nahitaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Niko Morogoro, nina bajeti ya mil 2,500,000/= nahitaji gari ndogo ya kutembelea

    Niko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi. Premio Vitz Nissan march Carina Corrola Auris Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani. MREJESHOO
  2. JamiiForums Tanzania Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    Habari kubwa katika kipindi hichi kwa upande wa fedha na uwekezaji ni cryptocurrency au kama inavyofahamika kwa Kiswahili fedha za kidijitali. Aina hii ya fedha imewavutia wengi siyo kwa sababu ya matumizi yake, bali kwa jinsi thamani yake inavyokua kwa kasi na hivyo wengi kuona ni sehemu rahisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…