nafsi

Nafsi Huru (born 10 October 1986), is a Kenyan rapper.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Nafsi: Uhuru Wako Unaanzia Wapi?

    Uhuru wako na utoshelevu unaanzia pale ‘wewe’ wa faraghani anapokaribiana na ‘wewe’ wa kufikirika (ideal self) unayemleta hadharani. Ikumbukwe kuwa huyu ‘wewe’ wa hadharani hubeba taswira unayoitaka—au unayejua ndio inayotarajiwa na watu —wakati ‘wewe’ wa faraghani hubeba taswira halisi (real...
  2. JamiiForums Tanzania Siri za Kioo: Je, Kinabeba Nafsi Yako?

    Imani ya kale zaidi duniani kuhusu kioo inasema hivi: Taswira yako kwenye kioo si picha tu. Ni sehemu ya nafsi yako. Katika tamaduni za kale, watu waliamini roho inaweza kujitenga na mwili na kuonekana kwenye maji yaliyotulia ama kwenye kioo. Kitu chochote kilichovuruga taswira hiyo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Janeth Rithe: Sasa hivi ukiingia kwenye siasa ujikane tu nafsi yako, kuna watu wamejifunza kuua na sisi tunatakiwa kujifunza kufa

    Akizungumza katika mahojiano na M & S Podcast yaliyorushwa Septemba 9, 2026, Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa Chama cha ACT-Wazalendo, Janeth Rithe, ameeleza kuwa mazingira ya sasa ya kisiasa nchini yanahitaji viongozi wenye kujitolea kama "sadaka" kuwa tayari kufa ikiwa una dhamira ya kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nafsi imesahaulika. (a rant).

    Ni hakika wote tunajua kuhusu utatu mtakatifu... Yaani the father, son and the holy spirit. Also hii ina direct coleration na Body, mind and soul.. Hizi ni dhana tu za kujaribu kuelezea kitu ambacho kimejulikana for millenials.. Body and mind huwa ni kama kitu kimoja maana zote zina operate...
  5. JamiiForums Tanzania Nyuma ya fake id kuna nafsi zetu

    Habar za siku ya nane nane,na kwa wanasimba wenzangu leo ndio Ile sikukuu yetu ya kipekee kabisa,tuwe proud kuwa wanasimba daima NGUVU MOJA. Mara nyingi sana hapa jf utasikia kauli kama Watu wenyewe tunatumia fake id msichukulie mambo serious au kauli kama Watu wenyewe tunatumia utambulisho...
  6. JamiiForums Tanzania Nyuma ya AKAUNTI ZA MITANDAO, kuna nafsi zetu

    Habar za siku ya nane nane,na kwa wanasimba wenzangu leo ndio Ile sikukuu yetu ya kipekee kabisa,tuwe proud kuwa wanasimba daima NGUVU MOJA. Mara nyingi sana hapa jf utasikia kauli kama Watu wenyewe tunatumia fake id msichukulie mambo serious au kauli kama Watu wenyewe tunatumia utambulisho...
  7. JamiiForums Tanzania Itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?

    [Luk4:1]Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani [Mat4:8]Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake [Luk4:6]Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari...
  8. JamiiForums Tanzania Macho ni mlango wa nafsi na silaha butu kwa wengi

    Katika matukio mengi yanayotendeka hapa duniani mtu anaweza kuficha siri lakini ukimtazama machoni kuna kitu utatambua! Moja ya Silaha kubwa sana kwa Mawakili na Wadau wengine wa haki ni MACHO......(Kuna aina 16 za mpepeso wa macho na kila mpepeso ni KIASHIRIA) kwani wanaweza kukutambua kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mateka wa Kiroho: Kutekwa kwa Nafsi badala ya msukule

    Zamani tulizoea kusikia habari za misukule kule vijijini ambapo mtu anafanywa msukule wa kimwili, anazikwa kisha anaenda kulimishwa mashamba usiku. Siku hizi ulimwengu wa giza umeweka kambi mijini na vijijini kwa mfumo wa kisasa zaidi...! hawapotezi muda kuchukua mwili wako, wanateka nafsi...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Hizi ndio show za kuhudhuria mwanaume hata ukitoa 100k nafsi haitakudai

    Siyo hizo za kupelekwa pelekwa kama watoto wa shule mara washa Taa,Tuimbe wote,Ruka ruka juu. Kushoto kulia unapelekwa tu kana kwamba wewe ndo dancer wake. Show hizi hapa unapenda minono sawa vimbaumbau sawa size ya kati sawa vile utakavyo.ukitoka hapo hudaiwi jehanamu na duniani.
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini unapambana? Hela ya kula tu au una JAMBO linaloiambia nafsi "usilete ujinga, kaza"

    Eti mwana jamii forum, ipi ndio sababu hauna mchezo, wala lelemama na utafutaji🤔? Binafsi: sina hamu na UMASIKINI
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri gani UNAIPA nafsi yako, wakati huu?

    Binafsi Nashukuru 🙏🏿, sasa USIHOFU, kaza!
  13. JamiiForums Tanzania Watu pori - Nafsi ya mtu

    NAFSI YA MTU. Watu pori a.k.a washamba a.k.a washamba a.k.a washamba /nyani wapya msitu wa zamani beat mjerumani mambo yote kwa Bonnie/ Verse ..1 ( mc koba) Sikiliza haya ninayo kueleza leo na kesho usije kuyapuuza / kwenye mizizi ya Dhambi wivu ndio Unaongoza / kwa upande wa Mema upendo ndio...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tunaojali Utulivu wa nafsi, uliwahi kuacha kitu gani kiende uwe na peace of mind ?

    NIliwahi kuwa na shida ya ajira nikaenda kiwandani nikafurahia kuambiwa ajira zipo bila rushwa lakini nilipoanza kazi siku ya kwanza tulipelekwa godown, ule mziki wa kubeba viroba si wa kitoto, mimi na rafiki yangu tuliacha viatu na hela, pesa tulikuwa tunaihitaji ila sio kwa mazingira yale...
  15. JamiiForums Tanzania Uhai wako si Mali ya jumuia ni mali Yako binafsi. Ukifa kwa kujitakia utasahaulika na maisha yataendelea, acha kushiriki matendo maovu utakufa

    Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo. Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya maandamano yasiyo rasimi, kujihusisha na wizi wa Mali za watu, acha kushiriki kwenye upotoshaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kila nafsi itaonja umauti

    Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliolala usingizi wa milele, nyie mmetangulia na sisi tutafwata sema hatujui siku wala saa. Ni kweli ndugu zetu wanaondoka kila siku wapo tunaowafahamu na tusiowafahamu bahati ukiwa kiongozi ukitangulia mbele za haki jamii nzima itafahamu. Ni kweli kwa sisi...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa

    Sote tuseme Amen Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Zaburi 35:11 12 Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa. Zaburi 35:12 13 Bali mimi, walipougua wao, Nguo yangu ilikuwa gunia. Nalijitesa nafsi yangu kwa kufunga; Maombi yangu yakarejea...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama unataka kuiponya nafsi yako na kuliponya taifa hili, basi achana na Tundu Lissu na Josephat Gwajima!

    Tundu Antipasy Mughway Lisuu 1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako 2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kila nafsi itaonja mauti, waliotangulia walikuwa kama sisi na sisi tutakuwa kama wao

  20. JamiiForums Tanzania Umelaaniwa Kwa Kuuza nafsi za ndugu yako

    Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…