nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. Y

    JamiiForums Tanzania MECHI ya kufa mtu MANCHESTER CITY vs REAL MADRID nani anaenda fainali

    Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real madrid ni mechi kali yenye mvuto wa kipekee itakuwa mechi ya kimbinu zaidi . Mtazamo wangu...
  2. JamiiForums Tanzania Bwagala na hospital ya morogoro nani anahusika na kifo cha dada huyu?

    Kuna taarifa za kufariki mama mjamzito ambaye pia ni nesi. Mdada Huyo alifia hospitalini baada ya madaktari kumuonyesha Kwenye mashine kwamba mtoto wake hachezi na ameshakufa. Mbaya zaidi dada Huyo ni mtu wa medical kwahiyo alipoona tu Kwenye scrini kwamba mtoto wake kafa akapatwa na bp nae...
  3. JamiiForums Tanzania Chanzo cha vita ya Israel na Palestina na ni nani mmiliki halali wa eneo hilo

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Jameni nani anawaua hawa mabilionea wa Urusi na familia zao "Oligarchies"

    Kwa siku chache mabilionea wawili wenye hela za kutupa na kumwaga wameuawa pamoja na familia zao, mmoja kafia Moscow, Urusi ndani pamoja na mkewe na watoto ila ikasemwa amejitoa uhai baada ya kuua familia yake, mwingine ameuawa Uhispania pia na familia yake. Ikumbukwe hawa oligarchies ndio huwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tuweka ushabiki pembeni: Staa gani anajua kuvaa na kupendeza hapa Bongo?

    Jux Ommy Ali Kiba Diamond Kamikaze
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nani ni nani African Union (AU)?

    Kama AU itaamua kuja na utaratibu kama ule wa UN wa kuanzisha vingunge wa kura ya Veto, unadhani ni nchi zipi tano wanachama wa AU wanastahili/watapata mamlaka hayo ya Veto? Na vigezo vyako ni vipi kukisia nchi hizo? Taswira zote kwa hisani ya google.
  7. JamiiForums Tanzania Nani pisi kali kati ya Uwoya na Aggy baby?

  8. B

    JamiiForums Tanzania Hivi anaetumia id ya mkulima kwenye draft la playok ni nani haswa? Ni jini au?

    Nasikia huyo mkulima aliwafunga Ronaldo, sisqo na noel, Nimeshuhudia hata mabingwa wengine wa playok wenye point 1500+ anawafunga, halafu cha kushangaza zaidi nasikia hachezi copy.. Huyu mtu anachezea kijiwe kipi? Maana anaetumia id ya mkulima Kwenye playok nasikia sio mangwelele
  9. JamiiForums Tanzania Ukishamzalisha umuoe. Sasa mnawazalisha ili waolewe na nani?

    In short case za single mothers zimekuwa too much wanaforce tuwaoe siye ambao hatujawazalisha aliyakuwa wanaume zao waliowapa Mimba wapo. Nyie vijana hakikisheni mnawaoa single mothers wenu ili mbalance Mambo. Huku mtaani single Mama wanazalilishwa vibaya sana. Ni hayo tu Pasaka Njema. Mfano...
  10. JamiiForums Tanzania Swali la mjinga: Mwenye mamlaka ya kuanzisha mchakato wa Katiba Mpya ni nani?

    Swali la kijinga toka kwa mjinga. Kama hujui maana ya ujinga na mjinga, unaweza kunicheka kwa kuona au kudhani najitukana mwenyewe. Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ujinga si tusi. Binadamu wote wana ujinga. Hakuna mtu ajuaye kila kitu. Sasa basi, leo ngoja niulize. Katika Tanzania yetu hii...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kama mwana Yanga SC kindakindaki Dismas Ten kaikubali Simba SC Wewe ni nani uikatae?

    "Tukinuniana kwa hili Poa tu ila lazima ifike muda tuseme tu Ukweli kuwa Simba SC ndiyo Timu pekee iliyo set Standards ya Soka la Tanzania na Sisi wengine hatuna budi Kuiga na hata Kujifunza Kwao" Dismas Ten aliyewahi kuwa Msemaji wa Yanga SC na Mwandamizi wa Uongozi ndani ya Klabu hiyo ya Yanga...
  12. JamiiForums Tanzania Nani ameleta wazo la kununua nguzo za umeme nje ya nchi? Ni January Makamba?

    Naona Wabunge wa CcM hasa wanaotoka maeneo yanayozalisha nguzo za umeme hasa Mkoa wa Iringa wanapiga kelele juu ya hii ishu. Nani kaleta hili dili linalopigiwa kelele ambalo litasabaisha wananchi kutoaka maeneo haya kukosa kipato? ... Nguzo za hapa nchini hazina ubora?
  13. JamiiForums Tanzania FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Habari! Nawakumbusha tu Waislamu wenzangu kuwa tusifuturu kwa FUTARI walizopika vimada wetu hasa tunaoishi nao pamoja. Haijalishi tumezaa nao watoto wangapi, au tumeishi nao kwa miaka mingapi.
  14. JamiiForums Tanzania Nipo Tunduma, toka mafuta yapande yafikie 2,900 nauli tunalipa 1,000 ya daladala kituo kwa kituo

    Mimi niko mji wa Tunduma toka siku mafuta yapande yafikie 2,900 nauli huku tunalipa 1000 ya daladala kituo kwa kituo. Hakuna mamlaka zozote zinazokemea suala hili wiki ya pili, hakuna trafik wala sumatra wanaochukua hatua. Sasa inamaana hiyo ndo bei elekezi? Waziri. Wakuu wa wilaya na...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa, Eva, Eve ni nani?

    "NANI ATASIMULIA HADITHI YA SHETANI BAADA YA KUSIKIA UPANDE WA MUNGU?" MIMI NIPO TAYARI KUSIMULIA, NITAANZA NA HAWA (EVA,EVE), NYOKA (The Divine Serpent) NA KUMALIZIA DHAMBI YA ASILI (Original Sin) SEHEMU YA KWANZA: Kwa takriban miaka 1,400 hadi 2,500, mamilioni ya Wakristo, Wayahudi na...
  16. JamiiForums Tanzania Hatari kwa Nani na Kwanini Iitwe Hatari?

    Picha inajieleza, wahpliotengeneza hii watuambie Ni hatari kwa nani Kwanini iitwe hatari?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanataka katiba mpya sasa wasiotaka kina nani?

    Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa: Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani? Hekima ipi mpewe na nani nyie? Au ndiyo la kuvunda?
  18. JamiiForums Tanzania Mtoto pendwa wa awamu ya sita ni nani?

    Wakuu Kila awamu huwa kuna mtotompendwa serikalini ambaye hata akifanya madudu huwa haguswi wala kukalipiwa, Inawezekana marope ni mtoto mpendwa wa awamu hii, huyu mwamba hiwa simkubali tangu enzi za muswada wa cyber crime. Je huyu ndiye mwana mpendwa wa awamu hii au kuna mwingine?
  19. JamiiForums Tanzania Kuondoa na kurudisha sh. 100 kwenye bei ya mafuta nani awajibike?

    Rais Mama Samia alirejesha tozo ya Sh.100 iliyokuwa imetolewa kwenye mafuta ya petrol, dizeli na mafuta ya taa ni nani alikosea kuitoa na ni nani kati ya wafuatao ajitafakari kati ya Waziri wa nishati na waziri wa fedha na afanye hivyo lini ili iwe fundisho kwa wengine? Kama Ndugai...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 50 baada ya kifo cha Karume, ni nani haswa alimuua Karume?

    Tukiwa tunaadhimisha miaka 50 baada ya kifo cha Abeid Karume, sasa tujiondoe kwenye jela ya fikra, ni nani haswa alipanga mipango na kumuua Karume? Uzi tayari. Karibuni kwa mjadala... Cc: johnthebaptist
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…