nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nani ana utaalamu na hii gimbal ya Hohem isteady M6

    Wakuu naomba mwenye utaalamu na hii smartphone gimbal ya hohem isteady m6 jinsi ya kuitumia yenyewe pamoja na app yake anisaidie maana imekuwa inanipa shida sana namna ya kuset na kubalance simu yangu
  2. JamiiForums Tanzania Picha za Ikulu, Mitandao, na Maadili: Ni nani aliyevunja kanuni?

    Kusambaa kwa picha za Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wa kiume Ikulu kumezua gumzo kubwa mitandaoni, likizua maswali mazito kuhusu heshima ya Ofisi ya Rais na maadili ya jamii. Hoja ya msingi si tu uwepo wa mgeni huyo, bali zaidi namna alivyovaa na mkao wake, ambao baadhi ya wananchi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kumtukana mkubwa wako kimoyomoyo? Je, alikuwa nani na alisema au alifanya kitu gani?

    Habari wanabodi Binafsi nimeleta uzi huu kwa kuamini kabisa kama binadamu kuna wakati tunakosea na kuna wakati tunakosewa vilevile. katika kukosea na kukosewa kuna ile hali mtu kureact/kukasilika pengine ulionesha hadharani ama hukuonesha. Hapa nazungumzia ile hali ya kutokuonyesha lakin moyoni...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rostamu hakuwa Live, Polepole huongea akiwa Live, kati yao nani kajificha?

    Maongezi ya Rostam Aziz jana ni recorded. Mwanzoni tuliambiwa atakuwa Live kupitia UTV. Hatuwezi kumchagulia jinsi ya kufikisha kwa jamii ujumbe aliokusudia. Wapo makasuku humu wanamwandama Polepole kuwa anazungumza akiwa mafichoni utadhani hiyo ni hoja ya msingi. Sasa mimi nauliza kati ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya Profesa Kabudi na Daktari Samia nani msomi?

    Profesa Kabudi anasiika kwa kusifia marais. Alianza na Magufuli. Alipokufa amehamia kwa Samia. Ajabu Samia hamsifii kama alivyowahi kufanya Magufuli. Je kati ya wawili nani msomibkuliko mwenzake?
  6. JamiiForums Tanzania Robby one Pharmacy/ Fashion zinamilikiwa na nani?

    Toka nakua namsikia huyu jamaa matangazo yake EATV, miaka ya karibuni kaingia kwenye madawa(Pharmacy) ila sijawahi jua inamilikiwa na nani? Ni mbongo ? Jamaa kadumu kwenye game la nguo toka kitambo sana, toka 2007 huko namsikia hadi leo bado yupo strong, Nani anamjua huyu jamaa? Na napenda...
  7. JamiiForums Tanzania Music Producer ni nani, na kuna aina ngapi za Music Producers?

    Kwa uchache tu mfahamu Mtayarishaji wa mziki au kwa kimombo Music Producer Music Producer au Mtayarishaji wa muziki ni mtaalamu anayehusika na kusimamia na kuratibu mchakato mzima wa kutengeneza wimbo au albamu. Mchukue kama meneja wa mradi (kwa kimombo unaweza kumuita Project Manager) na pia...
  8. JamiiForums Tanzania Ukubwani kuna yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe huwezi kuja kumsahau kwenye maisha yako hata kama maisha yatawatenganisha. Ni nani huyo

    Ndugu zangu. Mpaka unakuja kuzeeka na kuingia kaburini kila mtu ana yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe hawezi kuja kumsahau kwenye maisha yake kama chachu ya mafanikio au kutokufanikiwa kwake. Kwenye maisha tunakutana na malaika na shetani walio vaa mwili wa mwanadamu na kamwe huwezi kuja...
  9. JamiiForums Tanzania Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

    Mjadala kuhusu bei ya gesi ya majumbani nchini Cuba umeendelea kuchukua sura mpya baada ya kurushiana maneno kati ya mwanahabari na mchambuzi wa siasa Ezekiel Kamwaga na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole. Agosti 29, 2025, Polepole kupitia mitandao ya kijamii...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zamani tuliamini Albino hawazikwi wanapoteaga kumbe wanatekwa, ni nani aliendesha huo mtandao kwa usiri mkubwa kwa muda mrefu ?

    Hapo zamani kwa miaka mingi tuliaminishwa kwamba Albino hafi anapotea. Kumbe nyuma ya pazia wanatekwa wakihusoshwa zaidi na imani za kishirikina wakiwa kama sehemu za kafara. Ni kwa muda mrefu sana haya yaliendelea, ni nani au kina nani walikuwa waendeshaji wa huu mtandao ?
  11. JamiiForums Tanzania Baada Ya Muda Kupita Nimeelewa Mo Alikuwa Anatoa Ujumbe Upi Na Kwa Nani , Na Alimaanisha nini...

    Kuna clip Mo alikuwa anahojiwa akasema alishanunua Bugatti Chiron halafu akauza pasipo kuliendesha wala hata hakuliwasha hilo gari. Mo anasema aliona hawezi ku afford gari linauzwa bei mbaya kiasi kile 4.5 Million Euros nadhani tax excluded.. Pesa aliyouza faida yake akanunua mashine za...
  12. JamiiForums Tanzania Nani kampeni meneja wa Samia?

    Naomba kujua kampeni meneja wa Mama ni nani?
  13. JamiiForums Tanzania Wakenya mmelogwa na nani CHAN?

    dah jana sikuamini mlivyoamua kushangiliq wamoroco hivi mmelogwa mmnwezqje kuandaa mashindano na mwishoo mnaishia kushangilia timu za wageni.........Wageningen.......... Nawaza.mmelogwa ama
  14. JamiiForums Tanzania Nani anajua matumizi ya hili tundu kwenye kisu au Visu

    Nimejaribu kuwaza sana matumizi ya hili tobo kwenye kisu ni nini nikapata machache tu,sasa naomba mnajuze wajuzi wa mambo
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mama yangu, why waste time and Money? Unashindana na nani?

    Just for curiosity! Kwa status yako kusikia kuwa unashindana na DP, Chaumma, TLP and the like ni kujishushia hadhi! Ilinganishe na Albert Einstein kushindana na mtoto wa form six katika kuifafanua E=MC2
  16. JamiiForums Tanzania Hizi baskeli za wajumbe zimenunuliwa na pesa ya nani n zanini??

    Nimeona wachaga wanalalamika kupewa basikeli mbovu Jana nikaenda kwa mjumbe rafiki yangu ananionyesha box la baiskeli nkamwonyesha hii picha walizogaiwa moshi nkamshauri wauzie wanyasa kabla ujaliaa now anakunywa pale Manville pub Swali hizi basikelii za nani nani amenunua na kwa pesa ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani alikuwa anahujumu serikali kuhamia Dodoma hadi Magufuli akazira?

    Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma. Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu Angela Kizigha ni nani hasa huko CCM au serikalini?

    Anaemfahamu kwa undani huyu mama tunaomba uzi wake hapa ! Katajwa san na inaonekana anamkaribia Rostam kwa Upigaji
  19. JamiiForums Tanzania Kunani kati ya rais Samia na Kikwete tusichojua na tunapaswa kukijua? Je, hii ni haki?

    Kuna ming'ono kuwa rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete ndiye anaongoza Tanzania kwa kutumia remote kwa sasa. Je, kama ni kweli, inakuwaje tunayamaza? Inakuwaje anaendelea kulipwa haki za usataafu wakati hajastaafu na anashiriki siasa kila siku? Inakuwaje kila serikali inaposhambuliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nani ni Meneja wa kampeni ya Samia Suluhu Hassan

    Ni nani,bado sijamfahamu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…