nafasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kujitolea

    Habari wakuu! Nimesomea electrical engineering Naomba msaada Ni kampuni zipi naweza pata nafasi ya kujitolea kwa technician au engineer?
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 21 kwenye Utawala Bora na Demokrasia Afrika

    Ripoti ya Taasisi ya Mo Ibrahim inayoangazia masuala ya Utawala na Demokrasia kwa Nchi za Afrika (IIAG), imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 21 kati ya Nchi 54 zilizofanya Vizuri kwenye Utawala Bora mwaka 2022. Hata hivyo, Tanzania haijafanya vizuri kwenye kipengele cha Ushiriki, Haki na...
  3. JamiiForums Tanzania Kilichomponza Basila Mwanukuzi kupoteza nafasi ya U-DC Korogwe hiki hapa

    Kilichomponza Basila Mwanukuzi kupoteza nafasi ya U-DC Korogwe hiki hapa
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia achana na hawa vijana kwenye nafasi muhimu kama Ukuu wa Wilaya

    Hakuna asiyejua kosa la huyu MTU. Usalama wa watoto utakuwa mdogo. Hafai Kabisa. Cha ajabu hakuna na taarifa ya hatua dhidi ya kitendo cha kumchapa mtoto vibao
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nafasi mbalimbali za kazi Konfa Enterprises Limited

    Nafasi ya kazi Konfa Enterprises limited 1. Online sales supervisor 2. Office respetionist 3. Shop manager 4. Assistant Shop Manager, Human Resources Manager etc ========= KONFA ENTERPRISES LIMITED General Trading Company established in 2006, Konfa has vast network of professionals...
  6. JamiiForums Tanzania Mbowe ajiuzulu nafasi ya Uenyekiti. Wana CHADEMA wengi hawana imani naye

    Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta. Wananchi wameona, wanaona. Mbowe wa jana siyo Mbowe wa leo ....ona, ona, ni kweli alipata maumivu. Wananchi, wana...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi, kuendesha youtube

    Anahitajika mtu wa habari za mitandaoni hasa hasa YouTube. Kama una Ujuzi wa kazi hiyo tutafute kupitia 0767019326
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Kazi: Msimamizi wa Ofisi - Moshi Kilimanjaro

    Kazi: Msimamizi wa Ofisi Mahali: Moshi - Kilimanjaro Majukumu Kusimamia shughuli za ofisi Kutunza hesabu za ofisi Kufatilia mambo ya ofisi kwa wadau mbalimbali Sifa Elimu ya kidato cha sita na lazima awe na ufaulu wa somo la hesabu kuanzia alama 'B' Akiwa na cheti cha masomo ya biashara au...
  9. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini Rais Samia na CCM wamemtosa mazima Shaka katika nafasi ya Uenezi?

    Je,..... 1. Hatoshei Kiushawishi? 2. Mnafiki? 3. Mpika Majungu? 4. Muongo? 5. Hana Mvuto / Mvutoless? 6. Si Mpayukaji? 7. Usoni Mama na Rohoni January? Kazi yangu Kubwa ( Kuu ) leo GENTAMYCINE ni Kutulia na Kusoma Kiumakini mno Comments zenu na naamini hamtoniangusha.
  10. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wote twendeni na Wakili Moses Stewart Kalua kwa nafasi ya Uenyekiti katika Uchaguzi Mkuu ujao wa Simba SC

    Wana Simba SC wote (hasa Wanachama) mkikosea tena, mkarubuniwa na Kuhongwa Pesa za Msoga na Salamander na Kumrejesha tena Uongozini Murtaza Mangungu (Mwenyekiti anayemaliza muda wake) nitawadharau na nitaichukia Klabu Daima kwani nitaamini kuwa mtakuwa mmekubali Kuuhalalisha Ubingwa wa Yanga SC...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Namuona Shaka Hamdu Shaka akienda kumsaidia Rais wetu Samia Serikalini

    Ndugu zangu Watanzania, Kwanza nawapongeza Sana viongozi wote wa chama changu cha CCM waliochaguliwa kuingia kuiunda na kuikamilisha safu ya juu ya uongozi wa chama chetu,Ni safu yenye kuleta matumaini kwetu wanachama,Ni safu ya ushindi,uchapa kazi na uzalendo ,Ni safu iliyojaa viongozi...
  12. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa mtu wa stationary awe vizuri sana

    Anaitajika mwanamke mmoja tu Eneo la kazi ni Kariakoo Mtaa wa aggrey na Ndanda dukani/kwenye kampuni sanga kariakoo Kazi yake ni kutengeneza matangazo madogo madogo na kuendesha account za ofisi ikiwa na application za Sanga Kariakoo zilizo google play na apple store pamoja na website ivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Ni ipi nafasi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa sasa?

    Anapoapishwa Rais, nafasi ya kwanza kuteuliwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Walioweka utaratibu huu hawakuwa wajinga kwa sababu kila jambo analofanya Rais linatakiwa kuwa sawa kisheria hivyo ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambaye anapaswa kumshauri Rais kuhusu maamuzi yake yote ili yawe...
  14. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi ualimu primary school - Taifa international school

    TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL (T.O.I.S) TEACHERS NEEDED Job Summary We are looking for primary school teachers in our school in Dar Es Salaam Recommended: Minimum Qualification: Certificates Experience Length: No Experience/Less than 1 year Job Overview A full-time permanent Teacher...
  15. JamiiForums Tanzania Msumbiji yachukua nafasi ya Kenya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC)

    Taifa hilo kutoka Kusini mwa Afrika limeingia rasmi katika #BarazalaUsalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), likianza muhula wa miaka 2 baada kuchaguliwa Juni 2022 pamoja na Nchi za #Ecuador, #Japan, #Malta na #Switzerland. Msumbiji inaungana na #Ghana na #Gabon kuhudumu katika Baraza hilo, huku...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mbowe anakwenda kupewa nafasi nyeti ili kuyalinda maridhiano

    Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu ana afya tele. Kwa dokezo lililonifikia kutoka kwa mtu ambae siwezi kumtaja, ni kwamba mama anamuandalia kamanda Mbowe nafasi nyeti na muhimu ndani ya serikali yake ili kujenga serikali yenye sura na mtazamo wa kitaifa. Ikumbukwe kwamba raisi...
  17. JamiiForums Tanzania Dereva wa school bus nafasi 2

    Habari za mchana? Kuna shule ya watoto wadogo nursery school iliyopo wilayani Muheza Tanga inatafuta madereva 2 wa kuendesha Hiace za shule. Sifa kubwa awe anajua kuendesha vizuri na kuwa na leseni hai Class C. Awe na upendo kwa watoto wadogo. Itapendeza sana endapo atapatakana mkazi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Overview of Cryptos Asset Regulation in Sub-Saharan African Countries

    Ukuaji Wa Soko la Cryptocurrency Africa unahitaji Utaratibu Mzuri. Heri ya Mwaka Mpya 2023 wana JF 🙏💜 Utafiti uliofanywa na Chainalysis unonyesha kuwa, Bara la Africa ni ya 1 kwa ukuaji Wa haraka kwny soko la Cryptos Ulimwenguni lakn imekuwa ikifanya mihamala michache kwa makadilio jumla ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nawahi nafasi ya saa sita usiku wa kuamkia 1/1/2023

    Jamani naweka booking, katika muda huo. Nitaweka uzi wa kuwatakia heri ya mwaka mpya wanaJF wote. Pia nitaandika malengo yangu ya mwaka 2023. Naweka booking ili mtu asije akaniwahi kuweka similar uzi. Heri ya Mwaka Mpya ndugu zangu wote... Tegemeeni mengi mazuri kutoka kwangu mwaka 2023...
  20. JamiiForums Tanzania Simu za mkononi za kitambo hicho ambazo zinashikilia nafasi katika mioyo yetu

    Hebu tuambie umetumia ipi kati ya hizi au tuwekee picha ya ambayo uliitumia 1.2.3.4.5.6.7.8.9.10.11.12.13.14.15.16.17.18.19.20.21.22.23.24.25.26.27.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…