Habari wadau,
Natafuta nafasi ya kazi ya ustawi wa jamii (SOCIAL WORK) hata kazi zingine tofauti na taaluma yangu ZINAZOFAA.
Nina elimu ya chuo (kaliua institute of community development) Pia nina ujuzi katika matumizi ya kompyuta, huduma kwa wateja, care giver.
Kwa mwenye nafasi au taarifa...