namba

Namba (難波, Nanba, IPA: [namba]) is a district of Osaka, Japan. It is located in Chūō and Naniwa wards. Namba is regarded as the center of so-called Minami ("South") area of Osaka. Its name is one of variations on the former name of Osaka, Naniwa. Namba is best known as the city's main south-central railway terminus: JR, Kintetsu, Nankai, Hanshin, and three Osaka Metro subway lines have stations there.
Some of the most famous images of Osaka, including the Glico Man and the Kani Doraku Crab, are located around the Dōtonbori canal in Namba. Namba is also known as an entertainment district, and hosts many of the city's most popular bars, restaurants, nightclubs, arcades, and pachinko parlors. The area is also known for shopping, with the Takashimaya department store (for older styles) and the sprawling underground Namba City shopping mall (for newer styles).
Namba Parks is a new development consisting of a high office building, called "Parks Tower," and a 120-tenant shopping mall with rooftop garden. Various kinds of restaurants (Japanese, Korean, Italian, etc.) are located on the 6th floor, and shops on the 2nd to 5th floors. Parks Garden features enough greenery to help visitors forget that they’re in the middle of the city. There is also an amphitheater for live shows, as well as space for small personal vegetable gardens and wagon shops.
Namba was once the city of adult deliquents.Now,namba gathers some of the young deliquents.
There are sex trade shops and discos,but namba is also the pub restaurants city.
The namba's amusing commerce culture gathers many people.
canals in osaka created the commere culture.namba was near the center of osaka in Edo.
namba is also the center of owarai culture.
NMB48 bases in Namba.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kama una matairi mabovu kabisa nanunua. Tupo dar mabibo mzambarauni karibu na chuo cha usafirishaji NIT. Piga namba hiyo tufanye biashara. 0715 494920

    Ndio, itakuwa na maana sana kama utakuwa nayo mengi, idadi yoyote nachukua. Yakuwa makubwa makubwa ndio hayahitaji zaidi.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Badala ya kutumia *106# kuangalia namba zilizosajilowa kwa NIDA ni bora kutumiwa ujumbe mfupi kila namba mpya inaposajiliwa ili kupunguza wahuni.

    Kumekuwa na michezo ya kusajili line bila idhini ya mwenye kitambulisho, umeenda kusajili laini unaambiwa rudia tena kuweka vidole kumbe nyuma ya pazia kuna namba imesajiliwa bila idhini yako, wehalifu wengine wanaweza kutunza alama za vidole kusajili bila wewe kuweka vidole. Namba hizi...
  3. JamiiForums Tanzania Phonebook imejaa namba za watu wengi ambao sio faida kwako.

    Unakuta umepata tatizo la kifedha,afya,sheria hata connection ukiangalia namba za simu hata mjomba wa katibu tarafa tawi la ccm huna. Namba zilizojazana sasa: Phonebook: 1.Athuman mchonga majeneza 2.Aisha mabiliani 3.Mangi jirani wa duka la kukopa. 4.John muuza mali za wizi 5.Aisha chupi kubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hawa waganga nani anawapa namba zetu za simu?

    Naamini wahanga wa sms za kugangwa mnazipata. Hawa waganga wa kienyeji nani anawapa namba za simu maana wanahisi kila mtu ni muumini wao wanatuma sms kila wakihisi umepata mshahara
  5. M

    JamiiForums Tanzania Music production

    Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
  6. JamiiForums Tanzania Ashurey ndio dancer namba moja wa kike Tanzania

    Ashurey kwa sasa ndio dancer namba moja wa kike Tanzania. Vigezo anavyowapita wengine wote. 1. Anajua kucheza style zote za muziki 2. Ni mbunifu 3. Moves zake zinabadilika 4. Anaweza kucheza freestyle 5. Ni trainer mzuri sana
  7. JamiiForums Tanzania Ipi bora? Lipa namba ya CRDB/NMB au Lipa ya Vodacom/tigo?

    Je kwa biashara ni ipi bora kati ya Lipa ya voda na lipa za mabenki kama CRDB au NMB? Ni ipi haina makato makubwa kwa mteja (wakati wa malipo) na mfanyabiashara (wakati wa kutoa ela)? Naomba kujua ili nifanye maamuzi.
  8. JamiiForums Tanzania Hatimaye TANESCO wazindua namba mpya 180 ya huduma kwa wateja ya bure

    Katika kuhakikisha TANESCO unahudumia wateja wake kwa haraka na kwa ufasaha, wamezindua namba mpya 180 ya kupiga bure masaa 24. Havi karibu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko alieleza kutoridhishwa kwake na Kituo cha Huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Ukifuta Namba Yangu, Niambie Ukweli – Usitoe Visingizio!

    Ukitaka kufuta namba ya mtu, usiseme "simu iliibiwa" au "nilipoteza namba." Kuwa mkweli: "Nimefuta namba yako kwa sababu niliona huchangii maendeleo yangu kwa vyovyote." Ukweli unaokoa muda na heshima! Je, unadhani ni sawa kufuta namba ya mtu bila taarifa, au ni muhimu kutoa maelezo?
  10. JamiiForums Tanzania Nimekubali kurudisha muamala wa mpesa kiasi cha shillingi 1.4M uliotumwa kwenye namba yangu kimakosa

    Habari wana jamvi Jana jioni mida ya saa 12 katika mtaa mmoja ninaoishi nilikuwa nimekaa na washikaji zangu tukibishana kuhusu kanuni za mpira baada ya bodi ya ligi kuahirisha mechi ya watani wa jadi simba na yanga Simu yangu mfukoni ika,vibrate kuashiria kwamba kuna sms imeingia, sikuifungua...
  11. JamiiForums Tanzania Tumehifadhi namba za simu za watu waliofanikiwa tukidhani ni msaada kwetu

    MHADHARA (100)✍️ Sisi masikini tunahifadhi namba za simu za watu ambao wamefanikiwa kimaisha na wengine wameinuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi. Tunafanya hivyo tukidhani kwamba siku tukipatwa na shida yoyote watatusaidia. Wakati mwingine tunawapost mara kwa mara kwenye akaunti zetu...
  12. JamiiForums Tanzania Ligi namba sita kwa ubora?!

    Imebidi leo nifikirie kwa undani sana hizi taarifa zinazotolewa na vyombo vyetu vya habari mbali mbali hapa nchini kwa kupamba baadhi ya matangazo yakisema ligi namba 6 kwa ubora tanzania kiukweli nijambo jema kwa watanzania jambo moja muhimu ni je kitugani wanaangalia mpaka kuupa hadhi mpira...
  13. JamiiForums Tanzania Mbona sijaona kiongoz wa sokohuru akikamatwa maana ni muhamasishaji namba 1 wa LBL

    Moja ya watu ambao ni wa kwanza kuifahamu LBL Kupitia wao ni SOKOHURU Kila kukicha alikuwa anaitangaza viongozi wa mikoani wengi wamekamatwa huyu jamaa mbona hakamatwi?
  14. JamiiForums Tanzania Nadharia yangu namba saba: Mwanadamu aliumbwa duniani kwa ajili ya kuzalisha hewa ya carbondioxide

    Mtu mmoja mwenye hekima na busara aliwahi kusema " You can know the artist by studying his art" Unaweza kumjua msanii kwa kuisoma sanaa yake... Babu zetu walimuabudu na kumsujudu Mungu baada ya ku study kazi ya mikono yake. Walipotazama, jua, mwezi, nyota etc , walipo jitazama wao wenyewe...
  15. JamiiForums Tanzania Hawa University College of Africa wanapata wapi namba za wazazi wa form 4 leavers?

    Mzazi anatukiwa meseji yenye jina la shule aliosoma mwanae, je ni walimu ndio wanatoa namba au huu mchezo ukoje? Na huu ufadhili ukoje?
  16. JamiiForums Tanzania Sio kila mwanaume anaekutongoza anakupenda wengine wametumwa uzisome namba

    Mabinti Feb inamalizika Umru unaenda March tunaongelea robo Mwaka angalia yapi unapitia Niwakumbushe tu kweli maisha magumu lakini KUNA jambo nimeona niwaase Leo hiii Sio kila anaekutongoza anakupenda Wengine wametumwa uzisome namba Kumbuka na wewe ulieolewa huyu mwanaume kabla ya kukuoa...
  17. JamiiForums Tanzania Ifakara ndio mji wa wajanja. Wezi wa TUMA kwenye Namba hii makao makuu yao Ifakara. Ifakara ni noma sana

    Hatimaye hadi mamlaka za Serikali hasa wizara ya mambo ya ndani imenyoosha mikono, imeweka bayana kuwa ifakara ndio Baba lao wa tuma kwenye namba hii. Ifakara iko kijanja zaidi. Ni hayo tu
  18. W

    JamiiForums Tanzania KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

    Niende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu unamtafuta aidha kwa kumpigia, kwa text au whatsapp lakini mtu hatoi ushirikiano. Kama unajijua wewe ni...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Video: Watu wa Nyamongo huko Mara ni mfano mzuri sana wa namba CCM inavyopaswa kutendewa.

    Nimeona clip hii kutoka Nyamongo na nimefurahishwa mno na uhodari na weledi wa watu wa Nyamongo huko Mara. Ni watu wasioyumbiswa wala kudanganywa na wana msimamo imara sana. Napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza watu hodari na wenye akili wa Nyamongo na ingekuwa vyema mno kama watu wa maeneo...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenye sample ya barua ya maombi ya kufunga ndoa za kiserikali

    Mliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga. Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali. Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…