nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dini kuu mbili zote ziko katika mfungo, wanaojaza sehemu za starehe ni kina nani?

    Inawezekanaje kua Kwaresma na Ramadhani vimekutana lakini maeneo ya starehe mambo yako kama kawaida, hii inaleta tafsiri gani?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni nani?

    ukipata pesa atahitaji kujua kuwa umezitoa wapi, ukijaribu kumweleza wapi umezitoa atauliza ilikuwaje... ukijieleza sana atahitaji kujua mbona hukupata nyingi zaidi ya hizi 😂 Haya upande wa pili ukikosa sasa hapo ndio patamu ataanza kwanini umekosa, ukijieleza sanaaa anakutolea mfano mbona...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

    Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
  4. JamiiForums Tanzania Mtu msomi ni nani?

    Msomi ni nani? Katika kusoma makala mbalimbali pamoja na kufanya tafiti binafsi, kumeonekana kuna changamoto katika kusema fulani ni msomi. Wapo wanaoamini, katika kufikia hatua fulani ya elimu anakuwa yuko sahihi kuitwa msomi. Wengine wanaamini msomi, ni yule anayetumia rasilimali vitu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mechi hizi zilizobaki unampa nani ubingwa wa Premier League?

    Ligi Kuu ya Uingereza inaelekea ukingoni, zikiwa zimebaki mechi kadhaa, Arsenal anaongoza ligi kwa alama 5 huku akiwa amecheza mechi moja zaidi ya Man City. Man City yeye amebakiza mechi 10 wakati Arsenal amebakiza mechi 9. Haya tuone kila timu imebakiza mechi zipi na baada ya hapo tabiri nani...
  6. JamiiForums Tanzania Je kuna miracle money? Je ni nani ameshawahi kupata miracle money?

    Miracle money ni hela unayoipata kwa njia ya ajabu kabisa ambayo hukuitarajia. Siku za hivi karibuni kuna wakuu wa dini wamejitokeza wakosema eti wana uwezo wa kukuombea ukapata miracle money. Nijuavyo mimi, miracle money huombewi na mtu yeyote, ila unaomba wewe mwenyewe, na huipati hadi uwe...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa kubadili dini ili aoe au kuolewa? Na kwanini?

    Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
  8. JamiiForums Tanzania Bruno Gomes ni zaidi ya Chama

    BRUNO GOMES NI ZAIDI YA CHAMA Hadi sasa Kiugo bora katika ligi Kuu ya NBC ni Bruno Gomes wa Singida Big Stars. Kuwa kwa namna ambavyo Bruno ameisaidia Singida Big Stars anamzidi hata Clatous Chama kwa sababu kuna wakati Bruno alichezeshwa kiungo wa chini akafanya vizuri na alipopelekwa kiungo...
  9. JamiiForums Tanzania Hawa wabadhirifu wanaolalamikiwa na Rais pamoja na Wabunge ni akina Nani?

    Napenda Kujua hawa wanaolalamikiwa ni akina Nani maana. 1. CCM wote wanalalamika. 2. Rais analalamika. 3. Mawaziri wanalalamika. 4. Wananchi wanalalamika. 5. Wabunge wote wanalalamika. Yaani Kila mtu anapiga kelele wakamatwe wakamatwe, kwani hao wezi wa Mali zetu ni wa nchi gani?
  10. JamiiForums Tanzania Nani ananunua gazeti siku hizi? Hakuna umuhimu tena

    Habari wakuu.Miaka ya nyuma kidogo tulisoma magazeti, tena kila habari kuanzia za siasa michezo hadi vibonzo bila kusahau matangazo. Nakumbuka miaka ile, mzee alikuwa akija na magazeti ya Nipashe, Majira na Mwananchi kila alipotoka kwenye mihangaiko. Hii ilitujengea hamasa ya kupenda kusoma...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Diblo Dibala katika Siasa za Tanzania ndiyo nani?

    Nimekuwa nikisikia hili jina la utani kwa mwanasiasa fulani. Sijajua kalengwa nani. Namaanisha hili jina la utani kabatizwa nani? Ongea kwa code usitaje jina moja kwa moja.
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke ni mtu wa kukaa nyumbani na kumsikiliza Mume wake, nani anabisha?

    Mwanamke hakuna mahali kwenye maandiko, asili ya maisha ya Mwanadamu alipopewa nafasi ya kuongoza kiibada au kiutawala. Baada ya kuletewa hizi dini za wageni, dini za michongo tunawaona wanawake wanakuwa (Wachungaji) manabii shetani ameshika hatamu kwa kupitia Wanawake. Wanaume tumekuwa dhaifu...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga huwa wanakabidhi akili zao kwa nani?!

    Nawaambieni kweli, hawa wanaoropoka humu Juwaani sio watu wadogo. Baadhi ni viongozi kule Utopolo
  14. JamiiForums Tanzania Nani aliruhusu Hii picha ipigwe hadharani namna hii?

    Mimi Huwa nashindwa kuelewa weledi wa vyombo vya ulinzi na usalama TZ. Vitu sentive Huwa hawana macho ya kuviona, binafsi siamini kama kweli hili eneo Halina askari kazu.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nani alikwambia ukiwa Rais au high level position Kuna mashost na marafiki?

    Kuna watu wanadhani ukiwa kiongozi wakitaifa utaendelea kuwa na mashost na marafiki... If Kuna kiongozi anadhani anaweza kuwa na mashost na marafiki ktk kuwa kiongozi basi anachimba shimo refu ktk uongozi wake? Kama unafikiri unapenda mashost na marafiki acha kuwaza kuwa kiongozi wakitaifa maana...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nani atazikwa na hela?

    Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa. Pesa hizo mara...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia alisema wajiuzulu/wapishe nafasi zao. Akina nani hao? ebu tuwataje...

    Wana JF habari zenu. Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL kutoka $ 37 mil hadi $ 86 mil wajiuzulu haraka, yaani wapishe nafasi zao haraka sana. JF tuweke...
  18. JamiiForums Tanzania Sijafurahia! Wanaowavisha Hawa Viongozi wetu ni kina nani?

    Kila wakati ukifuatilia matukio tofauti ya kitaifa na yale kila siku unaweza kudhani anatoka tu nyumbani labda alisahau kuandaliwa au mke kashtukizwa au labda zile nguo muhimu hasa zipo kwa dobi. Hebu tuangalie kwa pamoja hiyo suti ya makamu wetu wa Rais Dr. Mpango. Sijui ni vile ililetwa au...
  19. JamiiForums Tanzania Raisi samia: Nadhani hatuchukui hatua. Ni nani wanaotakiwa kuchukua hatua?

    Nini sababu za kutochukua hatua? Je, ni udhaifu wa serikali kuu, sheria au mazingira?
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna mtu kakopa benki zetu 5 katoweka

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo wakati akipokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ikulu Jijini Dar es salaam amehoji kuhusu mikopo chechefu na kusema kuna baadhi ya Maafisa wa Benki wanashirikiana na Wateja kupitisha mikopo kinyume na inavyotakiwa kisheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…