nairobi

Nairobi () is the capital and the largest city of Kenya. The name comes from the Maasai phrase Enkare Nairobi, which translates to "cool water", a reference to the Nairobi River which flows through the city. The city proper had a population of 4,397,073 in the 2019 census, while the metropolitan area has a population of 9,354,580. The city is popularly referred to as the Green City in the Sun.Nairobi was founded in 1899 by the colonial authorities in British East Africa, as a rail depot on the Uganda Railway. The town quickly grew to replace Mombasa as the capital of Kenya in 1907. After independence in 1963, Nairobi became the capital of the Republic of Kenya. During Kenya's colonial period, the city became a centre for the colony's coffee, tea and sisal industry. The city lies on the River Athi in the southern part of the country, and has an elevation of 1,795 metres (5,889 ft) above sea level.According to the 2019 census, in the administrative area of Nairobi, 4,397,073 inhabitants lived within 696 km2 (269 sq mi).Home to thousands of Kenyan businesses and over 100 major international companies and organizations, including the United Nations Environment Programme (UN Environment) and the United Nations Office at Nairobi (UNON), Nairobi is an established hub for business and culture. The Nairobi Securities Exchange (NSE) is one of the largest in Africa and the second-oldest exchange on the continent. It is Africa's fourth-largest exchange in terms of trading volume, capable of making 10 million trades a day.

View More On Wikipedia.org
  1. Ni ujuzi gani wa kuongeza thamani ninaweza kujifunza kwa mwezi mmoja hapo Dar es Salaam, Nairobi au Kampala?

    Wakuu nawasalimu katika jina la Jamuhuri. Natarajia kuwa mapumziko ya mwezi mmoja katuka moja ta majiji ya EA DSM, Kampala, Nairobi au Kigali, Nataka kuyatumia pamoja na mambo mengine kuongeza na kujinoa kwa ajili ya kuwa bora zaidi. Naweza kusaidiwa mahali pa kujifunza ujuzi wowote kwa mwezi...
  2. Niandae bajeti ya shilingi ngapi ili kutembea Kenya?

    Habari wanajamii, Nilikuwa naomba mnipe mchanganuo wa pesa ili niandae nikatembee Kenya, nina mpango wa kukaa wiki moja, siku nne Mombasa, siku tatu Nairobi. Mchanganuo ujumuishe: -Pesa ya usafiri (Dar-Mombasa-Nairobi-Arusha-Dar) -Malazi (nimejaribu kuangalia mtandaoni kuna cheap hotel mpaka...
  3. Moshi, The most underrated city in Tanzania. Angalia maoni haya mzungu, ni safi kama Kigali, ameipenda kuliko Nairobi

    Wakuu umofia kwenu, Pengine ukimya wa watu wa Moshi na roho yao ya Maisha popote ndio inafanya wasidai moshi yao kama ilivyo. Angalia mawasiliano ya huyu mzungu anavyoisifia Moshi. Kwamba anashangaa kwanini inasifiwa Arusha pekee na sio Moshi? Serikal yenyewe inapeleka mirad yote ya...
  4. Dar sio Jiji la harakati za Ukombozi kama ilivyo Nairobi, Kampala, Harare na majiji mengine

    Dar ni jiji limejaa watu waoga watupu na wajinga wengi sana, wapuuzi sana, huwezi linganisha Dar na hata Mbeya au.Mwanza au Arusha kwenye harakati, na pia ni tofauti na Majiji kama Nairobi au Kampala au Harare au Lusaka linapokuja suala la Harakati za Ukombozi. Tanzania harakati za Ukombozi...
  5. Nairobi mida hii, walinda legacy Kayole

    Watasema mmiliki wa hii chuma ni Humphrey Polepole kumbe wapi ni bwana Njoroge. Chuma imesimama kabisa na hapa ni Nairobi.
  6. Tangu BBC dira ya dunia ihamie Nairobi imekosa mvuto

    Sijui ni Mimi tu au na wengine ila kwangu naiona dira ya dunia TV inayo oneshwa na saa tatu na kupitia star TV tangu ihamie Nairobi haivutii kabisa Sauti mbovu, mtangazaji mmoja kila siku, picha za kiwango Cha EATV au ITV vile hakuna kitu Cha maana habaari za juzi za BBC English ndio...
  7. Mtu mmoja auawa, Raila atangaza maandamano ya kuingia Nairobi Julai 12, 2023

    Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba. Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
  8. Lavrov atua Nairobi kujaribu kushawishi msimamo wa Kenya dhidi ya Urusi

    Urusi inapapatika kote kujaribu kutafuta uungwaji mikono Kenya's President William Ruto with Russian Foreign Minister Sergey Lavrov at State House Nairobi on May 29, 2023. Looking on are officials from Russia and Kenya. PHOTO | RUSSIA MFA Russian Foreign Minister Sergey Lavrov touched down in...
  9. Safarini NAIROBI kibiashara kwa Mara ya kwanza 🤔

    Nipo njiani kulielekea jiji LA Nairobi nchini Kenya kibiashara ni kiri tu ndo mara ya kwanza kwenda nchi hii kibiashara Tofauti na mara mbili nilizokwenda kwa shughuli nyingine na tulikwenda jumuia Njia ni Sirari au Isibania MWENYE UZOEFU NA NJIA HII LAKINI PIA JIJI HILO
  10. Tanzanians in Kenya to study Nairobi Expressway model

    Karibuni majirani Nairobi. Tanzania has on Wednesday, April 19, sent a delegation from the Tanzania National Roads Agency (Tanroads) to visit the Kenya National Highways Authority (KeNHA) on a benchmarking exercise of the Sh1.76 trillion (Ksh88 billion) Nairobi Expressway, Kenyan media has...
  11. Nairobi has better Roads than Dar: American Couple

  12. Picha ya Siku kutoka Nairobi

    Ama kweli ubaya hauna kwao😂 mabomu waliyopiga yamewarudia wenyewe
  13. Mvua yavuruga mazingira ya Jiji la Nairobi, Machi 23, 2023

    Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Nairobi Nchini Kenya ambayo yameathiriwa na mvua kubwa iliyonyesha leo Machi 23, 2023, baadhi ya maeneo hayo ni Stendi ya Mabasi ya Ngara, barabara itokayo Uwanja wa Ndege (JKIA) mpaka Westlands
  14. Kinachoendelea Maandamano Nchini Kenya, Machi 20, 2023

    VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
  15. Raila Odinga aitisha Maandamano, Ukaidi na Migomo dhidi ya Serikali ya Ruto kuanzia leo

    Kiongozi huyo wa Upinzani kupitia Muungano wa Azimio la Umoja One ameitisha Maandamano ya Nchi nzima ya Kutotii Serikali kuanzia leo Machi 9, 2023 akidai Serikali ya Rais William Ruto imepuuza matakwa ya Muungano huo. Odinga alimpa Ruto siku 14 kuharakisha kufunguliwa kwa Seva za Tume Huru...
  16. Maoni ya Mbunge Neema Lugangira kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika, CAADPBR

    Mbunge wa Viti Maalum CCM - Kagera Mhe. Neema Kichiki Lugangira, Anaandika; Namshukuru Mhe. David Kihenzile, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo kwa kunipa fursa ya kuwasilisha Mada kuhusu Utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika CAADPBR kwa Tanzania...
  17. Kama Rais wa Kenya Ruto aliikuta Kenya ina Deni Kubwa kutoka Nairobi hadi Johannesburg wa Jirani alikuta Deni la wapi na wapi?

    "Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto. Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe GENTAMYCINE sijashangaa sana kwani kuna Rais wa nchi moja (...
  18. Wafanyabiashara wa Nairobi waandamana kuzuia Wafanyabiashara Wachina wadai wanaua biashara yao

    Maandamano yametokea Mitaa ya Dubois, Gikomba na Nyamakima Jijini Nairobi wahusika wakidai uwekezaji unaofanywa na Wafanyabiashara raia wa China kuuza vitu kwa bei ya chini ni hatari kwa biashara ya wazawa. Wakiwa na mabango yenye ujumbe tofauti ikiwemo kudai 'Kuna uvamizi wa Wachina', wamefika...
  19. Miaka kumi na saba (17) ya bonde la mto Nile - Nairobi, Kenya

    MIAKA KUMI NA SABA (17) YA BONDE LA MTO NILE - NAIROBI, KENYA. Mhe. Eng. Maryprisca Mahundi (Mb) ambaye ni Naibu Waziri wa Maji mnamo tarehe 22 Februari 2023 ameiwakilisha Tanzania katika sherehe za miaka 17 ya Bonde la mto Nile Jijini Nairobi Kenya mkutano uliojumuisha nchi Kumi na Moja...
  20. L

    Barabara kuu ya Nairobi iliyojengwa na China yafikisha watumiaji milioni 10

    Barabara ya mwendo kasi ya Nairobi yenye urefu wa kilomita 27.1, iliyojengwa na kampuni ya China kwa ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi, Jumanne iliwatambua madereva milioni kumi ambao wameitumia barabra hiyo tangu ilipozinduliwa rasmi Julai 2022. Maofisa wakuu, watendaji wakuu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…