namna ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada : Naomba Mnisaidieni Namna Ya kuinstall Window 10 Pro Kwenye HP Chromebook 11 63/G4 (Kip).

    Habarini Za Mchana Huu , Poleni na majukumu , nimekuja kwenu WanaIT mnisaidie swala hili , maana swala hili limenishinda kwa kutumia mawazo yangu pekee. Majuzi kuna Hp Chromebook Ram 4 na Internal Storage SSD 16 nilfanikiwa kuactivate window, nikamkabidhi mwenye nayo akaondoka , sasa basi...
  2. Jemedari wa Iran akionesha namna ya kukwepa Mabomu ya Israel na Marekani

    Huyu ana demonstrate kitaalamu jinsi ya kukwepa wasiuliwe na mabomu ya makafir ya Mayahudi na Mamarekani kwa kupiga msamba aka kusambika. Hii mbinu imeonekana ni nzuri na inafaa. Na ukimwangalia jemedari. Si haba. Mashallah.
  3. J

    Namna ya kuitambua nguvu yako ya ndani

    Nguvu ya ndani ni mali ya thamani sana inayomuwezesha mtu kuhimili changamoto za maisha, kufanikisha malengo, na kuishi kwa furaha na amani. Hata hivyo, watu wengi hawajui jinsi ya kuitambua na kuitumia nguvu hii iliyopo ndani yao. Somo hili linakusudia kukuongoza hatua kwa hatua jinsi ya...
  4. W

    Wahaya wameshindwaje kupaendeleza Kagera wakati wapo kwenye vyeo vya juu vya kupanga namna ya kutumia rasilimali za nchi ?

    Inashangaza !!
  5. Rockets zitakua zinatengenezwa hapa Tanzania, kwenye huu uzi ntaelezea namna ya ku-manufacture rockets za aina mbalimbali

    Rockets za aina mbalimbi zitakuwa zinatengenezwa hapa Tanzania na zitakuwa na sifa ya kipee Zifuatazo ni aina za rockets zitakazokuwa zinatengenezwa Tanzania Rockets itakayobeba wataalamu na abiria kutua kwenye sayari Rockets itakayobeba wataalamu na abiria kutua kwenye nyota ambazo zipo...
  6. Simu zitakua zinatengenezwa hapa Tanzania, kwenye huu uzi ntaelezea namna ya ku-manufacture hio simu ya kipekee

    Simu hizo zitakuwa na sifa zifuatazo Zitakuwa zinatumia natural satellite kufacilitate mawasiliano Kwa mtu aliyeko duniani atakuwa na uwezo wa kuwasiliana na mtu ambaye yupo sayari ya mars au Pluto instantly Battery yake itakuwa na uwezo wa kujaa kwa mda wa dakika 5 na zisizozidi dakika 10 Kwa...
  7. M

    CCM fikirieni namna ya kumuenzi Marehemu Kapteni John Komba

    Nimefikiria jinsi alivyotumika kuking'arisha chama kwa utunzi na nyimbo zake hasa katika nyakati ngumu za uchaguzi. Huyu nilianza kumshuhudia tangu enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Hata baada ya kufariki bado nyimbo zake zimetumika katika mikusanyiko ya chama na kwenye kampeni...
  8. S

    Watu waelewe kuwa propaganda za chama tawala ni namna ya kutafuta kisingizio kwamba wameshinda uchaguzi mkuu, hata wasiposhinda watatangazwa washindi

    Nadhani Watanzania wote waelewe modus operandi ya CCM. Moja, sio kwamba hawajui umuhimu na haja ya kufanya reforms katika taratibu za uchaguzi. Wanajua sana, na zaidi wanaelewa kwamba reforms, hata kama zikifanyika na upinzani ukashindwa kutwaa kiti cha raisi, zitatoa fursa ya kuwa na wabunge...
  9. Naomba kufahamu namna ya kufika Mpwapwa JKT 826 KJ

    Habari, Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi ipo mbali na Mpwapwa mjini?
  10. Msaada wa namna ya kuirudisha namba ya NIDA iliyofungwa

    Wakuu habari 💪 Bila shaka humu wapi wahanga kibao wa kufungiwa namba ya nida na hawa authority 😮‍💨 Na pia kuna wataalamu wa mambo humu🫵 Tuliofungiwa tufanyaje ili tuweze kuzirudisha namba za NIDA Zilizofungwa? Wamenifungia kwa sababu ya kitokuchukua kitambulisho Na ukiangalia mimi niko mbali...
  11. Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
  12. Nashauri Serikali ingeangalia namna ya kuwakopesha walimu baskeli za kwendea kazini wanateseka mna kwa kutembea umbali mrefu

    Wengine mpaka miguu imeota vinumbu sabb ya kutembea umbali mrefu kwenda kazini. Tuwahurumieni walimu jamani
  13. Msaada namna ya kulipa witholding tax kwenye mfumo wa TRA taxpayer portal

    Kuna majengo ya serikali nasimamia kama mtumishi wa umma sasa katika kuwalipa mafundi na suppliers Kuna Kodi inatakiwa kulipwa TRA, kwakuwa sina uzoefu na haya mambo nikasema niende ofisini kwao hawa TRA kupata ufafanuzi ila mtumishi wao niliyemkuta anifahamishe namna ya kufanya haya malipo...
  14. C

    Msaada anaejua namna ya Kuandaa ndizi kwajili ya Export kwenda nje ya Nchi Nimuajiri anahitajika hata saivi

    Habari Ndugu Nina ndugu zangu waarabu wamepata tenda uko kwao ya kupeleka ndizi kwa maana ya export kwenda nje ya nchi za uarabuni na wamenieka mimi kuwa mtu kati yao niwasaidie na tunagawana percent ila sina ninachojua kwenye uandaaji na packaging ili zifike salama ninachojua ni ndizi...
  15. R

    Twaha Mwaipaya: Namna ya kujilinda, hatupo salama, chukua hatua hizi

    NAMNA YA KUJILINDA- HATUPO SALAMA. NAMNA YA KUJILINDA HATUPO SALAMA .1.Usipende kuwasha location ya simu yako kila mara. 2.Usipende kutembea mwenyewe nyakati za usiku. 3.Hakikisha kabla hujalala kuna mtu umempa taarifa au umemtakia usiku mwema na amejua upo wapi. 4.Wakija watu kukukamata...
  16. Harakati za Daudi kuwania Ufalme zinatupa Somo gani katika Siasa na namna ya kuepa Kuuawa?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli kabisa Hakuna ufalme au utawala usiotoka kwa Mungu. Huo utawala haupo. Hata watawala wenyewe wanajua Jambo Hilo kutokana na maisha Yao walikotoka na walipo hivi Leo. Niliwahi msikiliza Magufuli na pia Rais Samia mwenyewe alishawahi kukiri kuwa hakuwa...
  17. namna ya kurecover corrupted excel file

    habari ya kazi wadau. samahani jana kuna mdau mmoja aliweka flash yake kwenye pc yangu kuhamisha muvi. sasa alipotoa tu mafaili yote yakawa hayafunguki. mfano nyimbo zote zikawa haziplay, word files zikawa hazifunguki pamoja na excel files. sasa kuna documents za muhimu kwa excel. je naweza...
  18. Matatizo ya VETA na jinsi ya kuyatatua

    MATATIZO YANAYOIKUMBA VETA TANZANIA NA NAMNA YA KUYATATUA Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) nchini Tanzania ni taasisi muhimu inayotoa mafunzo ya ufundi kwa vijana ili kuwapa ujuzi wa kujiajiri na kuajiriwa. Hata hivyo, licha ya umuhimu wake mkubwa, VETA inakabiliwa na matatizo...
  19. B

    Namna ya Kufungua Jicho la Tatu

    Jicho la Tatu (Ajna Center) ni Portali ya Mwanga, siyo tu "organi ya kuona visions" — ni sehemu ambayo Roho safi huunganishwa moja kwa moja na chanzo cha Nguvu (Source Field). Katika maandiko ya kale, Third Eye ilijulikana kama: "The Single Eye" — Yesu alisema: Lakini siri ya kufungua Jicho...
  20. Mrisho Gambo anaweza kuwa na hoja lakini amekosea namna ya kuwasilisha

    Inawezekana Mbunge wa Arusha alikuwa na hoja muhimu lakini amefanya makosa namna ya kuiwasilisha. 1-Kosa la kwanza yeye alikuwa ni mmoja wa wanaserikali ambao mara nyingi hupingwa na jamii. 2-Kama mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Serikali yapo mengi sana aliwahi kuyafanya na kuyaamua ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…