nafuu

  1. JamiiForums Tanzania Ipi rahisi, nafuu na salama zaidi kati ya kununua gari showrooms na kuagiza kutoka ng'ambo?

    Hebu mshauri mTanzania huyu anaekusudia kununua usafiri wake wa gari dogo sasa hivi. Ipi njia rahisi kwake kununua gari kwa urahisi, kwa unafuu wa fedha na muda na kwa usalama zaidi kati ya kuagiza kutoka ng'ambo na kwenda kuchagua tu sehemu mbalimbali yanapuuzwa magari nchini? Kwa niaba ya...
  2. JamiiForums Tanzania Jitibu chunusi kirahisi sana ukiwa nyumbani kwa gharama nafuu kuanzia tsh. 100/-

    Chunusi na majipu ni matokeo ya maambukizi ya ndani, usawa wa homoni, au sumu ya ndani, ambayo husababisha kuvimba kwa follicles ya nywele na, kwa acne, tezi za sebaceous. Wanapaswa kutibiwa juu ya uso wa ngozi na ndani. Chunusi kwa ujumla hutokea wakati wa ujana na kusababisha vipele vyeupe...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti

    Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo. Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tunauza Vifaa Vya Umeme Kwa Gharama Nafuu

    .
  5. JamiiForums Tanzania Nauza bulb Kwa bei nafuu

    Kampuni: Honor LED Watts 3 - 10,000 PC 10 Watts 5 - 12,000 PC 10 Watts 7 - 13,000 PC 10 Watts 9 - 14,000 PC 10 Free Delivery piga : 0614502969 Dar na mikoani
  6. JamiiForums Tanzania Wana-Palestina wanapendaga kujifariji humu ni nyuzi za kuonesha kuwa wana nafuu richa ya kuchakazwa na Israel.

    Kuna mwamba aliwahi kuja na uzi humu akasema "kujifariji sana ni tatizo, utajifariji mpaka uongo" Mfa maji maji utapa tapa, sasa nyie INTIFADA wa matumbe mnatapa tapa kutafuta vijihabari vinavyo onesha mapungufu ya Israel ili tu mtuoneshe kuwa bado mna oxygen, lakini kiuhakika mko very...
  7. JamiiForums Tanzania Jipatie Epson printer L3250 kwa bei nafuu

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi:printing,scanning and photocopying Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521* Ofa: wino+ Rimu
  8. JamiiForums Tanzania Karibu Chemka Hotspring. Unaweza kutembelea Chemka kwa gharama nafuu zaidi

    Leo nawaletea fursa nyingine hii ya kutembelea Hidden game iliyopo mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai, Kijiji cha Rundugai, tunatoa ofa kwa wakazi wa Kilimanjaro na Arusha kutembelea Chemka Hot Springs kwa gharama nafuu sana zaidi Kwa TZS 35,000 unaweza kwenda kupumzusha akili katika paradiso...
  9. JamiiForums Tanzania Malazi ya bei nafuu nchini Rwanda na Burundi!

    Nipo Kampala, lakini huenda nikahitaji kufika Rwanda na Burundi. Naomba taarifa za hivi karibuni juu ya: 1. Hali ya hizo nchi kiusalama (Rwanda na Burundi) 2. Gesti za bei nafuu lakini salama katika miji ya Kigali nchini Rwanda, Bunjumbura nchini Burundi, na Gitega nchini Burundi. Naamini...
  10. JamiiForums Tanzania List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  11. JamiiForums Tanzania Mabadiliko NHIF kama huna uwezo utakufa, hakuna nafuu yoyote zaidi ya kutafuta pesa kwa nguvu kutoka kwa wananchi

    NHIF wamefuta Najali ambayo mtu mmoja alikua analipa 192,000/=, Wekeza 384,000 na Timiza 516,000/= Wametambulisha vifurushi vipya ambavyo ni Serengeti Afya 660,000 na Ngorongoro Afya 240,000 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Wamebadili kifurushi cha watoto ambacho awali kwa mtoto ambaye bado hajaanza...
  12. JamiiForums Tanzania Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

    Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen Ukubwa - 91sqm Urefu - 12.3m Upana - 8.5m Gharama Ujenzi Boma - Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
  13. JamiiForums Tanzania OFA KWA WAJASIRIAMALI, TUNACHAPA(PRINTING) PRODUCT LABEL KWA GHARAMA NAFUU

    Je, wewe ni mjasiriamali na unajiuliza ni vipi utaongeza ubora wa bidhaa zako na kuongeza mauzo. Leo Digital Sprayer tunalo jibu la maswali yako. Tumekuletea huduma ya uchapaji(printing) na ubunifu(design) wa label za bidhaa za aina zote kwa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu. LABEL NI...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio nafuu ya simba kutoonekana madhaifu yake lakini timu yao ni dhaifu na kocha wao ni dhaifu pia!

    Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Gharama nafuu sio unafuu wa maisha, heri mji wenye gharama kubwa utazoweza kumudu kuliko mji wenye gharama nafuu utazosota kumudu

    Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions. Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la kuzingatia sana hasa kwa wale wanaojitafuta. Unaweza kuwa sehemu kama Mbeya, ni mkoa unaosifika kwa...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Viwanja bei nafuu dodoma

    Wewe mkazi wa Dodoma au popote ulipo, kama umekuwa ukiota kumiliki kiwanja Dodoma, sasa ndoto yako inaweza kutimia! Tunakupa fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja kwa bei nafuu na chenye thamani. Wekeza leo kwa faida ya sasa na baadaye. Viwanja Vinavyopatikana: 1. Kiwanja Karibu na Hospitali ya...
  17. JamiiForums Tanzania Jipatie Tovuti na Mfumo wa Accounting kwa Gharama Nafuu kabisa

    Habari za wakti huu; Je Biashara yako inahitaji TOVUTI? Je Biashara yako inahitaji mfumo wa Utunzaji wa kumbukumbu na uhasibu? Je Biashara ya inahitaji mfumo wa kutoa risiti za EFD? Je Biashara inahitaji kitu au huduma yoyote ya kiteknolojia? Kama Jibu ni Ndio Wasiliana nasi kwa simu au...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Tunaunda, kurekebisha au kuboresha mashine za kutotoresha vofaranga(incubator)

    Kwa mahitaji ya huduma ya utaalamu wa mashine za kutotoresha vifaranga za aina zote *Kuunda *Kuboresha *Kurekebisha *Ushauri Piga 0785165877
  19. D

    JamiiForums Tanzania Cherehani zinauzwa kwa bei nafuu

    Habari wakuu Mashine hizi za kisasa za kushona kwa kutumia umeme zinauzwa . Unaweza kushona mishono zaidi ya ishirini kwa wakati mmoja kwa kadri utakavyopenda wewe. Bei yake ni Shilingi 200,000/- kwa kila moja. Mashine zipo Dar Es Salaam ila unaweza kutumiwa popote. Karibuni
  20. JamiiForums Tanzania Machimbo yote ya biashara Karikakoo na namba 600 za suppliers wa bidhaa zenye bei nafuu Kariakoo Jumla na Rejareja

    Unapoamua kuingia kwenye ulimwengu wa biashara, zipo changamoto kadhaa ambazo lazima utakutana nazo katika harakati za utafutaji. Changamoto kubwa zaidi ni kujua wapi pa kupata bidhaa kwa bei ya jumla ili uweze kuuza kwa jumla na rejareja. Najua, ndugu msomaji wa kitabu hiki, pengine hata wewe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…