenye kampuni mbili tofauti.
1.kampuni ya kwanza ni kiwanda cha wachina,kazi inahusiana na professional yangu niliyosomea(uhasibu) mshahara sio mkubwa kivile ni around 1.3m kabla ya makato.
2.kampuni ya pili nayo...
Habari zenu wana jamii forums mimi ni kijana kutoka zanzibar naomba ushauri wenu juu ya biashara ya nyanya kutoa daa kuleta zanzibar na conection maana zanzibar tunapigwa sana
Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox.
Nimetibiwa...
Wanajamvi habari za majukumu.
Nataka kuanzisha mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa mazao mbali mbali sasa nipo katika kufanya utafiti wa kutafuta pampu nzuri na bora kwaajili ya kazi twaja hapo juu
Nmekuja kwenu wana JF ili mnipe ushauri wa pampu ipi bora
Kwa vigezo hivi
Iwe inchi 4
Iwe ya...
Habari ndg zangu samahan naomba ushauri nilikuwa kazin shift ya usiku nimeamka asubui nimeona uvimbe kwenye shingo yangu itakuwa ni nn maana leo siku 4 uvimbe unakuja na kupotea baada ya dk unarudi tena?
Wakuu wa kaya NAOMBA USHAURI JUU YA UCHIMBAJI WA DHAHABU
Kuna eneo nyeti Lina dhahabu nahitaji niwekeze
Anae jua process za UCHIMBAJI anipe info mbili tatu
Wakuu wana JF, hope mpo salama.
Ni graduate mwenye uchu wa kujua programming na mambo ya system security(cyber) kwa udani, nimejaribu kupitia youtube tutorials ila bado sijaridhika, nimetumia resources mbali mbali lakini katika harakati za kutafuta more resources, nikapata Wazo la UDEMY...
Naomba kuuliza hili WAKUU
Mimi ni mwalimu wa sayansi masomo biology na geography, kwasasa nataka kuomba kufanya postgraduate diploma ya procurements and logistics management pale TIA, sasa kitu ambacho sielewi ni kuwa kwamfano kwenye maombi ya kazi utumishi naweza kuomba kazi ambazo vigezo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.