nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Inasikitisha namna cement inavyotumika kutunyonya; serikali mpo kimya kwa manufaa ya nani?

    Mfuko wa saruji (cement) kampuni ya NYATI wa 50kg unauzwa Sh20,000. Katika kila kilo moja ya saruji serikali inachukua kodi ya Sh20. Hivyo katika 50kg ya saruji kodi ya serikali ni Sh1,000 (5%). Kiwandani Mfuko wa saruji (cement) kampuni ya NYATI wa 50kg unauzwa kwa wastani unaoanzia Sh11,000...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

    Tulikua tunabishana hapa mtaani kuhusu mgawanyo wa madaraka ndani ya chama na serikali. Mimi bado nilikua nimeshikiria kwamba viongozi wa chama wakiamua wanaweza kuwa na nguvu kuliko mawaziri, wakuu wa mikoa na wilaya. Nimerudi hapa jukwaani nataka kupata majibu juu ya swali langu hili...
  3. JanguKamaJangu

    Huyu ni nani amefunga goli Merseyside Derby, El Classico & Manchester Derby?

    Mdau wa soka, huyu mchezaji amefanikiwa kufunga magoli katika mechi zinazohusisha upinzani wa jadi wa Timu za Mji mmoja ‘Dabi’ na katika ushindani wa timu kubwa zenye upinzani kutoka miji tofauti Nchini England na Hispania. Amefunga katika mechi ya Liverpool vs Everton, Barcelona vs Real Madrid...
  4. ndege JOHN

    Ikiwa huna mtoto ni Nani atakuuguza siku ukiwa hoi?

    Kwasasa tunatembea barabarani ila ndani ya miili ni wabovu usije kumpiga mtu hata kwenzi la kichwa utaishia jela ndugu yangu watu tumeoza maradhi kama yote kutilia ndani saratani,ukimwi na BP. Ni muhimu tujiulize hasa kundi la vijana la kataa ndoa,team chaputa,UWABATA for life na wale wa kutoa...
  5. GENTAMYCINE

    Nani kawaleta Kawe hawa Panya wa maajabu na wa kimkakati wanaosemekana kutokea nchini Malawi?

    1. Wana mikia mifupi 2. Wana mlio kama wa Mluzi 3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu 4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo wa taratibu huku wakiwa hata hawana wasiwasi nawe 5. Paka wala hawaangaiki kuwakamata 6. Lishe yao...
  6. Analogia Malenga

    Nani ameweka hizi bei elekezi za taxi pale Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere?

    Mbali na uwepo wa taxi mtandao kama Uber, bolt nk, bado Watanzania tuko nyuma ya muda. Karne ya 21. bado tunakomaa na namna ya zamani ya kufanya biashara. Sisemi kwamba watu wafanye taxi kizamani, kwa kuwa kuna maeneo madereva wa taxi mtandao hawataki kwenda. Hata hivyo, walioweka bei hizi...
  7. Erythrocyte

    Waziri anayetumia V8 kuchungia ng'ombe ni nani?

    Yapo mambo yaliyoibuliwa kwenye haya Maandamano tunayoendelea nayo yanasisimua sana . Imeibuka Taarifa kwamba yuko Waziri mwenye ng'ombe wengi sana , ambaye anatumia V8 kuchungia mifugo hiyo , yaani iko hivi , wachunga ng'ombe walioajiriwa na Mh huyo wamepewa V8 Kufuatilia ng'ombe hao huko...
  8. P

    Waziri anayemiliki jumba la kifahari ufukweni Dubai atajwa

    Leo katika Gazeti la Raia Mwema kuna taarifa za Waziri anaemiliki Jumba Ufukweli mwa Dubai tena akiwa amelinunua CASH kwa mabilioni ya shilingi. Cha ajabu mpaka sasa vyombo vyetu husika havijafanya uchunguzi wowote kwa kumhoji ili ijulikane fedha hizi alikwiba wapi na hatua stahiliki. Hii...
  9. D

    Yupi ni jinga la majinga hapa?

  10. Chizi Maarifa

    Nani anampa kiburi Netanyau? Hamas hatutaki vita iendelee tumeamua yaishe. Analeta Kibri?

    Nimeshangaa ... Anachokitaka atakipata tu. Hamas wanasema wanataka vita viishe. Netanyau analeta habari za kiduanzi. Tutaendelea kumchapa huyu Kafir mpaka aombe pooh... Sisi tunaona inatosha yeye analeta kibri. Ni nini sababu lakini? Si sawa. Njoo wenzangu tumshambulie huyu Israel. Ritz ...
  11. U

    Rekodi ya kuuza copy nyingi, nani mkweli, Mr. Nice niliuza nakala 1.7 mil, feruzi 200k ndani ya wiki?

    Mr. NICE ALIWIKA sana lakini anaonekana ni Mzee wa maneno ya kujisifia sana, kumekuwa na takwimu zisizo eleweka za mauzo ya kazi za wasanii hapo zamani. Huku Mr. Nice akitamba kwamba yeye aliuza nakala milioni 1.7 na aliemfuatia alikuwa around laki 380,000/= wakati huo huo tunaambiwa na Feruzi...
  12. TUKANA UONE

    Ni nani asiyefahamu Rais wa nchi kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan?

    Salamu nishamuachia ndugu yangu GENTAMYCINE yeye na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa! Nimejaribu kutembelea mikoa kadhaa hapa nchini ikiwemo mkoa wa kibiashara wa Dar es Salaam na kila sehemu utakayopita utaona mabango barabarani yakimtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kama ndiye Rais...
  13. Msanii

    PreGE2025 Haya mabango ya Mama Samia kila kona, nani anagharimia? Yanatusadia nini kama nchi?

    Ina maana wananchi wameshindwa kuelewa nini Rais wetu anafanya hadi watangaziwe kwenye mabango? Ina maana raia hawamjui rais wao hadi afanyiwe kampeni kwenye mabango ilihali yupo madarakani? Haya mabango kila kona nchini yanaendelea kusimikwa kana kwamba tupo kwenye kampeni za uchaguzi aa...
  14. kavulata

    Kocha wa taifa stars kachongewa CAF na nani?

    Kocha wa timu ya Taifa stars amesimamishwa na CAF kusimamia mechi 8 za timu yake. Swali ni nani alikasirishwa zaidi na maneno ya kocha dhidi ya Timu ya Morocco kati ya TFF, Morocco na CAF? ni nani alilalamika? Maana Kuna siku Yanga pekee TU ilipewa adhabu na CAF kwa makosa ya kumulika vItochi...
  15. Msanii

    PreGE2025 Askofu Prof. Victor Chisanga: Tunataka Katiba Mpya. CCM inategemea Polisi na Usalama kupora uchaguzi

    Maneno ya Mwenyekiti CCM Taifa kuwa Watanzania wanapaswa kuelimishwa kuhusu Katiba ili ndo mchakato uanze ni kauli inayofanania na ile ya wakoloni walitaka uhuru ucheleweshwe kwa sababu Watanganyika walikuwa hawana uelewa wa masuala ya kujitawala. Ni ulevi wa madaraka na uditekta dhidi ya...
  16. Mjanja M1

    Nani kamfunika mwenzie kwenye hii Track?

    Hapa Bambo kule Kingwendu nani kaangusha Melodies kali zaidi?
  17. DON YRN

    Suala vifurushi vya huduma za simu kupanda bila taarifa, nani anafaidika?

    Ni kweli enyi wana CCM, sisi wananchi ni mitaji yenu na wala hatuna cha kuwapangia na hatuwezi kuwafanya chochote. Kama sisi ni mitaji yenu, basi jaribuni kuilinda ili biashara isije tetereka. Leo nimejaribu kununua kifurushi kwenye mtandao ninaopenda, nilichokutana nacho kinakatisha tamaa...
  18. Tango73

    TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024

    TFF iondoke madarakani haraka sana la sivyo tusiandae AFCON 2024. TFF inabeba lawama zote za mpira mbovu waoneshao taifa stars huko Abidjan Ivory cost. Huyu kocha anashindwa hata kukuza uwezo wa midfilders ambao hushuka na kulinda goli na kusonga mbele kusaka goli kama wafanyavyo Yanga na Simba...
  19. saidoo25

    Kwanini Nape na Mwigulu waliwahi kumpongeza Nchimbi kwenye mitandao wakati ni wajumbe wa vikao vilivyompita Nchimbi?

    NIMEEJIULIZA swali Nape na Mwigulu ni Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kikao kilichompitisha Nchimbi kuwa Katibu Mkuu, Swali je kwanini Nape na Nchimbi walijitokeza tena kwenye mitandao kumpongeza hii ina maana gani?
  20. R

    Nani anaweza kutueleza mchango wa kamati ya ushindi ya Taifa stars? Hata uwanjani hawapo na wamelipwa fedha za walipa kodi. Deal deal

    Kuna kamati iliundwa kufanya uhamasishaji kwa ajili ya Timu ya Taifa. Uwanja hawana hata ngoma acha gitaa. Hakuna hata mmoja tunamwona uwanjani. Waliounda kamati walilenga michango au walilenga nini? Je fedha walizolipwa zilikuwa za kazi gani? Tukubali maisha yamekuwa deal
Back
Top Bottom