namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kujificha kwenye kofia ya "HII NI NCHI HURU HATUWEZI KUINGILIWA "halafu unaua wananchi wako kama mbwa! Lazima utolewe kwa nguvu tu hakuna namna

    Linaiva jikoni linasubiri kupakuliwa tuu! Hakuna uhuru wa kuua raia wako namna ile tena raia asiye hata na panga halafu usimame kujifanya oooh! Hii ni nchi huru wasitupangie nyokoooo , utatolewa kwa aibu uhuru wa nchi na nchi kuwa huru sio kofia au tiketi ya kuua raia wako hovyo hovyo hata kama...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke wa namna hii?

    Ninaishi na mke wangu na kwasasa ndoa yetu ina miaka 3 lakini moja ya changamoto ya ndoa yetu ni tabia ya mke wangu. Uyu mwananke ana asira kibaya ni kuwa yeye hajuagi kabisa kudhiti asira yake na mara zote akiwa ana asira ninayeteseka ni mimi. Maana anaweza kuokota chochote na kunirushia au...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna mwamba aliwahi kuandika uzi humu kuwa alipewa utajiri na majini kutoka uajemi na akasema wahindi wanakitabu cha namna ya kuwatumikisha watu weusi

    Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
  4. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu

    Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu.Ndugu yangu kaunguzwa na toyo ilimlalia mguuni.Sasa amebaki na kovu,tunaomba msaada maelekezo ya dawa kwa anayejua tafadhari. Asante.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali mikoani, serikali inajali usawa kulingana na uhitaji katika kutekeleza miradi l?

    Ni muhimu kuangalia kama rasilimali zinagawanywa kwa haki, zikihakikisha mikoa yote inapata fursa sawa ya maendeleo, bila upendeleo wowote. Tathmini yako ni ipi kuhusu mgawanyo wa miradi ya serikali atika kila mkoa ? Je, serikali inazingatia usawa kulingana na uhitaji halisi wa wananchi katika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Video ikionesha namna Nicodemus alivyokamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi

    Wakuu SI niliona Simbachawene hivi karibuni alionya mwenendo wa aina hii ya ukamataji? au ndiyo sikio la kufa? === WATU WANAOPIGANIA HAKI WAMEKUWA WANYAMA TANZANIA Hivi ndivyo Polisi walivyo mchukuwa Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Namna gani nitapata seatime?

    Habari za muda huu Wana JF , Mimi ni mgeni humu Nina mpango wa kusoma short course za ubaharia pale DMI chuo Cha bahari , changamoto yangu nawaza baada ya mafunzo seatime nitapewa na chuo au nitatafuta mwenyewe?. Mwenye ujuzi anisaidie .
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu juu na namna ya kujiengua hapa tulipo kama Vijana

    Kwa kipindi cha mwezi mmoja nimekuwa katika hali ya kutafuta suluhu ya nini kifanyike kurudisha ari ya vijana, na watu katika utafutaji (hasa vijana) Kwanini? vijana wengi walio ingia barabarani siku ya 29 october ni kutokana na kuona hawana cha kupoteza, vijana hawa walikuwa na chuki, na hii...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akataa kuuza utu wake kwa hongo. Majaji hawataki kuingia kwenye rekodi mbaya. Samia akosa namna sahihi ya kuachana na kesi ya mtu huyu..!

    Ukitaka kuelewa ni kwanini risasi 42 alizopigwa Tundu Lissu Septemba 7, 2017 na 16 zikaingia mwilini mwake hazikupata ruhusa za kuondoa uhai wake, basi jibu unaweza kulipata wakati huu kwa kuangalia mtiririko wa matukio kumhusu.. Simulizi ya Wakili Dr Rugemeleza Nshala (unaweza kufuatilia...
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uhalisia wa mitandao Tanzania: Namna 'Jeshi la amani kwanza' linavyozima hoja za haki

    Katika miaka ya karibuni, Tanzania imeingia kwenye zama mpya ambako mitandao imekuwa uwanja mkuu wa siasa. Na kadri wananchi wanavyozidi kuuliza maswali kuhusu uhuru, gharama za maisha, ajira, rushwa, na usimamizi wa rasilimali—ndivyo kundi fulani la “walinzi wa amani” linavyozidi kuonekana...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Aisee! Kuanzia sasa namtafutia wife msaidizi wa kazi, kumbe ana kazi kubwa namna hii?

    Wife ana mtoto wa miezi miwili leo sijatoka mida ya mchana akaniambia nibaki na mwanangu yeye akachukue mboga aje kunipikia chakula Alivyoniachia dogo alikuwa katulia vizuri dakika tatu badae dogo akaanza kulia bembeleza wapi kidogo namimi nilie aisee mana sikuelewa cha kufanya nadogo analia...
  12. JamiiForums Tanzania Namna Mange Kimambi anavyoweza kuletwa nchini kujibu tuhuma zake

    Mtuhumiwa anaweza kurejeshwa Tanzania kutoka nje ya nchi kwa makosa makubwa kama uhujumu uchumi, rushwa, ugaidi, au mauaji endapo masharti ya kisheria yatatimia: 1. Extradition Act, Cap. 368 (Tanzania): Kosa lazima liwe la jinai pia katika nchi anakoishi mtuhumiwa (dual criminality). 2. First...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kitendo cha watu kuwa mobilized kuandamana na wakakubali hii inaonesha ni kwa namna gani Samia hakubaliki

    Msimfiche najua hata yeye anajua hili. Tanzania asilimia kubwa ya wananchi wana maisha ya chini ukiona watu wengi wanakupinga basi jua ndio hao na ina maanisha hakuna kitu unafanya kwao. Mimi frankly speaking sikua nakubaliana na Magufuli kwa mambo ya kidemokrasia Narudia ni Mimi Binafsi Ila...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa kiburi hiki, hivi EU na US wakituwekea vikwazo vya kiuchumi, tutamaliza hata mwaka tukiwa salama?

    Licha ya nchi yetu kuwa tegemezi na ombaomba, vitu vingi tunaagiza kutoka nje zikiwemo nchi za Ulaya na Marekani. Sasa najiuliza, na hawa mabwana nao wakiamua kutunisha misulu kwa kupiga marufuku biashara yoyote ile na Tanzania ikiwemo kutokutuuzia silaha, kutoruhusu ndege zetu kutua nchi za...
  15. JamiiForums Tanzania Wazee wazima mnaenda kuaibishwa namna hio au mmelipwa??

    "Unaporudi leo mzee na kulia kijana wako kaumizwa mguu kijana wako alikufa ulishindwa nini kumzuia asitoke, ulishindwa nini kumuambia maneno ya hekima asiende" Rais Dkt Samia Suluh Hassani akizungumza na wazee wa Dar. Hajui kwamba juna watu wamepigwa risasi wakiwa majumbani mwao, wapita njia nao...
  16. JamiiForums Tanzania Tukisikia kanisa katoliki limehujumiwa kwa namna yoyote ile au viongozi wao kudhuriwa; tunajua tatizo liko wapi

    Data zimetunzwa!
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Itafutwe namna serikali izungumze na viongozi wa upinzani na wanaharakati kuona tunamalizaje haya Mambo. Maana!

    Habari za Sabato! 1. Ndugu Watanzania nichukue nafasi hii Kwa sehemu yangu kama raia wa Nchi hii kama mlivyo nyie. Kuzungumza machache kama sehemu ya maoni na mchango wangu. 2. Binafsi nipo kwenye hali ya Wasiwasi mkubwa na hali inayoendelea. Naamini sio mimi pekee yangu nipo katika hali hii...
  18. JamiiForums Tanzania Hii Post-Election-Fever kwa Watawala inanikumbusha kauli hii ya Gwajima

    Nakumbuka katika Moja ya Press ya Gwajima alisema itakuwa ngumu sana kuliongoza Taifa lenye mpasuko na mgawanyiko utakoletwa na Uchaguzi ambao mnalazimisha kuufanya. Leo hii wanahaha kinoma. Mara PM kasema hili, Mara Polisi wamezuia mafuta mara Waziri wa vijana kala spana. Yote haya mlionywa...
  19. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wana CCM na Viongozi wa Serikali na Wastaafu na Machawa ambao Kamwe Hawatasamehewa Leo au Kesho Kwa namna yoyote Ile !!

    Hii hata hao TEC au Shura ya Maimamu , Wasomi ,Taasisi mbalimbali hawataruhusiwa kuingilia Au kujaribu kushawishi Maamuzi ya Wananchi. Wameua Ndugu zetu Maelfu , Wameteka Kila sauti iliyosimamia Haki, hakika Hawa ni watanzania ambao HATUTAWASAMEHE. Jakaya Kikwete na Familia yake. Rostam Aziz...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa maana nyingine serikali imekubali ripoti ya CNN, BBC na Al Jazeera ila hawajapenda namna walivyopata uthibitisho?

    wakuu, Kwenye press hii Msigwa amseme walichokifanya CNN na wengine ni kinyume na maadili ya uandishi kwa kutokwenda kupata upande wa pili. Wamesema kuweka picha za kutisha mtandani ni kinyume na maadili, kuonyesha picha za watu vimejaa damu, au wametobolewa ni kinyume na taratibu za uandishi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…