namna

Namnå is a village in the municipality of Grue, Innlandet county, Norway. Its population (2005) is 394.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtu wa namna hii unachukua hatua gani?

    Wakuu MUNGU NI MWEMA HATA SASA Nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeshakuwa kama ndugu sasa. Maana tokea tuko secondary mpk chuo tumekuwa wote mpk ndugu zake nao walishaniona kama ndugu yao tu. Huyu rafki yng ni mtumish wa MUNGU yaan ni mchungaji na mimi huwa namsaidia pia napopata nafasi...
  2. JamiiForums Tanzania MSAADA TUTANI: Ninaomba msaada namna ya ku-apply Songea Teachers' College

    NB: Mada husika ipo kwenye paragraph ya pili. Heshima kwa wanajukwaa wote, baada ya salamu naomba niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022 na ninahitaji kujiunga na chuo cha Ualimu cha Songea (Songea Teachers' College) ili nisomee Diploma kwa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkaguzi Mkuu wa Serikali afichua wizi wa Mabilioni unavyofanywa na Kampuni za maji

    Ripoti iliyotolewa na Mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Kenya imefunua ufisadi mkubwa, udanganyifu, na utendaji mbovu katika kampuni za maji na usafi unaofanyika katika mikoa mbalimbali. Ripoti hiyo imebaini kwamba licha ya kuwa ni jukumu la ugatuzi, kampuni za maji na usafi katika mikoa mingi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wenye magari mabovu tu: Tupeane uzoefu na motisha na namna ya kuishi nayo

    Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa! Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye magari mapya kaeni pembeni mle popcorn kidogo! Hapo namaanisha wale ambao magari yetu tunayajuya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

    Kwa kifupi huyu ndugu yangu (Shangazi ni mtu poa, nimemfahamu toka utotoni, na sehemu kubwa ya utoto wangu nimekulia kwake, hajawahi kunikwaza kwa chochote, ila kwa hii miaka 5 iliopita ameanza tabia ambayo inanipa maswali kichwani, hadi sasa hivi roho yangu inakua kama inamkwepa.. Yaani kila...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa bandari: Tundu Lissu asema una "utukufu wa kikatiba". Kuhusu bandari, mkataba huu ndiyo sheria! Afafanua namna unavyoweza kuvunjwa

    Ni kwenye PC yake ya juzi kwa vyombo vya habari alipokuwa akijibu maswali ya waandishi wa habari.. Wasio na bundle, hizi hapa 👇👇👇ni baadhi ya quotes za kauli zake • "Haya makubaliano ndiyo mkataba. Kwa jinsi mkataba huu ulivyo haurekebishiki na ukabaki", Tundu Lissu • "Kwa jinsi mkataba huu...
  7. JamiiForums Tanzania SoC03 Namna Baadhi ya Viongozi Wanavyogeuka kuwa Chanzo cha Migogoro Afrika

    Utangulizi Ilikuwa ni majira ya saa 12 za asubuhi, baada ya kutoka zangu msalani, niliamua kusikiliza taarifa ya habari kutoka shirika la Utangaazaji la Ujerumani (DW Swahili) kama ilivyokuwa kawaida yangu. Sababu ya kupenda kwangu kusikiliza habari ni kutokana na shauku yangu ya kutaka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

    Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu. Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini. Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wagner asikitika kwa namna Warusi wanafyekwa kwenye counter-offensive

    Taarifa zinaonyesha Warusi wanauawa takriban mia tisa kwa siku... ========== Wagner chief admits Russia losing badly against Ukraine’s counter-offensive Wagner Group financier and internally recognised war criminal Yevgeny Prigozhin issued yet another rebuke of the Armed Forces of Russia...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Unapataje ujasiri wa kumuacha mke mwenye mtoto mdogo unayempenda?

    Mke mmeshashindwana kwa kila namna; kiuchumi hamuendi, kisocial hamuendi, kinidhamu n.k hamuendi, yaani ni tabu tupu na umeshafanya maamuzi kichwani ya kumrudisha kwao mara baada ya mavuno maana si kwa kutoelewana huku. Yaani katika wiki maelewano yanaweza kuwa ya siku mbili tu, siku zingine...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Video iliyochukuliwa na Camera ya Bradley fighting vehicle la Ukraine yaonesha namna msafara wa vifaru vya Leopard ulishambuliwa na Urusi

    Video iliyorikodiwa na camera ya mojawapo ya magarivita ya Marekani (Bradley fighting vehicles, yaliyoshambuliwa na Urusi) imeonesha namna msafara wa vifaru vya Ujerumani (Leopard tanks) na magarivitaya hayo ya Marekani (Bradley fighting vehicles) vilivyopigwa 'mtungo' na majeshi ya Urusi kisha...
  12. JamiiForums Tanzania Kada wa Chadema adai hata Chifu Mangungo hakuwa mpumbavu namna hii. Huu mkataba una nini mbona ukakasi kila kona?

  13. JamiiForums Tanzania Namna ya kufungua account iliyozuiwa kupost Telegram

    Nimekuwa nikitumia account yangu ya Telegram lakini hivi karibuni wamenizuia kupost kwa groups lakini kutuma kwa individucal ambao nime save namba zao hakuna shida. Tatizo ni kwa groups, ukitaka ku-post chochote inakuja SMS inasema sorry, you are currently restricted from posting in this group...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Namna Serikali inavyoweza kushiriki kwenye mabadiliko ya teknolojia katika elimu

    Tovuti za wizara ya elimu zimekua na muundo ule ule tangu awali zilipotengenezwa hadi leo, hakuna vyumba vipya ambavyo vinabeba maudhui mapya ya kutoa msaada kwa wanafunzi. Wote tunajua teknolojia inakua kwa kasi sana na kutokana na kasi hii ya teknolojia sekta nyingi zinakwenda kupitia...
  15. JamiiForums Tanzania Njoo tujifunze namna ya kutengeneza Mobile Apps kwa Flutter

    Flutter ni moja ya Frameworks pendwa inayotumika kwa ajili ya kutengeneza cross platform applications. Kwa kutumia code base moja utaweza kutengeneza Apps kwa ajili ya Android, IOS, Mac OS, Windows, Linux na Web. Kutokana na ujuzi mdogo nilioupata nikaona sio vibaya nikianzisha uzi huu ili...
  16. JamiiForums Tanzania Nimegundua namna ya kufanya mvua inyeshe

    Leo ni mara ya 6, kila nikiosha kigari changu jioni usiku au asubuhi sana mvua itanyesha. Mpaka naanza kuwaza au huyu jirani yangu ananifanyia hujuma? Maana huu mtaa mzima mimi ndio nina gari kali, tena ya miaka ya hivi karibuni tu; ni Toyota Corolla ya mwaka 1986 kama imetoka Japan jana tu...
  17. JamiiForums Tanzania Wanatani wa Yanga mitaa ya Mbezi kwa yusuph washerekea ubingwa kwa namna yake

    kundi la vijana wakike kwa wakiume wakiwa na furaha sana, wakiimba ule wimbo pendwa wa leo ndo leo huku wakiendelea na maandalizi ya Mbuzi watatu pamoja na vyakula vingine, pamoja ya hayo wakiwa ndani ya mavazi (sio wote)ya kanzu wanasherekea ubingwa wa USM. Vigoma pia vinaandaliwa (kuanzia...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanamke huyu hata awe na msimamo namna gani, ipo siku lazima tu atachepuka

    1. Mwanamke mwenye mume mchepukaji. Kesi za uchepukaji za mume za mara kwa mara humtengua mke kwenye msimamo wake wa kulinda heshima ya ndoa yake. 2. Mwanamke asiyepata mtoto katika ndoa yake. Miaka kadhaa kwenye ndoa hapatikani mtoto. Mwanamke huanza kutafuta namna ya kumpata mtoto nje ya...
  19. JamiiForums Tanzania Biden atishia kuweka vikwazo kwa Uganda baada ya kupitisha sheria ya kupinga ushoga

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameilaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo huku akitoa wito wa sheria hiyo kufutwa mara moja. Sheria hiyo mpya itawalazimu Watu wanaoshirki kwenye...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Mwaka: Sauti Zimevuja, Feitoto akifundishwa namna ya kuongea uongo Clouds

    Tukisema huyu dogo anapotezwa na washauri wake, hasikii. Kaenda clouds kuongea shits kumbe kuna watu wamempanga namna ya kuongea. Kuna kundi la watu liko nyuma yake linampoteza bila yeye kujua? Hivi huyu hana management? Elimu Elimu Elimu, mzee Lowassa apewe maua yake.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…