nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania MX Carter ni Nani? Na Kwanini Wasanii Wanalalamika Kuhusu Dhuluma Zake?

    Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums, Kumekuwa na gumzo kubwa mitandaoni kuhusu mtu anayejulikana kwa jina la MX Carter. Inaonekana kuwa jina hili limehusishwa sana na masuala ya usambazaji wa kazi za wasanii kwenye majukwaa ya kidijitali kama YouTube, Spotify, na mengineyo. Kinachoshangaza...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Dudu baya ndio nani kila jambo kuhusu dunia hii yeye kawa mchambuzi na kuna watu wanamsikiliza kweli

    Kuna wakati kunatakiwa kuzuia hawa wanahabari kujua mahojiano na wanataka kuwahoji. Yani huyu Dudu baya kila jambo yeye kawa mchambuzi mpaka maisha ambayo hakisikia Lucas Mwashambwa kachanganyikiwa kesho dudu kahojiwa. Wanaompa Airtime ni kwamba hawana content za kutengeneza.
  3. JamiiForums Tanzania Nani ana akili kuliko mwenzake? Huyu anayeiunga mkono ccm yenye nguvu madarakani au yule anayeishabikia Chadema yenye nguvu mtaani.

    Dj tupe mziki mzuri kutoka Studio...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA vs CHAUMMA: Nani anaenda kumfunika mwenzake?

    Tupe maoni yako nani anaenda kumfunika mwenzeke? Chaumma nyomi kama lote kila kona wanayokanyaga. Chadema nao wanajitahidi. Hii vita bado mbichi.
  5. JamiiForums Tanzania Nani anaruhusiwa kuja Nyumbani kwako ghafla bila kukupa taarifa?

    Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye? Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya anayetoa na anayepokea nani ana Nguvu zaidi, Anayetoa au Anayepokea?

    Naomba mnifafanulie watu wa Nguvu
  7. JamiiForums Tanzania Ni nani aliyetafuna fedha za zawadi ya Kombe la CRDB?

    Kiukweli hizi timu zinapitia magumu sana kutokana na uroho wa wachache. Wachezaji wanateseka dakika 90 + halafu zawadi ya fedha haiwafikii
  8. JamiiForums Tanzania Umewatambua nani na nani?

  9. JamiiForums Tanzania Hapa nani kaingia kwenye mfumo?

    Mwisho wa wiki hii mitandao ilivamiwa na slogan ya NO REFORMS NO ELECTION Hii ilikuwa kama Slogan mama! Kisha ikasindikizwa na zingine kama #Free Lissu nk Lakini hapo hapo sambamba na hilo ikaja pia kampeni ya ku "unfollow" mitandaoni watu maarufu ambao walionekana kutounga mkono NO REFORMS NO...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli muislam akitangulia kunyanyua kichwa kabla ya Imam wakati wa swala anageuka punda kama Sahih Bukhari inavyosema? Nani amewahi geuka punda?

    Sahihi bukhari 691 inasema wakati wa kuswali ikitokea mtu yeyote ataanza kunyanyua kichwa chake kabla ya imam wake msikitini Allah atamgeuza huyo mtu kuwa Punda. Je ni kweli watu huwa wanageuka Punda msikitini ? Imesimuliwa na Abu Huraira: Mtume (ﷺ) alisema, "Je, huyo anayeinua kichwa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Mwigulu mchemba nani boss wa mwenzake?

    Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana, maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika kuhusu huyu waziri wa fedha halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote ile tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

    Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025. Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama...
  13. JamiiForums Tanzania Nyie ni nani?

    Wadau hamjambo?. "Nyie Ni Nani?" Ney wa mitego anauliza kupitia wimbo. Ukiusikiliza na kutazama video yake utagundua Kaka Ney ameongea fact katika mitazamo sahihi kabisa. Wimbo "Nyie Ni Nani?" ni kazi ya kisanaa inayobeba ujumbe mzito kuhusu hali ya kijamii, kisiasa, na dhima ya wananchi katika...
  14. JamiiForums Tanzania Naona ACT Wazalendo leo wana furaha sana, inaonekana kuna mtu watampokea, je ni nani?

    Ukiinhia kule X naona wote kuanzia Dalali wao Zitto Kabwe ni full shangwe kwamba leo wana mpokea Kigoho, je ni nani huyo? 1. Sugu? 2. Gwajima? 3.Mbowe? 4.Yeriko Nyerere? 5. Wenje? 6. Wale Covid 19? mmoja wao? Nazani hapo kuna mmoja wao na kwa Gwajima nitaeleza baadae.
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya hawa Nani ni Dikteta Tanzania

    https://www.facebook.com/share/v/1BgsNVZPy9/ Sikiliza kwa makini hii Video clip ndipo utajua nani ni Dikteta Tanzania anayeteka, kupoteza na kuua watu. Akili za kuambiwa changanya na za kwako( Mbayuwayu style). Tafakari
  16. JamiiForums Tanzania Nani wa kulikomboa bara la Afrika?

    Afrika buana! Hivi ni ugumu wa maisha au malezi magumu tuliyokuzwa nayo ndio umetufunga akili tusitambue jema? Bara hili pekee ndilo ambapo kiongozi anayeweka mbele maendeleo ya Taifa lake na kulinda maslahi ya wananchi wake huonekana adui, hupewa majina ya dikteta, mnywaji damu, mbaguzi, asiye...
  17. JamiiForums Tanzania Kwahio nani kamuiga mwenzake kwenye hizi nyimbo 3

    https://youtu.be/jhULP7HlvF0 https://www.youtube.com/watch?v=lb3l6msZWkA&pp=ygUZbW9rb2xvIG5ha29rdWZhIGZheWEgdGVzcw%3D%3D https://www.youtube.com/watch?v=UAcPHTlljGU&pp=ygURd2FsYXUgbmFmYXNpIHNvbmc%3D
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpina: Mbunge aliyechaguliwa na kuapa analeta vigelegele kwa wezi! Kwa kumwogopa nani?

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, amesema ana matumaini kuwa Bunge lijalo baada ya uchaguzi litakuwa chombo makini chenye hoja nzito, kitakachohoji mambo ya msingi kwa maslahi ya wananchi, badala ya kuwa jukwaa la lelemama. Akihutubia wananchi wa Mwandu Itinje, Jimbo la Kisesa...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  20. JamiiForums Tanzania Ponjolo wa kinondoni ni nani?🤣

    Hii filamu inazidi kuwa tamu😁😁
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…